There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Jana Nilikuwa Napiga Stori na Rafiki Yangu Mmoja hivii, Akaniuliza Sasa Mwanangu Umemaliza Chuo Una Mipango Gani !? Nikamwambia January Tunaenda internship Hivyo Mpaka tunamaliza Nitahakikisha Nimekusanya Laki 5 ya Mtaji wa Chips.
kusikia hivyo jamaa Aka'panic Akaanza kusema "Chips Mtaji wake...
Nakumbuka miaka michache nyuma kuna msanii maarufu alinunua Rolls Royce. Kwa kweli mitandao ilichafuka kwa kebehi,kashfa na maneno mengi yenye mlengo hasi. Mara used, mara bei kaongeza sifurimara sio lake,mara matairi vipara basi tu ili mradi watu waliojaa sumu mwilini wazitoe na wamshushe...
Tundu Lissu anawasanifu Watanzania kwa familia yake kuwa nje ya nchi na kuwa wanawe ni raia wa Marekani. Watanzania nao, wakiweno viongozi na wanachama wa Chadema, nao wanamsanifu Tundu Lissu kwa kumuacha abebe msalaba wake kwa ubwabwajaji wake. Ndo Dunia hiyo.
Tulikua na mahakama za kijadi ambazo zilisimamia mashauri kwa Haki na Usawa , kuzidi hii Mahakama ya hawa jamaa wa Law School zilizo chini ya CCM !! Kwa nini tusifanye kampeni ya kuikataa hii Mahakama sisi kama wananchi , tuikatae na watumishi wake wote. Mpaka pale itakapo thibitika...
Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
Mahali popote ukisikia Mtanzania anazungumzia maadili ujue ana makasiriko na ugomvi dhidi ya ushoga, mavazi ya wanawake, wanafunzi kupata mimba labda na kwa mbali single mothers na matusi.
Ni nadra ukute Mtanzania anatokwa na povu kuhusu kuporomoka kwa maadili akiwa anamaanisha rushwa, ufisadi...
Salaam jamiiforum.
Tupendane,tuhurumiane,na tusameheane, maana hakuna mkamilifu kwenye uso wa Dunia.
Tusilipiziane visasi,tusiumize kizazi kingine Kwa makosa ya kizazi kilichopita.
Tusiendekeze itikadi na misimamo ya kidini,hii itatugawa mapema kama mwanga wa radi.
Yaani mkatoliki ajione ana...
Hili ni swali tu,
Kwamba bila kujali faida za kiuchumi zitokanazo na maafisa usafirishaji wa bodaboda, tuangalie upande wa pili wa shilingi wa maamuzi haya,
1. Ni watanzania wangapi wamepoteza maisha au kusababishia mauti wengine kutokana na ajira hii ya bodaboda?
2.Je kusitisha shughuli hii...
Nchi ndogo km Botswana inaingia mara 20 kwa Tanzania..lkn wanaweza kuheshimiana, viongozi wanawaheshimu raia na raia wanaheshimu viongozi..appointments zinafanyika kwa merits..huwezi tarajia kwa mtu mwenye background km hii ya Profesa Kenosi aelekeze watu/raia wakosoaji wa serikali kutekwa...
Changamoto kubwa iliyopo sasa ni dhana kwamba kwenda nje ya nchi ni sawa na kupata utajiri wa ghafla, hali inayofanya familia kuwa na matarajio makubwa mno. Kila mtu, kuanzia wanafamilia hadi wajomba hadi marafiki, wanajiona wana haki ya kuomba pesa kwa kila jambo. Kiuhalisia, maisha ya...
Nimemsoma Ayubu Rioba Chacha anamuita Tundu Lissu ndugu yake na anamtakia maisha mema ya gerezani. Ninavyofahamu Lissu ni Mnyiramba au Mnyaturu wa Singida na Rioba ni wa makabila mojawapo ya huko Mara, sasa undugu wao unatokea wapi ?!
Watanzania tunapaswa kufuta fikra na mawazo ya kwamba kwa...
Nachukia sana ninapo ona jitu kama kiongosi limezungukwa na misitu,iliyojifunika minguo ya ccm wakisubiri uongo.
Yaani leo hio kiongosi unawadanganya hayo maccm yakuwa Tundu Lissu aliandika barua za kuomba msamaha kabisa?ili jitu likoJe na mikengeza hiyo litakuwa pia ni kiziwi? halisikiii wala...
Polisi nchini Kenya wamewakamata raia watatu wa kigeni, Watanzania wawili na Mganda mmoja, kufuatia operesheni iliyofanikisha kupatikana kwa kilo 454 za dawa za kulevya zinazoshukiwa kuwa methamphetamine katika Kaunti ya Kwale.
Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya KSh3.6 bilioni katika soko...
Tulifunzwa, mafahali wawili wagombanapo, zinazoumia ni nyasi. Hiki ndicho kinachoendelea nchini kwetu sasa.
Kwahali ilipofikia sasa, kutafuta nani anamakosa haitatusaidia. Maana lipo wazi hakuna upande, kati ya CCM na CHADEMA ambao upo tayari kukiri na kuwajibika.
Hii mivutano na vita za...
Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri
Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
Zamani mambo mazito yakuibua hisia za wanainchi yalikuwa yanaishia uku mitandaoni unatamani yule mama mpika vitumbua pale au yule mwenye genge ufike agiza chakula ukute mijadala mizito kuhusu mustakabali wa nchi ila hapana ulikuwa unakuta shwari kama ilivyo mitandaoni leo hii yani kama hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.