There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Watanzania wengi walikuwa na tabia ya kukebehi sana hawa wazungu wakitukosoa kwenye lolote hata kama Watanzania wengi wanakubaliana nao. Kumbe ukweli ni kwamba kuna pesa nyingi sana bado tunategemea za msaada.
Kwasababu zamani zilikuwa zinakuja tu ilikuwa rahisi kila kitu kusema ni cha chama...
Kuna Watu Watatu kutokea Mbagala alipokuwa akiishi Mchezaji ' Mahiri ' kwa sasa wa Kitanzania Mbwana Ally Samata a.k.a Popa wamenifanya nianze Kuamini kuwa Watanzania tuna ' Nongwa ' na ' Uswahili / Upuuzi ' mno.
Ni kwamba kila mwana Mbagala sasa anajifanya alikuwa anamjua na aliweza Kumsaidia...
(1) Ni muhimu kutambua kwamba kipindi tunachopitia hakijawahi kuwepo katika historia ya mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini na hata wakati wa chama kimoja.
(2) Hatujawahi kuwa utawala wa kikatili wazi wazi kama huu. Hatujawahi kuwa na utawala usioheshimu Katiba na Sheria za nchi yetu wazi...
Hii tabia ya kujifanya tunaujua mpira saaaaana hadi kwenda kuchafua page ya Aston villa na wachezaji, hakika tunamharibia kijana wetu tunayempenda saana. Atakosa ushirikiano kwenye timu na mwisho aonekane tu hafai. Jifunzeni kutoka kwa wenzenu, wanakosoa na kutoa ushauri bila kutukana matusi...
Nimebahatika kutembelea nchi mbalimbali Afrika (Kusini mwa Sahara); nilichokiona ni kwamba wengi hawana utamaduni wa kifungua kinywa asubuhi (Mzungu huita breakfast).
Najua hata Tanzania yetu pia sio wote wanapata kifungua kinywa, lakini ni jambo la kawaida hasa mijini, asubuhi kupata kikombe...
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo
Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information
Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in...
Wale tuliofurahishwa na maamuzi ya Secretary Pompeo naomba tumfollow Twitter, tuvamie Twitter page yake na following za kutosha.
Kama ilivyo kwa watu wa mpira walivyofollow aston villa hadi wazungu wakajua tulivyofurahishwa na usajili wa Samatta kule kwao basi tumfollow Pompeo hadi ajue...
Wadau
Vyombo vya habari nchini Marekani vinaripoti kuwa raia wa Tanzania wamepigwa marufuku kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu wa kupata viza ya kuingia Marekani.
Bahati nasibu hiyo hutoa visa kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na...
Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
(Summary). Habari wana jamvi leo nazidondosha kwenu nukuu kadhaa za mzee wetu mandela ambazo nimezifanyia uchambuzi kidogo dhidi ya mustakabali wa taifa letu katika upungufu wa democracy
Karibuni jamvini "
(A) KUHUSU HUKUMU
(1) Do not judge me by my successes " judge me by how many times I...
Wanabodi,
Makala za Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla
Naendelea na Makala zangu ziitwazo Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la kila siku za Jumatatu. Hizi Makala zitafuatiwa na Kipindi cha TV chenye jina hilo hilo ambacho kitaanza kutoka kwenye vituo...
Kama Watanzania bila kujali Umri, Itikadi zetu za Kisiasa, Jinsia, Kabila, Elimu na hali zetu za Kiuchumi kwa muda wa siku tatu mfululizo tumeweza kuhamasishana na kuhamasishwa na 'Mghaibuni Mpinzani 'kuupenda na 'Kuulaiki' wimbo mpya wa Msanii Ali Kiba wa ' Seduce me 'hadi hivi sasa natiririka...
Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana Najiuliza:
1) Tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko...
Wanabodi,
Preamble
Mtu mwenye akili na mwenye busara, anapojikwaa na kuanguka, anaangalia mahali alipojikwaa, ili kuipata sababu iliyomfanya ajikwae na kuanguka, badala ya kuangalia alipoangukia tuu, anaamka na kuendelea na safari yake, hivyo huko mbele atakuja kujikwaa tena pale pale...
"WATANZANIA HAWA WANATAKA MABADILIKO, WASIPOYAPATA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM" JK. NYERERE....."LAZIMA CCM TUWAPE WATANZANIA MABADILIKO WAYATAKAYO ILI TUENDELEE KUONGOZA" Nnauye (mtoto wa kuli).
NIMEKUTA KWENYE WALL YA NAPE YA FB, ANAYAAMINI HAYA?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.