uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Chuo cha UDOM uboreshe usafi hasa vyoo vya mabweni, hali si nzuri huko

    Naomba kuwasilisha kero hii kupitia jukwaa hili labda Serikali inaweza kuchukua hatua hitajika ili kuweka mazingira salama kwa ajili ya usalama wa afya za Wanafunzi na kutoa mazingira rafiki kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Hali ya usafi katika chuo hiki ni mbaya sana, hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

    Salaam Wakuu, Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu. Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini. Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa. Watu...
  3. JamiiForums Tanzania Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi

    Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi. Maneno haya nime yatafsiri kutoka kwa pole pole, katika uhalisia mtu anaweza kuwa kiongozi mbaya kutokana na mazingira anayo yaongoza, mfano samia amevunja katiba wazi wazi ya chama...
  4. JamiiForums Tanzania NI UONGOZI UPI KWENU ULIWAFAA NYIE WALALAMISHI WA KILA JAMBO

    Nyerere ooooo Mwinyi oooo Mkapa oooo Jk blaaaaa Jpm blaaaablaaa Suluhu blaaa and out Yupi aliwapa ahueni.
  5. JamiiForums Tanzania Polepole alishwahi kushika ngazi za juu Kabisa za uongozi kwa hiyo kuna mambo ya Sirini hawezi kuyasema kama mnavyofikiria

    GT Kwanza tujupongeze sisi sote tulioweza kumsikia mhe polepole mwanzo mwisho. Japo maCCM walijaribu kupambanana na technology tusimsikie lakini tuliyapiga knock out. Ndugu zangu kumbukeni Mhe polepole alishwahi kuapa kwamba atailinda na kuitetea katiba ya JMT lakini pia hatatoa siri za...
  6. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    Mtasema yote au tutasema yote sijui mara Mangungu mara try again mara tajiri kibyongo Mo Dewji mara rafiki yangu na mtani wangu wa Kiha Kocha Matola mara sijui Mtani wangu mwingine wa Kihaya Meneja Rweymamu mara Wajumbe Poti wangu kutoka Kwetu kwa Wanaume wa Shoka Mkoani Mara (Musoma) Magori...
  7. JamiiForums Tanzania Barua ya TFF kuomba miaka 12 ya uongozi BMT yanaswa, Karia na genge lake wakumbuka shuka kumeshakucha

    Ni kama mtu anayejifunza kuogelea siku meli inazama. Too late!!! Imebainika kuwa uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ulianza kushinikiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kubadilisha Sera ya Michezo ya Taifa kuongeza ukomo wa madaraka ya uongozi wakati tayari Katiba yao...
  8. JamiiForums Tanzania Nikiangalia usajili wa timu nyengine, reserve ya pesa waliyonayo, uongozi mathubuti wao basi niishie kusema R.I.P kwa timu yangu Man Utd. Tulikupenda!

    Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi. Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
  9. JamiiForums Tanzania Mizizi ya Dhambi Katika Uongozi wa Tanzania

    Katika historia ya mataifa mengi, na hasa Tanzania, uongozi umetazamwa kama dhamana takatifu inayopaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kutekelezwa kwa moyo wa unyenyekevu. Hata hivyo, hali ya sasa inaonyesha picha tofauti: watawala wetu wengi wanabeba dhambi kwa tamaa za kidunia. Tamaa ya madaraka...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Dkt. Kisenge tafadhali tulia ofisini, JKCI inaharibika

    Dkt. Kisenge tafadhali Tulia ofisini Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), nikueleze. Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagera ana lugha chafu sana. Tuanze kwenye kupima BP wahudumu hutoka kila baada ya kupima watu kumi. Pharmacy kumeoza mtu wa computer huwa anachezea...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya Polepole kuimarisha uongozi nchini ni kujiunga na Chadema au ACT Wazalendo kama mgombea uraisi asaidie kupata wabunge wengi wa upinzani

    Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani. Baada ya barua ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mohamed Kawaida: Kila kiongozi akiamua kujiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, hatutokuwa na uongozi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Nchi ni kama haina uongozi. Kwa hali hii ya kisiasa, kuna jambo baya laweza kutokea wakati

    https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf- Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
  14. JamiiForums Tanzania Kama ni kujiuzulu,alipaswa afanye hivyo enzi za JPM badala yake alitoa kauli kuwa kipindi cha uongozi wao watashikisha watu adabu,huyo ni mfa maji tuh

    Friends and our Enemies, Muda siku zote huwa ni hakimu sahihi sana wa matendo yetu hapa ulimwenguni. POLE POLE,Enzi za mwendazake kipindi ambacho demokrasia ya Taifa hili ilikuwa gizani,uhuru wa vyombo vya habari ulikuwa mashakani,wafanya biashara walipokawa kifungoni na kutakiwa kuishi kama...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mama atabaki na wapigaji na wanzanzibari kwenye uongozi

    Wapigaji ni washabiki wakubwa wa Mama wapigaji wakubwa ni familia ya kikwete na Mwigulu. Wengine ni Wanzibari ambao ni wafaidika wakubwa wa uongozi wa Mama. Usalama wa taifa, balozi nchi zilizoendelea na sehemu muhimu sasa zinawekwa wapigaji au wanzanzibari. Watu wenye nguvu sasa kutolewa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020. Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived. Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
  17. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ajivua uongozi: Ni utu, ujasiri au kujipanga upya?

    Wakuu, Leo tunashuhudia jambo ambalo si la kawaida kwenye siasa za Tanzania. Humphrey Polepole mwanasiasa wa muda mrefu wa CCM, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa zamani, Mbunge, na kisha Balozi – ameandika barua rasmi ya kujiuzulu nafasi yake ya uongozi wa umma na ubalozi. Lakini si kujiuzulu tu...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi hii wanasiasa wamejipimia viwango vidogo sana vya uongozi unaocha alama.

    Mrisho Gambo anaamini katika zama hizi watu wa Arusha(mji mkubwa zaidi wa utalii nchini na Africa Mashariki) kufungiwa umeme ambao wanaolipia wenyewe kila kitu ni uongozi unaocha alama! Hivi wastani wa IQ za mwafrika mweusi ni ngapi?
  19. JamiiForums Tanzania Uimara wa uongozi wa Mangungu

    Wakuu kama mnavyojua kiongozi Bora lazima awe na msimamo usiotetereka hasa taasisi yake inapopitia changamoto yeyote. Mangungu toka Mwaka 2023 amekuwa akisakamwa kila Kona na wanasimba wakinishinikiza ajiuzuru lakini Baba wa watu amekuwa imara kuhakikisha anatimiza ndoto yake ya kuifikisha...
  20. JamiiForums Tanzania Ludwig erhard: Nchi haiwezi kuendelea ikiwa uongozi upo mikononi mwa wachache

    Aliyekua Waziri wa uchumi wa Ujerumani na baadae Counsellor ambae alifufua uchumi wa Ujerumani baada ya kuharibiwa na vita ya Hitler alindika kitabu chake kinachojulikana kama "Prosperity through competition." Na katika hiki kitabu ameongea mengi ila kikubwa anasema the nation cannot progress...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…