watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. instinct desire

    Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  2. Pascal Mayalla

    Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

    Wanabodi Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF: PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!, mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The...
  3. T

    Moto wa CHADEMA balaa huku BAWACHA kule Heche. Liwake jua ama inyeshe mvua Watanzania tutaikabithi CHADEMA nchi

    Moto wa CHADEMA balaa huku BAWACHA kule Heche. Liwake jua ama inyeshe mvua Watanzania tutaikabithi CHADEMA nchi Aisee strategist wa CHADEMA nampa maua yake. Literally CHADEMA ndio chama tawala ni swala la muda mfupi tu
  4. Supapawa

    Leo nimegundua kuwa watanzania wengi ni bendera fuata upepo.

    Wakuu habari ya Jumapili, Leo asubuhi nilikuwa kanisani kwenye ibada. Mchungaji alikuwa anahubiri, alikuwa anahubiri kwa kuchanganya maneno ya kiswahili na kiingereza. Si mnawajua wachungaji wetu walivyo wajuaji! Mimi kama kawaida yangu popote ninakokuwa huwa nakuja kuchungulia humu JF Ili...
  5. R

    Kinachoendelea kwenye mapokezi ya Miss Grand Jihan Dimack

    Habari Wakuu, Kampeni ya Miss grand International bado inaendelea, na sasa tupo episode ya Mapokezi. Mshindi wa Miss grand International Jihan Dinmack anatarajiwa kuwasili nchini leo Oktoba 17, 2026 ambapo Watanzania wamejitokeza kuelekea uwanja wa Kimataifa Mwalim Julius Nyerere kwa mapokezi...
  6. Nyani Ngabu

    Ina maana Watanzania tumeshaukubali upoteaji wa binadamu kama upoteaji wa funguo?

    This is so weird to me. Why are we normalizing the disappearance of whole human beings? Wanapotea watu wazima kabisa na familia zao halafu jamii nzima ni kama imekubali tu acha wapotee! Coverage kwenye vyombo vya habari, hakuna. Tungekuwa na responsible media kungekuwa na continuous...
  7. instinct desire

    Watanzania tunapenda kutapeliwa. Hivi sasa Kuna mtu yupo busy anacheza kindege, mwingine analipia app ya Mange, mwingine anawachangia CHADEMA

    Sijui ni kukosa elimu ya fedha au ni ujinga tu, hivi inakuwaje mtu na akili zako ufilisike kisa kucheza kamali? Inamaana huwezi kuacha au mnalogwa au ni laana? Watu wamekuwa vichaa kisa kamali lakini watu bado🤣 Ukiona unafilisika kisa kamali si uache Kuna haja gani kuchukua mkopo bank ili...
  8. Yoda

    Kwanini vijana Watanzania wanaongoza zaidi kufuatilia na kujadili ngono na uchawi ?

    Katika utafiti wangu usio rasmi niliuoifanya mitandaoni vijana wa Tanzania ndio wanaoongoza kufuatilia na kujadili mambo ya ngono/mapenzi na uchawi mtandaoni. Wanafuatiwa na vijana wa Uganda kisha Kenya. Rwanda ni wa mwisho. Hali hii inasababishwa na nini? Hali ya shibe Iko vizuri zaidi...
  9. R

    Mpina: Ukimya wa viongozi wa Afrika ni ishara ya kubariki dhuluma ya mauaji waliofanyiwa Watanzania uchaguzi wa Oktoba 2025

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Oktoba 15, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kukosoa vikali ukimya wa mashirika ya kimataifa, mabunge ya kikanda, pamoja na viongozi wastaafu barani Afrika kuhusu mkwamo wa kisiasa uliozua machafuko na mauaji nchini...
  10. Kaka yake shetani

    Serikali inakataa uraia pacha ila cha kushangaza watoto wao na wasio watanzania ni raia pacha na wana passport kuanzia tatu na kuendelea.

