JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Boss wangu kuna watu wengine hawana majukumu kihivyo,yupo mwenyewe akila chakula cha ofisi hapo na hatumii nauli,huenda anatembea tu

Kikubwa anapata uzoefu kwa kipindi halafu anatafuta chimbo lingine
Kwa life la daslamu alooh ukitegemea mshahara tu unakua unaenda kazini kutafuta nauli ya kurudia nyumbani na kukupeleka kazini
 
Kwa life la daslamu alooh ukitegemea mshahara tu unakua unaenda kazini kutafuta nauli ya kurudia nyumbani na kukupeleka kazini
Huko unapata exposure na kufahamiana na watu,trust me huwezi kufahamiana na watu na kupata connection mpya kama hujichanganyi au hukutani na watu

Kwahiyo kazi hiyo ndogo yenye mshahara mdogo hienda ikakukutanisha na watu wapya ambao wakakuinua katika namna nyingine kabisa

Kwahiyo sometimes unakubali kufanya kazi yenye low pay lakini ukilenga kufungua mabano ili ukutane na mazingira mapya na watu wapya
 
Screenshot_20261124-212107_WhatsApp.jpg
 
Wakati mwingine tunalia kwa kuondokewa na kitu tulichokipenda bila kujua kwamba Mungu amekiondoa ili kutulinda na maumivu makubwa zaidi🤷

Sio kila kilichopotea ni hasara vingine ni ulinzi uliofichwa kuna milango tunaililia inapofungwa kumbe nyuma yake kulikuwa na maumivu ambayo hatukuweza kuyaona.

Kuna wakati unaweza kulazimika kulia lakini usikate tamaa!!!..
Inawezekana umeumia kwa kupoteza kitu ulichokuwa unakipenda zaidi lakini leo amini kwamba sio kila kinachoondoka ni mwisho wakati mwingine ni mwanzo wa kitu bora zaidi🏅

Mungu akupe uvumilivu na hekima ya kuvuka katika hali unayopitia leo.
-The Power Is Within You-
✨🫵💪
 
MLE HUYO CHURA:
-Kila siku tunapoamka asubuhi tunakuwa na majukumu mengi ya kufanya,ndani ya majukumu hayo huwa kuna jukumu moja ambalo ni muhimu zaidi kuliko mengine yote.

-Ambalo ndilo lenye faida kubwa sana katika maisha na mafanikio yetu lakini mara nyingi huwa hatupendi kulikabili jukumu hilo kama vile tunavyomwogopa chura,😊kila siku jukumu kubwa lenye umuhimu zaidi kuliko yote ndio CHURA wako.

-BRIAN TRACY mwandishi na mtaalamu wa mambo ya mafanikio katika kitabu chake cha "EAT THAT FROG" alieleza jambo la msingi sana katika maisha kuwa...

"Ukianza siku yako kwa kushughulikia kazi ngumu na muhimu zaidi unaongeza kasi ya USHINDI wako kwenye kile unachokifanya"

-Ukimaliza CHURA wako mapema siku yako inakuwa nyepesi na yenye mwelekeo thabiti🎯

Hatahivyo utafiti uliofanyika chuo kikuu cha CALGARY University nchini CANADA kuhusu uwajibikaji ulibaini kuwa...

Watu wanaokamilisha kazi ngumu mapema hupata hali ya kujiamini na kuitawala siku katika majukumu wanayoyafanya,ushindi huu wa mapema huamsha motisha ya ndani "intrinsic motivation"

-Leo fanya tathimini fupi.,Jiulize kwenye majukumu uliyonayo CHURA wako ni yupi?kisha uanze kumla huyo CHURA wako mapema📌

-Usisahau kuwa...
Hakuna atakayekuja kukuokoa (No one will come to save you) na hakuna miujiza itakayotokea ili kukufanya ufanikiwe kwasababu, mafanikio yako ni wajibu wako.
-The Power Is Within You-
💥 💪

