uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa Yanga ni mfumo wa uongozi. Msolla na Mwakalebela waondoke kwanza

    Habari wadau, Nimeona yanga leo tumemfukuza kocha Kaze. Hii haijatosha. Niliwahi kuandika kwenye uzi wa Enyimba success case study maneno haya. Mimi ni mwanayanga ila naona kabisa simba atatwaa caf champions league mapema kuliko yanga yangu kwa staili yetu ya kuwapa vyeo kina Msolla. Wazee...
  2. Chinga One

    JamiiForums Tanzania DC Jokate Mwegelo na Uongozi wenye tija

    Ama kwa hakika Tanzania ingepata viongozi wenye kujitoa bila kujali maslahi yao binafsi,ubabe,majivuno,ukandamizaji na kiburi cha madaraka nchi ingesonga sana hii Kwa anayoyafanya huyu binti kule Kisarawe hakika yanafaa kuigwa,sema tu nature ya wakazi wa wilaya yenyewe sio wachakarikaji...
  3. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Muelekeo wa Uwekezaji nchini chini ya uongozi wa Prof. Mkumbo, Tunatokaje tulipo?

    Kuna msemo kuwa ili kupata matokeo yasiyo ya kawaida, ni lazima kwanza kufanya kitu kisichokuwa cha kawaida . Sote tunakubaliana kuwa ili kukuza uchumi wetu, kwa vyovyote vile ni lazima tukuze uwekezaji wa kutoka nje lakini pia wa ndani ya nchi. Hata hiyo sio tu kwamba kasi ya uwekezaji kwa...
  4. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilipofikia katika nyanja za uongozi

    Kidogokidogo tutafika katika nchi ya ahadi. Ni suala la muda tu, angalia video hadi mwisho tafadhali.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

    Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo? Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu. Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kweli

    Vigezo vya kupima viongozi wetu
Back
Top Bottom