watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Watanzania washikamana zaidi, Upendo kwa Lissu waongezeka, Kila Mtanzania anaimba Lissu Lissu ,Maandamano yajayo yatawafurahisha

    Wametuua kwa Maelfu Oktoba 29. Polepole hajulikani alipo Nchimbi hajulikani alipo. Lissu anafungwa jela Kihuni. Ni nani aliyesalama ?.
  2. REJESHO HURU

    Ukipima reaction ya watanzania sasa kwenye mitandao ya KIjamii utaona mambo shwari ila ukienda mtaani mambo ni moto

    Zamani mambo mazito yakuibua hisia za wanainchi yalikuwa yanaishia uku mitandaoni unatamani yule mama mpika vitumbua pale au yule mwenye genge ufike agiza chakula ukute mijadala mizito kuhusu mustakabali wa nchi ila hapana ulikuwa unakuta shwari kama ilivyo mitandaoni leo hii yani kama hakuna...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Watanzania wameonyesha ukomavu mkubwa kiakili na kisiasa. Gumzo kubwa ni hukumu ya kionevu aliyopewa Lissu wala sio harusi ya mtoto wa Ruto.

    CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza. Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
  4. Sifi Leo

    Maombi ya Lissu kwa majaji dhidi ya hukumu yake, na kukaliwa kimnya, watanzania fatilieni kwa nini watoto wa majaji na mahakimu ni vichaa,ni matokeo..

    Sababu alizo zitoa Tundu Lissu mahakamani leo baada ya hukumu na kukataliwa kwa ukimya wa majaji walah vizazi vyao vitalaaniwa. Nimewahi kujiuliza hivi kwa nini Mahakimu wastaafu wa Tanzania baada ya kustaafu kwao vizazi vyao ukumbwa na mikosi kama utaila na kadhalika? Sio tu mahakimu hata...
  5. K

    Watanzania wengi rasmi sasa wanadharau mahakama za Tanzania

    Watanzania wengi rasmi sasa wanadharau mahakama za Tanzania hazina tofauti na Polisi
  6. K

    Jaji mkuu kwa Watanzania wengi anaonekana kama Boya na mlalamishi tu!

    Jaji mkuu kwa Watanzania wengi anaonekana kama Boya na mlalamishi tu!. Huwezi kumlinganisha na watangulizi wake mtu pekee ambaye ni boya kama yeye ni mswahili wa tanga Jaji Mohamed Chande Othman . Badala ya kufanya kazi analalamikia majaji wengine
  7. K

    Hakuna wakati kwenye historia yetu Watanzania wamekosa furaha kama 2025-2026

    Hakuna wakati kwenye historia yetu Watanzania wamekosa furaha kama 2025-2026. Sikumbuki ni wakati gani kila ukiongea na Mtanzania yeyote ni malalamishi tu kuanzia mwananchi wa kawaida mpaka viongozi
  8. S

    Baada ya Lissu kufungwa, viongozi wa CHADEMA na watanzania wataona hawana tena cha kupoteza kwa kwenda jela

    Licha kuongeza chuki na hasira miongoni wa wanachadema na watanzania kwa ujumla, athari za hukumu hii ni kuwafanya viongozi wa CHADEMA na watanzania kwa ujumla kuona hawana tena cha kupoteza iwepo na wao watashitakiwa na kufungwa jela
  9. technically

    Watanzania hakikisheni AFCON haichezi Tanzania

    Watanzania hakikishe AFCON haichezwi Tanzania at any cost Huu utakuwa ujinga kushabikia mpira wakati ndugu yetu kafungwa kihuni. Na wenzake wanatekwa na kuuawa na kupotea kipumbavu. Ni wakati wa kuinyesha duniani kuwa Tanzania sio sehemu salama Tena kuishi. Tuandae maandamano makubwa Wiki...
  10. instinct desire

    Mange Kimambi anatutukana matusi ya nguoni sisi Watanzania, hii laana hataikwepa.

