uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali wapikwe na Taasisi ya Uongozi - Waziri Mchengerwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa azitaka wizara, idara na taasisi za serikali kuhakikisha zinapitisha viongozi wake katika mafunzo yanayoandaliwa na kutolewa na Taasisi ya UONGOZI. Waziri Mchengerwa aliyasema hayo wakati wa...
  2. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Uongo haukwepeki ili uishi vizuri

    Ukiwa na dingi mkali au mbabe, huyu lazima umdanganye, hakuna namna Ili umnase demu lazima utupie uongo Walimu wanoko, dawa yao uongo tu. Hata kanisani wengi ni waongo na wanafiki, nyuma wameficha ukweli mchungu Na sehemu nyingi, uongo haukwepeki Uongo ni sehemu ya maisha yetu. Ukweli...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa mtandao wa 5G Afrika ni ishara ya uongozi wa China duniani kwenye enzi mpya

    Mwaka 2015, China ilitangaza kuwa itaongeza maendeleo ya dijitali kuwa sehemu ya miradi ya Ukanda Mmoja na njia moja. Hii ni njia moja ya kutosheleza mahitaji yanayoongezeka ya mtandao wa kasi ambao unategemewa na mamilioni ya biashara kila siku hasa kwenye nchi zinazoendelea. Tayari China...
  4. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Mbeya Mjini atuhumiwa kumrubuni kimapenzi mwanafunzi wa miaka 15. Baba mtoto alalamika kunyimwa ushirikiano na uongozi mkoa Mbeya

    Sakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini. Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya. Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake. Chanzo: HAROUBTV.
  5. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wasirudi kwenye Uongozi, Rais Samia ashauriwe vizuri

    Ngeleja - Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza .. Muhongo - Mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges. Nyalandu - Vitalu vya kuwinda inajulikana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa juu wa CCM unaenda kubadilika tutegemee maendeleo zaidi na zaidi!

    CCM inakwenda kupata mwenyekiti mpya wa taifa kufuatia mama Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa JMT. Katibu mkuu atakuwa mpya Katibu wa Itikadi na Uenezi atakuwa mpya. Yawezekana hata makamu wa mwenyekiti bara na visiwani wakawa wapya Mambo ni fire. Maendeleo hayana vyama
  7. BVR 2015

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa DAWASCO umeshindwa kufanya kazi ipasavyo na kusababisha wakasi wa jiji la Dar Es Salaam kunywa maji machafu

    Wakazi wa Dar es salaam kwa siku mbili mfululizo tunachota maji yaliyo na vumbi katika mabomba ya Dawasco.tunaomba uongozi wa Dawasco iwajibike kwa uzembe wa kushindwa kuyatibu haya maji,wananchi tuna wasiwasi na haya maji yanaweza kuwa na wadudu waenezao magonjwa
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni dhamana nzito kwa mwenye hofu ya Mungu

    Uongozi sio kitu cha kukimbilia wala kukihangaikia. Kwa mtu yeyote yule mwenye hofu na Imani kwa Mungu huwa hana tabia ya kukimbilia au kuhangaika kutafuta vyeo kwa sababu anajua kuwa cheo ni dhamana kubwa sio tu kwa Binaadamu mwezako bali Kubwa zaidi kwa Mungu. Hupaswi kufarahia sana unapo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Bajeti Kuu ya Serikali 2021/22 ni kipimo cha uongozi wa Rais Samia

    Macho na masikio ya wananchi yapo Dodoma kwenye Bunge la Bajeti kufuatilia ikiwa bajeti hii itakuwa mkombozi kwa wananchi ama la. Ikumbukwe bajeti nyingi za awamu ya tano zilijielekeza kwenye utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo mathalani ununuzi wa ndege, ujenzi wa SGR, Stieglers...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la sasa la Mawaziri halikidhi matarajio ya wananchi chini ya uongozi mpya wa Rais Samia

