There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza?
Jibu ni Moja tu .
Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
Mzee wetu Mohamed Said ambaye kila kukicha anazungumzia kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika na kudai kuwa nafasi ya waislamu kwenye uhuru haikuandikwa vyema asisahau kuandika kuhusu kiongozi katili wa kiislamu aliyevunja rekodi ya mauaji ya raia october 29.
Pia asisahau kuandika historia ya...
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii fursa.
Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo...
Baada ya pilika pilika za kutafuta ugali, jioni hii Nimekaa-zangu nje ya nyumba napata upepo wa el Nino. Anapita njiani mtu mzima ila simfahamu kabisa maeneo ya mtaa wetu, kisha ghafla anajongea karibu yangu na kuniuliza unamfahamu Pendo.
Mimi: pendo wa wapi
yeye: anakaa mitaa hii, kama...
WATANZANIA WAJITOKEZA KWA WINGI KUOMBOLEZA MAUAJI YA 29.10.2025.
Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na serikali ilitangaza kuwa watu 518 walikufa katika ghasia zilizohusiana na uchaguzi wa Oktoba 2025.
Samia Suluhu Hassan ambaye anasema ni rais baada ya mauaji haya, hajatoa fidia kwa majeruhi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuweni Makini sana na Maigizo yanayoletwa kwa njia tofautitofauti.
Maria Sarungi amewahi kufanya Maigizo ya kusema Ametekwa halafu eti baadaye akajifanya kwamba eti aliwashinda nguvu watekaji .
Lengo likiwa ni kutaka kuichafua Nchi yetu na serikali yetu kwa maslahi...
Jana Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akizungumza na vyombo vya habari, ametoa wito kwa watanzania kugoma kula lengo likiwa kumuunga mkono mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Kuna maswali ambayo yanastahili kuulizwa pale viongozi wa kisiasa wanapotoa wito kwa wananchi kuchukua hatua za...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa wito kwa watanzania kufanya migomo mbalimbali ili kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kufanywa na Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu, kuanzia Jumatatu ya Oktoba 26, 2026.
Nimeona mwanafunzi mmoja wa chuo anaitwa Kiriba analalamika CHADEMA hawakwenda kwenye msiba wa Samia.
Huwa naona pia Steve Mengele akilalamikia kwa uchungu sana wasanii wakikosa kwenda kwenye msiba.
Ni Watanzania wengi huwa naona wana hii tabia ya kulalamikia au kulazimisha watu kwenda kwenye...
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!
Ujue katika dunia ya sasa suala...
My Take
Tushike lipi?
https://www.instagram.com/reel/DevpsREotHp/?psln=ZXdlbzlocTFxODEy
Kutoka Kwa TMA wao wanasema El Nino ilishaanza Toka mwezi wa 5.
https://www.instagram.com/reel/DexIUhdsYeW/?obrf=MWhuZXZzbGpiY2NodA==
My Take 2
Watanzania ndio watu pekee Duniani wanaoombea wapate majanga...
Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo
Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka
Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna...
Ndugu zangu Watanzania,
Sasa Rais Samia ni Kama Imani kwa Watanzania. Ni Rais ambaye amefanikiwa kujijengea Himaya na Ngome yake binafsi ndani ya Mioyo ya watanzania. Huwezi kupenya na kuharibu imani hiyo ya watanzania kwa Rais Samia . Unaweza wapokonya watanzania kitu chochote kile lakini...
1. Hatujui tunataka nini, lini ,na kwa nini
2. Tunapenda kupuuzia mambo ya msingi
3.Wepesi kusahau
4.Wazito kusoma vitabu
.........
Shusha zingine unazozijua
"When an introvert speaks ,every word reasonate"
Ni dhahiri hawa wauaji wamepanga kumfunga Tundu Lissu na hawana mpango wa katiba mpya ambayo itawaondoa madarakani.
Sasa kwa umoja wetu tuamke na tuingie barabarani kuhakikisha haki inapatikana Tanzania.
Tundu Lissu ameonyesha dhamira ya kweli na kutupigania watanzania, tunapaswa...
Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu. Tunashukuru kwa uchapakazi wake .
Tumshukuru kwa kujitoa na Kujitolea...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Nne la Kitaifa la Uboreshaji wa Huduma za Maktaba litakalofanyika Oktoba 20 hadi 22, mwaka huu, katika viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.