There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Kila nikiwaza, nabaki kusikitika tu.
Uongozi wa Magufuli, ambao aliuita serikali yake “serikali ya viwanda”, tangu alipofariki hakuna hata media moja kati ya zile zilizokuwa zikimpigia promo na kuitakasa serikali yake inayoweza kukuonyesha hata viwanda vitano tu vya enzi ya Magufuli.
Wananchi...
Dongo la Mtu Necessary (Content Creator wa Kenya) kwa Watanzania: Vipaumbele vyetu viko wapi au tumerogwa? 🧵
Kuna video inayosambaa kwa kasi mtandaoni ya content creator maarufu wa Kenya, Mtu Necessary, akituvua nguo sisi Watanzania kwa dhihaka na dongo la kimkakati. Jamaa anasema ukiangalia...
Mahakama ya Mombasa imewaruhusu Polisi kuwazuilia kwa siku 21 raia wawili wa Tanzania wanaoshukiwa kuhusika na madai ya kuwaduwaza abiria wa mabasi na kuwaibia mali zao.
Uamuzi huo unawapa wachunguzi muda zaidi wa kukamilisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo linahusisha mali yenye thamani ya zaidi...
Tunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa ajili ya Watanzania ambazo ziko katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano ndiyo inaratibu zoezi zima kwa kushirikiana na wizara za kisekta ikiwemo ya Mambo ya Ndani pamoja na ile ya Mambo ya Nje na...
Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii,
I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
Msanii wa muziki wa Rap nchini, Dudu Baya, ametoa shukrani za dhati kwa Watanzania na wasanii wenzake Madee, Babu Tale, na Fid Q baada ya kumsaidia kumlipia faini ya mahakamani.
Akizungumza kuhusu msaada huo, Dudu Baya ameeleza kuwa fedha kiasi cha Shilingi milioni tatu ambacho alikuwa...
Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba?
Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Watanzania wapoteza imani kwa Vyombo vya Habari
Anayetupima kwamba tunafanya kazi yetu vizuri ni yule tunayemwandikia. Ninachoweza kukiri ni...
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili
Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?
BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani?
Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa
Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
agenda
basata
chama
dhidi
dudu baya
dudubaya
hapo
hawajitambui
kichwani
migongo
mkono
nguvu
sehemu
tafakuri
trauma
ulinzi
ushoga
vita
vita ya ushoga
wanachadema
watanzania
wenyewe
Maono ya Waraka wa masaa 120 ya mwezi September 2026 kutoka kitabu cha wenye mamlaka (Waamuzi).
Tazama, siku zitakuja ambapo watu wa nchi watakusanyika katika majira ya mashaka, na nyoyo zao zitajawa na maswali kwa sababu hawatajua yaliyo mbele yao.
Nao watasema, “Ni nani atakayetutangulia? Ni...
Ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania linatarajiwa kufikia takribani milioni 120 ifikapo mwaka 2050, hali inayotarajiwa kuongeza mahitaji ya miundombinu na huduma muhimu. Fursa kubwa zinaonekana katika ujenzi wa nyumba, barabara, hospitali, mifumo ya maji na miundombinu ya mijini, huku sekta...
Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai.
Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
Kwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo.
Kuna Dada anajiita Diva ni binti wa Malinzi ana mashauzi kama yote isitoshe amepanga Masaki.
Sasa kituko anadaiwa kodi ya miezi mwenye mjengo kaja juu, Dada wa watu kwa kutambuwa ana utajili wa misukule...
Kila siku tunasikia taarifa za ajali zinazopoteza maisha na kuacha familia zikiwa na majonzi. 😔 Hamna mtanzania ambaye yupo salama ambaye anatoka asubuhi kwenda kutafuta. Polis wa usalama barabarani fanyeni kazi kwa weledi ajali zinaepukika.
Tuwe makini barabarani:
🚗 Epuka mwendo kasi.
📵...
Abdallah Msofe Abdallah alipojiunga na Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China (CHEC) miaka sita iliyopita, alianza kama mfanyakazi wa kawaida katika mradi wa ujenzi jijini Dar es Salaam.
Leo, Mtanzania huyo anahudumu kama meneja wa rasilimali watu katika mradi mpya wa bandari ya Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.