uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanatawaliwa na uongozi wasioutaka na kwao wanasema ni haramu.

    Wanasema hawampendi huyu mkuu wa nchi. Kuanzia watoto wazee mpaka vibibi. Anawatawala kwa lazima sababu tu analindwa na jeshi. Kuanzia bodaboda, wauza mkaa hadi watoto hawampendi. Hawataki awe kiongozi wao...
  3. polokwane

    JamiiForums Tanzania CCM mnagawa tu uongozi sijui ni mkumbo,sifa au mnahisi kuna mnao wakoma mnasahau hao mnao wapa uongozi ni watu wanao simamia mustakabali wa taifa

    Uongozi ndani ya CCM kwa sasa sio vigezo tena nadhan kwa sasa ni mkumbo na uchawa matokeo yake taifa linapoteza kabisa sifa na heshima pamoja na uwajibikaji, nchi inanuka wizi ,rushwa,ubadhirifu na mauaji .
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa madini, tunaomba ufafanuzi kuhusu uhalali wa uongozi wa FEMATA! Ukizingatia kuwa FEMATA haina katiba

    Mheshimiwa Waziri wa Madini, Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA). Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ufafanuzi wa mabadiliko ya gharama za masomo UDSM

    Habari zenu, ndugu zangu wanafunzi. Ninaomba nirejee suala hili kwa mara nyingine, nikitumaini kwamba sasa nitaeleweka vizuri. Naomba mnipatie nafasi nieleze kwa kina kuhusu mabadiliko ya gharama za chuo chetu. 1. Sababu za mabadiliko ya gharama za chuo Kwanza, mabadiliko haya hayajafanyika...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaomba mtupazie sauti, Watumishi wa Umma ngazi ya Kata, tunateswa na Madiwani, Watendaji na Uongozi wa CCM

    Tumeajiriwa kama wataalamu wa Kata, lakini baadhi ya Watendaji wa Kata wanatulazimisha kubaki ofisini na kufanya majukumu ambayo kimsingi ni yao. Hali hii inaturudisha nyuma kimaadili na kiutendaji. Tunachangishwa michango ya chama, wakati kwa maadili ya utumishi wa umma, wataalamu tunapaswa...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Godbless Lema kujivua nafasi zake zote za uongozi CHADEMA

    Haijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa. Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Sanaa na Mdidimizo wa Maadili ya Uongozi katika Jamii ya Sasa

    ANDIKO LA FANANI WA HBC (THE NIGHT WATCHER) KIONGOZI VS MSANII Ni UKWELI USIOPINGIKA kuwa NGUVU ya MSANII kwa kutumia SANAA YAKE ni KUBWA kuliko NGUVU ya KIONGOZI anapotumia SIASA ZAKE na pia SAUTI ya MSANII haina TOFAUTI na NGURIMO Za RaDi anapoiisemea JAMII YAKE. Tuna mifano MINGI ya...
  9. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Tuunge mkono Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mipango na vipaumbele

    Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka ijayo. Hakuna mradi uliosinama Tukumbuke pia maendeleo ya nchi si jukumu la Serikali pekee. Sisi...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rekodi Mbaya ya Utawala wa Samia Suluhu Hassan: Tanzania imegeuka Nchi ya Misiba, Kesi za Uongo na Uteuzi za hovyo

    Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣 Salaam Wakuu, Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi? Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Miaka 5 ya Uongozi wa Rais Samia,Tanzania Yaanza Kuzalisha Smartphone na Kutengeneza Ndege Ndogo

    My Take Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu 😂😂 Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani na Nje kuanzisha Viwanda vya kimkakati kama hivi. Ushauri wangu ni tununue "Made in Tanzania",Mimi...
  12. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nzuri Tuionayo sasa, ni matokeo ya uongozi bora kutoka Chama cha Mapinduzi

    Ukikaa chini ukatafakari historia ya Tanzania, ni vigumu kuizungumza bila kuitaja CCM. Chama hiki kina historia ndefu sana katika safari ya taifa letu. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, CCM imekuwa sehemu ya uongozi na shughuli mbalimbali za kisiasa na kijamii nchini. Kwa miaka yote hiyo...
  13. idiomer

    JamiiForums Tanzania Ili tuendelee tunahitajika 1. Watu 2. Ardhi 3.. Siasa safi 4. Uongozi safi

    Hapa tumebaki na nini? Ardhi ????
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa uongozi wa Jamii forums. Wekeni utaratibu mtu ukimuignore asiweze kuona nyuzi zako au comment zako

    Mijitu mipumbavu ambayo inatumia makalio kufikiri . Mijitu inayodandia mada hata kama hizo mada haziwahusu. Inatakiwa ukiiblock isiweze kuona nyuzi au comment zako.
  15. Five55

    JamiiForums Tanzania Kahama: Huenda hii ikawa ni miongoni mwashule nzuri zaidi Tanzania ya binafsi yenye ada nafuu lakini haikosi top 10 za Kitaifa || Tunaupongeza uongozi

    Kwa zaidi ya miaka 20 mfululizo, shule za Kwema Modern Secondary School na Kwema English Medium Primary School zimeendelea kung’ara katika 10 bora za kitaifa, zikijipambanua kama taasisi za kipekee zinazojenga msingi thabiti wa nidhamu, maarifa na mafanikio ya kudumu. 11 Septemba 2026 — Shule...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUKIRUDI KWENYE CHIMBUKO LA MFUMO HUU TUTAONA MAONO YA NYERERE HAYAKUWA KUMJENGA MTU BALI KUJENGA TAIFA LENYE UONGOZI UNAOWEZA KUTENDA

    Tunapojadili leo kwamba Rais ana mamlaka makubwa hivyo Tanzania inahitaji Katiba Mpya ni muhimu sana kurudi nyuma na kujiuliza Kwa nini Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alichagua mfumo wa Rais mwenye mamlaka ya kiutendaji baada ya Tanganyika kuwa Jamhuri mwaka 1962? Tanganyika ilipojipatia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa IAA, tafadhali chukueni kwa uzito suala la weledi, maadili ya ufundishaji na usimamizi wa mitihani

    Kuna malalamiko yanayojirudia kutoka kwa wanafunzi, hasa katika ngazi ya Master’s, kuhusu namna baadhi ya mambo yanavyosimamiwa chuoni. Hili si suala la mwanafunzi mmoja; ni jambo ambalo wanafunzi wengi wamekuwa wakilizungumzia na kujaribu kulifuatilia bila kupata majibu au suluhisho la...
  18. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Uongozi wa Wanawake kwenye taasisi huleta faida zaidi | London Stock Exchange

    Kafulila: Taasisi Inayoongozwa na Mwanamke Huleta Mafanikio zaidi. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akihutubia katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amesema kuwa taasisi yoyote itakayoongozwa na mwanamke kwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Tazama. Hii Ndiyo 'Cream' ya Uongozi wa Taifa Hili.

    Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM. Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili. Labda 'niqualify' tu kwamba ni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Tazama. Hii Ndiyo 'Cream' ya Uongozi wa Taifa Hili.

    Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM. Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili. Labda 'niqualify' tu kwamba ni...
Back
Top Bottom