(Yona Morice Yona)
 
Rais wa 16 wa Marekani 🇺🇸
Abraham Lincoln aliwahi kusema kuwa "Ukinipa masaa sita kukata mti, nitatumia masaa manne kunoa shoka"

Hii maana yake ni nini?🤷
Siri ya mafanikio ni kupanga kabla ya kuanza, unachimba kisima kabla hujapata kiu💦.
- The Power Is Within You-
✨ 🫵

(Yona Morice Yona)
 
AMSHA JITU NDANI YAKO:
Kuna uwezo mkubwa sana ndani yako ambao inawezekana bado haujawahi kuutumia kwa kiwango kinachotakiwa.

-Usikubali hofu,kushindwa kwa jana au maneno ya watu yakufanye uishi chini ya uwezo wako.

Anthony Robbins....
Mwandishi na mtaalamu wa maendeleo binafsi kutoka nchini Marekani🇺🇲,Katika kitabu chake cha "Awaken The Giant Within You" alieleza jambo la msingi sana kuwa.

-Maisha yetu huathiriwa kwa kiwango kikubwa na maamuzi tunayofanya kila siku,maamuzi ya kweli na thabiti utakayoyafanya leo yanaweza kubadili mwelekeo wa maisha yako yote.

Acha kujiona wewe ni mdogo,
acha kuona kuwa bado una muda sana badilisha unachojiambia na unachoamini,badilisha namna unavyojiona kisha anza kuchukua hatua kama mshindi🏅

-Amsha jitu ndani yako,usikubali kuishi maisha madogo wakati ndani yako unao uwezo mkubwa ambao bado dunia haijaona,Leo ikate minyororo ya HOFU inayokuzuia kuanza kutumia uwezo wako wa kipekee ambao Mungu ameweka ndani yako.

-Kama umeipenda makala hii weka reaction kisha mtumie mtu mmoja unayemthamini.
-The Power Is Within You-
✨🫵

(Yona Morice Yona)
 
A good man is not defined by how much money he has, how powerful he is, or how many people admire him. He is defined by his character, values, principles, and how he treats other people, especially when nobody is watching.

Here are 20 important traits of a good man.

### 20 Traits of a Good Man

1\. Integrity: He does the right thing even when nobody is watching.

2\. Honesty: He tells the truth, even when lying would be easier.

3\. Respect: He respects women, men, children, elders, and people from all walks of life.

4\. Responsibility: He takes responsibility for his actions instead of blaming others.

5\. Emotional intelligence: He understands his emotions and knows how to manage them.

6\. Self-discipline: He controls his desires, habits, anger, and impulses.

7\. Humility: He doesn't allow success, money, or status to make him arrogant.

8\. Patience: He understands that meaningful things take time.

9\. Kindness: He treats people with compassion without expecting something in return.

10\. Reliability: His words and actions match. People can depend on him.

11\. Courage: He faces difficulties instead of running away from responsibility.

12\. Loyalty: He remains faithful to his commitments and relationships.

13\. Good communication: He listens carefully, speaks thoughtfully, and knows when to remain silent.

14\. Empathy: He tries to understand what other people are going through.

15\. Financial responsibility: He manages his money wisely and plans for the future.

16\. Growth mindset: He is willing to learn, accept correction, and improve himself.

17\. Forgiveness: He knows how to let go of resentment without allowing people to repeatedly disrespect him.

18\. Confidence: He knows his worth without needing constant validation from others.

19\. Accountability: He admits when he is wrong and apologises without making excuses.

20\. Faith and principles: He has values that guide his decisions, even when following them is difficult.

### 10 Golden Rules Every Man Should Live By

* Never humiliate someone to make yourself feel important.

* Never promise what you cannot deliver.

* Never allow anger to make decisions for you.

* Never confuse kindness with weakness.

* Never sacrifice your integrity for temporary benefits.

* Never stop learning.

* Never compete with everyone; focus on improving yourself.

* Never judge people without understanding their circumstances.