    Tukisema mnasema wivu. Waarabu na wahindi hapa tanzania wanaongoza kuwa na utambulisho wa uraia kuanzia kwao na popote. Uhamiaji hapo ni pesa yako ila na shangaa kila kukicha wana dili na warundi ambao maskini wa kutupa.
  11. R

    Ndejembi: Watanzania wanatarajia kuona fedha zinawanufaisha kwa miradi, Lakini kumekuwa na usimamizi hafifu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, akihutubia katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 kilichofanyika katika Uwanja wa Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa, amekemea tabia ya baadhi ya Halmashauri, Wilaya, na Mikoa kusubiri ratiba za Mbio za...
  12. Parabolic

    Lema: Watanzania tunasahaulishwa machungu kwa matamasha ya nyama choma, Bongo flava

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema yupo katika hali ya kukata tamaa kutokana na mwenendo wa baadhi ya vijana wanaotanguliza burudani badala ya masuala muhimu ya kisiasa na kijamii. Akizungumza Oktoba 13, 2026 jijini Arusha katika hafla ya...
  13. Carlos The Jackal

    Elnino ni Mbinu ya Serikali Kuhamisha Fikra za Watanzania Mauaji 2025 , Baada ya Nuhu, Mungu aliweka Agano la Kutoiangamiza Dunia kwa Maji Mengi

    Hamna Mvua kubwa yoyote itakayokuja kua Tishio Wala kuua Binadamu kwa Maelfu !!. Elnino ni Mbinu ya Wahuni kutuhamisha, na kumsogezea Samia Muda !!. Puuzieni Taarifa yoyote ya Elnino KATIBA MPYA FREE TUNDU LISSU TUNAMTAKA NCHIMBI, POLEPOLE NA WOTE WALOTEKWA! UWAJIBIKAJI MAUAJI OKT 29 FIDIA...
  14. R

    GN No. 487A of 2025: Je, tunawalinda watanzania au tunahatarisha uwekezaji halali?

    Nimeandaa makala inayochambua utekelezaji wa Government Notice No. 487A of 2025, inayozuia wasio raia kufanya baadhi ya shughuli za biashara Tanzania. Lengo la kuwalinda na kuwawezesha Watanzania kiuchumi ni muhimu. Lakini kuna swali linalohitaji mjadala; Nini kinatokea kwa kampuni zilizokuwa...
  15. T

    Wasafi fm: Tunashangaa ajali imeua watanzania wenzetu 32 hakuna hata mtu amewajibika tuko bize na simba na niha huku Rais akiishia kusikitika!!

    Ni watangazaji wa kipindi cha good morning wwameongea kwa hisia sana na kushangazwa kwamba licha ya kutokea tatizo kubwa ambapo watanzania wenzetu 32 wamefariki kwa ajali mbaya Moro alafu hakuna anayewajibika Badala yake watanzania na vyombo vya habari wako bize kujadili ushindi wa simba na...
  16. Tlaatlaah

    Kwa idadi ya waTz zaidi ya milioni 70 waliopo sasa, ikitokea hata waTz milioni 10 wakasusia jambo fulani mathalani uchaguzi hapatakua na athari zozote

    Kwasababu, idadi ya ambao hawatasusa inatosha kabisa taifa kumove on bila ya changamoto yoyote kama ilivyo sasa. In fact, Idadi hiyo ya waTanzania, inafanya taifa kufocus zaidi na mambo yajayo kuliko kubabaika na porojo au misimamo isiyo na tija ya ving'ang'anizi ambao wanajipa umuhimu na...
  17. Traxtion

    Kwa nini Watanzania hawafanyi movement kubwa ya kupinga ongezeko la unyanyasaji wa watoto Tanzania?

    Hivi ni mimi peke yangu ndio naona kuna tatizo kubwa la unyanyasaji dhidi ya watoto Tanzania Mwaka huu tumesikia kesi nyingi sana za watoto wa kiume kulawitiwa, watoto wa kike kubakwa na juzi tu huko Pemba kuna mwanafunzi ameuawa na kukatwa mkono Sikuhizi pedophiles wameongezeka sana...
  18. Mi mi

    HAKUNA SABABU YA LISSU KUENDELEA KUKAA NYUMA YA NONDO

    Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu. Huwezi kujitosa kupambania maiti.Watanzania waachwe kama walivyo na maisha waliochagua kuishi.
  19. Mtu mbalimbali

    Rasimu ya Katiba Mpya: Mapendekezo ya Watanzania

    Good day Great thinkers! Kufutia mjadala mpana unaoendelea kuhusu katiba mpya huku kukiibuka mitazamo mbalimbali juu ya kuwezekana au kutokuwezakana kwa upatikanaji wa katiba hiyo, umuhimu wake na nini matarajio ya waTanzania. Nimeona ni vyema nikawasogezea Pdf ya Rasimu ya Katiba ya Jahmuri...
Back
Top Bottom