jamiiforum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    jamiiforum naomba zingatieni haya ni hatari kubwa ambayo hata maraisi wametumia dini au kabira wabaki madarakani

    Na shangaa kuona mada zikufutwa au kuunganishwa au kuwa kivuli watu wasisome. Sina mengi ya kusema ila ni wazi tulipofikia hata ujumbe huu mtakumbuka. Mungu ibariki mkifa
  2. Jack Daniel

    Kulikoni jamiiforum, au ni kifaa changu?

    Ni matumaini yangu ni wazima. Najaribu kulog in kwenye huu mtandao naona haufunguki,mwanzo nilidhani ni router. Nikanunua mbs za kawaida bado hola,ila nilivyojaribu kuingia Kwa namna nyingine imewezekana. Swali na kwenu kupo hivi au ni kwangu tu? Karibuni.
  3. Mhaya

    Jamiiforum sasa rasmi kutumika bila VPN

    Mtandao wa Jamiiforum sasa upo hewani bila VPN, baada ya kula Ban kwa miezi kadhaa
  4. A

    KERO Watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa tunakumbana na changamoto nyingi, tunaomba msaada wa Serikali na TAKUKURU

    Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums. Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na kiutawala zinazotukabili. Kwanza, watumishi hatujawahi kulipwa stahiki za nauli za likizo. Aidha, fedha...
  5. nadiegirlie

    Binti/Mwanamke unapenda nini zaidi kwenye "ubinti/uanamke"wako na kama kuna next life ungependa tena kuzaliwa kama mwanamke?

    Nini kinachokufanya ujivunie kuwa mwanamke?
  6. Fbn

    Jamiiforum mnapuuza ila na wenyewe mpo kwenye list.

    Mimi sipo nchini ila mnapo futa ila tambueni mpo kwenye list. Na hawa mnao wapa nafasi kwenye jukwaa ndio waliopo kwenye list. Tupo mbali ila list ya watu ni nyingi nyie bisheni ila mwisho wa siku hata unayefuta hupo kwenye list.
  7. Fbn

    Jamiiforum: Mwaipopo ni nani kama msemaji wa serikali na CCM.

    Moderator msibadilishe kichwa cha habari wala kukilemba. Tunaomba kujua na tunaka mtueleze serikali maana sasa ndio msemaji wa serikali upande wa msigwa. Anaweza kuitisha vyombo vya habari na tunajua ukiitisha lazima uwalipe posho.Je hizo pesa anapata wapi. Kuwa na kikundi chake cha mbwa...
  8. Zemanda

    Mbona sina access ya nyuzi zangu, nikitaka kuziona nazipatia wapi kwenye App?

    Nimejaribu kutafuta threads zangu sizioni sasa najiuliza hii app ya JF imezipeleka wapi maana sina access nazo wala siwezi kuziona. Nikiingia kwenye "your contents" nakutana replies zangu kwenye nyuzi za watu wengine ila sioni nyuzi zangu.
  9. figganigga

    Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata

    Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali. Jeshi la Polisi Tanzania limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu viashiria vya baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasisha vurugu na kupanga...
  10. A

    HOJA Taasisi za Vibali: Kuzuia au Kuwezesha Wajasiriamali?

    Taasisi Za Umma Nyingi Zinazohusika na Vibali (Regulatory Authorities) Kama BRELA TBS TMDA TCRA NEMC EWURA LATRA TRA OSHA GCLA n.k Hebu Ifike Hatua Tufanye Kazi Kwa kuwezesha zaidi na si kuzuia Kwa Mfano mzuri Mjasiriamali Anapata Wazo La Kuanzisha Biashara Kama Crips tu Za Kawaida Anatafuta...
  11. Fbn

    JamiiForums naomba ile mada: Wanafurahia utekaji kuna siku watashindwa kuzibiti

    Kuna mada niliweka hapa kuhusu tabia hii ya mtindo wa ukamataji au kiufupi ni utekaji ambao ukijiambatanisha wasio julikana. Kwa haya wanayofurahia na mtindo wanaotumia nilisema kuna siku kutatumika kama person ndani ya jeshi asilimia kubwa na ndogo itakuwa kwa wananchi. Tusipo likemea na...
  12. Light Saber Imetosha Sasa

    Ni Wakati Sasa JF Kuanzisha Mfumo wa Kuwalipa "Content Creators" Wetu. Huu Ndio Ukweli wa Kisheria na Kiuchumi.

    Wakuu salama, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini. Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
  13. min -me

    Bla-bla za Watanzania ndani ya JamiiForums

    Mara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga . Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili kufanikiwa kiuchumi gademitt.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Ninaiomba Serikali ifungue mtandao wa JamiiForums

    Kheri ya Mwaka Mpya! 1. Kwa heshima na taadhima. Ninapenda kuchukua nafasi hii. 2. Kuiomba serikali iufungulie mtandao wa Jamiiforum ili mambo mengine yaendelee. 3. Jamiiforum ni moja ya mambo ambayo serikali ya Tanzania inaweza kujivunia kwa wananchi wake. 4. Malumbano, mivutano na migogoro...
  15. Fbn

    Wana jamiiforum wenzagu kuna mic ambayo wakiitisha kutetea serikali mbovu inawekwa mjafahamu.

    Chunguzeni kuna mic ambazo ufahamu ni kituo gani wala chanzo chake. Na mic hizo utaziona zikiwa kwa wanao iongelea serikali hii ya kishenzi.
  16. JamiiForums

    Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  17. Fbn

    JamiiForums naomba kueleza ni kweli chuki ya utawala inaenezwa na mtawala mwenyewe

    Sio utani wala kupindisha Moderator kuna mda unataka kupindisha ila mtakumbuka haya maneno. Mtawala ndio analeta chuki ambayo sasa kaingiza kwenye udini kabisa akijua kitamuokoa. Mimi sipendi kuweka wazi ila wanayofanya kwenye ku promote huko kuna kitu sio kizuri. Sisi wa tanganyika wanataka...
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums yarudi hewani

    Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki. Updates Naona mtandao umezuiliwa tena, mamlaka bado hazisomami.
  19. Fbn

    Sio Wikipedia tu, hata tovuti nyingi kubwa Samia hatambuliki kuwa ni Rais

    Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake. Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine wakajitokeza kusema wikipedia unaweza kuandika hata wewe. Katika tovuti kubwa ukitafuta habari za...
  20. mcTobby

    Je, Desemba 6 JamiiForums yetu itafunguliwa?

    Nauliza tu kama huu mtandao wetu utafunguliwa. Maana Homa ya D9 ni kama inapanda as the time goes by.
Back
Top Bottom