* Never let success make you forget where you came from.

* Never stop working on becoming a better version of yourself.

### A powerful reminder

"Being a good man is not about being perfect. It is about having the courage to recognise your weaknesses, the humility to accept your mistakes, and the discipline to keep improving."

Remember: A good man is not the man who never makes mistakes. He is the man who takes responsibility for them, learns from them, and makes a conscious effort not to repeat them.

The greatest measure of a man's character is not how he treats people who can benefit him, but how he treats people who have nothing to offer him.
 
A good husband is not simply a man who provides financially. He is a man who makes his wife feel loved, respected, emotionally safe, valued, and supported. He understands that marriage is a partnership, not a competition for power.

Here are 25 important traits of a good husband.

### 25 Traits of a Good Husband

1\. Loving: He expresses love through words, affection, attention, and actions.

2\. Faithful: He remains committed to his wife and protects the trust in their marriage.

3\. Respectful: He respects his wife's opinions, feelings, decisions, and individuality.

4\. Honest: He is transparent and does not build his marriage on lies and deception.

5\. Responsible: He takes responsibility for his family and his personal decisions.

6\. Good communicator: He communicates openly instead of allowing misunderstandings to grow.

7\. A good listener: He listens to understand, not merely to respond.

8\. Patient: He understands that marriage requires tolerance, understanding, and compromise.

9\. Emotionally available: He does not make his wife feel alone when she needs emotional support.

10\. Financially responsible: He plans, budgets, saves, and works towards financial stability.

11\. Supportive: He supports his wife's dreams, ambitions, education, and personal growth.

12\. Protective: He creates an environment where his wife feels safe without controlling her.

13\. Humble: He can admit when he is wrong and apologise sincerely.

14\. Trustworthy: His wife can depend on his words, promises, and actions.

15\. Romantic: He understands that romance should not end after the wedding.

16\. Emotionally mature: He handles disagreements without insults, intimidation, or unnecessary drama.

17\. Appreciative: He recognises and appreciates his wife's efforts, including the little things she does.

18\. Forgiving: He understands that nobody is perfect and knows how to move forward after disagreements.

19\. Hardworking: He is committed to improving his family's quality of life.

20\. Family-oriented: He prioritises the well-being of his family while maintaining healthy boundaries with relatives.

21\. Helpful: He participates in household responsibilities and parenting rather than leaving everything to his wife.

22\. Consistent: His love, respect, and commitment do not depend on his mood.

23\. Self-disciplined: He controls his anger, desires, habits, and unnecessary temptations.

24\. Spiritually grounded: He allows faith, good values, and moral principles to guide his marriage.

25\. Committed to growth: He continuously works on becoming a better husband and a better human being.

### 10 things a good husband should never do

* Never use money to control his wife.

* Never humiliate her in public or private.

* Never compare her with other women.

* Never dismiss her feelings.

* Never use silence as punishment.

* Never entertain infidelity.

* Never make her beg for basic affection and attention.

* Never allow relatives to disrespect her.

* Never use violence or threats to resolve disagreements.

* Never take her love and sacrifices for granted.

### 10 affirmations for becoming a better husband

* I choose love over pride.

* I choose understanding over unnecessary arguments.

* I will listen before judging.

* I will respect my wife's individuality.

* I will be faithful even when nobody is watching.

* I will make my wife feel appreciated.

* I will take responsibility for my mistakes.

* I will lead through love, wisdom, and good example.

* I will never stop investing in my marriage.

* I will strive to make my home a place of peace, trust, and happiness.

### A powerful marriage reminder

"Your wife should not have to compete with your friends, your phone, your habits, or another woman just to receive your attention."

A successful marriage is not about having a perfect husband or a perfect wife. It is about two imperfect people who are willing to communicate, forgive, respect, grow, and choose each other every day.

A good husband does not just build a house for his wife to live in; he builds an environment where she feels at home. ❤️
 
Back
Top Bottom