    Kwakweli Mange Kimambi anatutukana sana ss watanzania, niseme tu kuwa Hii laana haitamuacha salama. nawaasa chadema watamke kutofungamana na kauli za matusi za Mange kimambi otherwise hii laana itaendelea kuwatafuna chadema kwenye maisha Yao yote ya Siasa. Tunachotakiwa kujua kwamba hakuna...
  11. instinct desire

    Tunaipongeza judiciary kiukweli kauli za Lissu zilisababisha majeraha makubwa sana kwa Watanzania

    Lissu ndiye aliyesababisha watu wakapata madhara makubwa sana, kauli za lissu zilikuwa ni kauli za kishetani sana. Viongozi wa chadema walikuwa wanatoa kauli za hovyo sana zilizo athiri ustawi wa Taifa letu, siku nyingne Tunaomba adhabu iwe kubwa zaidi.
  12. M

    Watanzania achananeni na Wanaharakati feki akina Nuruvazi, tarehe watu wote tufike mahakamani

    Msiseme hamkuambiwa hawa wanaharakati wa tiktok akina Nuruvazi na wengine wengi ni assets wa TISS na CCM wamepewa kazi ya kukusanya taarifa na kuharibu Harakati na siasa za ukombozi. Hao vijana kazi yao ni kuharibu Harakati na kutengeneza visa kila wakati vuguvugu LA siasa na Harakati...
  13. Traxtion

    Kwanini Watanzania wengi sana wanachanganya L na R?

    Nilikuwa siamini ila sasa nimejionea mwenyewe. Wakenya walipokuwa wakituambia Watanzania kwamba hatujui Kiingereza, tulikuwa tukiwajibu wao kuwa hawajui Kiswahili. Lakini Wakenya nao wakawa wanatusema Watanzania pia hatujui Kiswahili kwa sababu tunachanganya sana L na R. Kiuhalisia nilikuwa...
  14. Gunner11

    Watanzania tunashida ya utambuzi. (Lema's incident)

    Maybe because of poverty? Maana huwa tunakosa logic kwenye vitu simple sana. Inamaana watu mmeshindwa kabisa kuchuja, maneno ya Lema na hali ya kisiasa? Lema ni nani katika siasa? Au kisa ni CHADEMA ndo' awe na autonomy ya kuongea kitu hata kama hakina mashiko basi kizingatiwe? Yaani chama...
  15. L

    Kwa Sasa CHADEMA ni Kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli huku CCM ikiendelea kuchanja Mbuga Mioyoni Mwa Watanzania. Furaha Yangu ni CHADEMA Ikifarakana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa CHADEMA ni kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli. Wanaruka na kukanyagana utafikiri Walevi wa gongo . Kila mtu anaruka kivyake na kutoka kivyake . Kila mtu anapuyanga kivyake ,kila mtu na njia yake . Chama kimeota Mapembe na kila mtu ana ndevu utafikiri Mabeberu...
  16. K

    HIVI Bado Kuna watanzania wanafutilia taarifa za habari kupitia TV, au kusoma magazeti zaidi ya vipindi vya michezo

    Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV. Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
  17. L

    Mtoto wa Rais Samia Wanu Hafidhi awashukuru sana watanzania Kwa faraja na upendo mkubwa walio uonyesha baada ya kumpoteza Baba yao

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa WANU HAFIDHI Dada Yetu Wa Taifa Na Mtoto wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ametoa Shukurani Za Dhati kabisa kutoka ndani ya Sakafu ya Moyo wake kwa niaba yake binafsi na Familia...
  18. Wakusoma 12

    Kuanzia mwakani 2027 kumbukumbu za mauaji ya watanzania (mauaji ya kimbari) zinapaswa kuwa siku ya maombolezo ya kitaifa. Wananchi tuweke mkakati.

    Hakuna haja ya kusubiri watuhumiwa wajadiliane namna ya kukumbuka marehemu wetu. We are the nation.
  19. Keynez

    Mgogoro wa Simba SC unatumika kupumbaza Watanzania waone kudai Katiba ya JMT kutaleta vurugu na mifarakano

    MODS muuache huu uzi kwenye jukwaa la siasa, msiupeleke jukwaa lingine lolote maana hoja hii ni ya kisiasa. Nimewahi kusema sana kwamba mpira wa Tanzania unatumika kama project za propaganda au kuwaandaa kisaikolojia watanzania kwa matukio ya kisiasa. Ni jambo ambalo nimelifuatilia na...
  20. A

    Mh. Rais TANESCO Arumeru-Arusha inakuhujumu, imekata umeme watanzania wasifuatilie shughuli zako Dodoma

    Watanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma...
Back
Top Bottom