    Tupo kwenye zama mpya na kila zama na style yake. Kwa hivi sasa wananchi wana matumaini makubwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atakuwa ni rais atakeyekidhi matarajio yao ya maendeleo lakini pia atakuwa rais atakayeondoa mapungufu makubwa yaliyoonekana katika serikali iliyopita ya rais...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Walioshindwa kumshauri Vizuri Hayati Magufuli waondolewe haraka kwenye uongozi

    WALIOSHINDWA KUMSHAURI VIZURI HAYATTI MAGUFULI WAONDOLEWE KWENYE UONGOZI Na, Robert Heriel. Katika makala yangu niliyoandika mwaka juzi, niliyoipa kichwa kisemacho "Njama za Ikulu, hata Rais anaweza kudanganywa" nilieleza namna kiongozi anavyoweza ingizwa mkenge au kujiingiza mkenge pasipo...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Human Rights Watch yaitaka Qatar kuachana na sheria za uongozi wa kiume

    Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitaka Qatar kuiondoa sheria inayowapa wanaume mamlaka ya kuwasimania wanawake ili kuwapa wanawake uhuru wa kujifanyia maamuzi. Maamuzi hayoni pamoja na ndoa, kusafiri na kupata huduma ya afya ya uzazi. Shirika hilo lililo na makao...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Uongozi jumuishi huleta maendeleo jumuishi

    Uongozi jumuishi ni moja ya misingi ya utawala bora ikiwa na maana kuwa, kuhusisha watu wa aina zote kwenye jamii kama wazee, vijana, wanawake, wanaume na walemavu kwenye kufaidika na mambo yatokanayo na serikali au uongozi wao. Pia kuhusishwa kwenye kufanya maamuzi juu ya mambo yahusuyo jamii...
  14. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mziki uleule DJ tofauti: Wakenya watamani uongozi wa TZ baada ya Rais Mama Samia kufukuza Mkurugenzi

  15. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni hekima na busara, Rais Samia ana sifa zote mbili

    Uongozi sio misuli au kubobea sana kwenye fani fulani. Uongozi hauhusiani na kunyanyua vitu vizito au kufanya vitu mwenyewe mwenyewe, bali uwezo wa kuunganisha watu na kuwasaidia kufikia malengo ya pamoja. Dunia haina tatizo la wataalam wa vitu mbalimbali, bali ina tatizo kubwa la uhaba wa watu...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongozi ni kuonesha njia: Uhuru Kenyata apata chanjo ya Corona

    Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao . Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
  17. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akifanya kosa hili uongozi wake utakua mgumu sana

    Kulingana na katiba ya JMT(1977) inaelekeza kuwa ikitokea Rais aliepo madarakani akapatwa na tatizo ambalo litamfanya kua nje ya ofisi ikiwepo na kifo basi Makamu ataapishwa kua Rais wa JMT. Hapa basi nafasi ya makamu itakua wazi na kwa taratibu Pia katiba inamuelekeza Rais achague Makamu wake...
  18. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Magufuli; Kila la heri Mama Samia Hassani Suluhu, tunakuombea kwa Mungu uongozi uliotukuka

    Kwaheri Rais Magufuli, ndiyo lugha pekee iliyobaki tunayoweza kuitumia kwa sasa kwa kuwa hakuna namna ambayo tunaweza kuifanya kurudisha uhai wa mpendwa wetu, tumwombee apumzike kwa amani roho yake ilazwe mahali pema peponi, Amen. Mimi binafsi pamoja na mapungufu ya kibinadamu bado ninaamini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC ule Upuuzi uliofanyika jana nje ya Uwanja wa Taifa usirudiwe tena tafadhali kwani Utatugharimu na kuja Kujutia

    Labda niwaambieni tu Uongozi wa Simba SC kuwa Rais mpya wa CAF Bwana Patrice Motsepe haungwi (hakuungwa) Mkono na Rais wa TFF Bwana Wallace Karia ambaye inajulikana alikuwa ni Mtu wa aliyekuwa Rais wa CAF Bwana Ahmad Ahmad. Hivyo kwa hili Tanzania (hasa TFF) inatakiwa kuwa makini nae sana huyu...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi BAWACHA: Majina ya waliorejesha fomu za kugombea uongozi haya hapa

Back
Top Bottom