uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi Ndoleleji ina miundombinu iliyochakaa na Walimu wasiowiana na idadi ya Wanafunzi

    Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje. Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa. Naomba ujumbe...
  2. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dkt. Stergomena Tax akabidhi Ukumbi wa CCM Magu kwa uongozi wa Chama Wilaya baada ya ukarabati

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 15 Agosti 2025, ameukabidhi Uongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Magu Mkoa Mwanza, Ukumbi wa CCM baada ya kukamilisha maboresho na ukarabati mkubwa. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Ushahidi huu hakika nakubaliana na Uongozi wa Yanga SC kusema kuwa Yanga SC haijachangia Hela yoyote ile katika Harambee ya CCM na Inasingiziwa tu

    Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC. Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 2025 Timinga ya Tanzania ku experience uongozi wa Chama tofauti

    Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi! Sababu ziko wazi kabisa 1. Wananchi wameelimika zaidi 2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi 3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Vijana wa late 70s na 80s waliopewa fursa za Uongozi lakini wamekengeuka

    Ni wazi lipo rika la vijana ambalo ndio tunalitarajia lituvushe katika kipindi cha miaka 30 hadi 40 ijayo. Wapo waliobahatika kuingia kwenye korido za Chama na Serikali...ingawa baadhi yao hawana vifua vya chuma. Hapa naongelea uropokaji wa vijana hawa both ndani ya CCM na ndani ya vyama vingine...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere Alipewa Uongozi wa Tanganyika Ukumbi wa Arnautoglo April 1953

    MWALIMU NYERERE ALIPEWA UONGOZI WA TANGANYIKA UKUMBI WA ARNAUTOGLO APRIL 1953 Ukumbi wa Arnautoglo na Team ya Heritage Center for Liberation pamoja na TBC tunarekodi historia ya Uchaguzi wa Rais wa TAA kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953. Kiasi cha miaka miwili iliyopita. Picha ya...
  7. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT-Wazalendo Hakithamini Wanawake, Hakina Imani Nao Katika Uongozi

    Chama cha ACT-Wazalendo kinaonesha wazi kutowathamini wanawake na kukosa imani nao katika nafasi za juu za uongozi. Hali hii imejidhihirisha baada ya kumtangaza Luhaga Mpina kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, licha ya kuwepo kwa Dorothy Semu ambaye tayari...
  8. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Familia za Viongozi ni Watanzania wana haki ya kugombea Uongozi

    1. Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozi. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine. 2. Tunataka Mtoto/mwenza wa Kiongozi asigombee ili tupate nini?. Amevunja kufungu gani cha Katiba? 3. Kama lawama tuzipeleke kwa Walezi/Wazazi wetu kwa...
  9. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

    Sikiliza hii video:
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Watanzania hamjagundua kua Marais Waislam wanakasumba ya Kurithisha Uongozi Watoto wao?.

    Wako wapi Watoto wa Hayati Baba wa TAIFA, Mwl JKN?. Wako wapi watoto wa Hayati Mkapa ? Mwanamapinduzi aliyechora ramani ya MapinduI ya kimaendeleo ya Taifa hili?. Wako wapi Watoto wa Hayati Magufuli, Jembe lililofanya yasowezekana yakawezekana?. Wako wapi??. Sasa pimeni hili, Tazameni...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kenichi Shinoda: Mfalme wa Yakuza, uongozi na uhusiano na serikali ya Japan

    Katika historia ya uhalifu wa kisasa nchini Japani, jina la Kenichi Shinoda linatajwa kwa heshima ya kutisha na hofu isiyoelezeka. Huyu ndiyo kiongozi mkuu wa kundi kubwa la kihalifu la Yamaguchi-gumi ambalo ni mojawapo ya makundi makubwa zaidi ya Yakuza duniani. Maisha ya Shinoda yamejaa utata...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Inachosha sana kutanguliwa na mtu mwenye kasi ndogo wakati wewe una kasi kubwa; Uhalisia katika uongozi wetu tulio nao

    Wajumbe amani iwe kwenu. Katika maisha ya kawaida, huenda ulishawahi kutokewa na hii hali hasa katika hali ya msongamano wa watu au magali. Mtu anakuwa mbele yako, anatembea kwa kujivuta, au anaendesha chombo taratibu sana ilhali wewe una haraka zako na hataki umpite! Binafsi huwa nachukia sana...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania CCM na Siasa ya Kuendeleza Umaskini: Uongozi au Uonevu wa Kitaasisi?

    CCM imeigeuza Tanzania kuwa laboratory ya umaskini wa kimfumo. Badala ya kutengeneza mazingira ya usawa wa kiuchumi, mmejenga structures zinazowanufaisha wachache huku mamilioni wakizama kwenye umasikini wa kurithishana. Kilimo kimebaki kuwa cha jembe la mkono, elimu ni kwa wenye uwezo, afya ni...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole amezungumzia suala nyeti sana kuhusu Makamu Rais Mpango na Waziri Mkuu kutokuendelea na Uongozi Serikalini

    Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi. Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!. Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha? Anasema...
  15. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Kweli: Ni Cheo au ni Uwezo wa kusema ukweli hata kama unapoteza kila kitu?

    Tuambiane ukweli: Leo, watu wengi wanataka kuwa viongozi si kwa sababu ya kuwahudumia wengine, bali kwa sababu ya madaraka, heshima, na ulaji. Lakini uongozi wa kweli haupimwi kwa vyeo wala makofi ya hadhara. Unapimwa kwa kiasi gani uko tayari kusema ukweli hata kama utachukiwa, kutengwa au...
  16. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya JKCI-Dar Group mnaihujumu Serikali kwa Kukiuka makubaliano ya Serikali na wafanyakazi mliowakuta

    Takriban mwaka miaka 3 tangu Serikali JMT kutangaza kuchukua umiliki wa hospitali ya Dar Group kupitia Waziri wa afya wa wakati huo Ummy Mwalimu siku ya makabidhiano na kuiweka chini ya umiliki wa Taasisi ya moyo JKCI , pia ilichukua rasilimali zote ikiwemo majengo, vifaa tiba , pesa na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unamjua Meya wa Jiji lako la Dar es Salaam?

    Wana JF, Hata kwa kuwa tuna chronic issues (majitaka, dampo, mitaro, parking, paving nk) kero hizi zinamfikia nani?
  18. Dialogist

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Shule Ya Uongozi Ya Polepole Mwaka 2021.. Sikiliza Upate Kujua Jambo

    Sema Huyu MpoleMpole Kuna Kipindi Alikua Anaongea Nondo Sana. Japo Hazina Uthibitisho Wa Kimantiki, Hivyo Zinabaki Kua Ni Habari Fikirika Tu
  19. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania ALHAJI Kimbisa atunukiwea Honorary doctorate ya Uongozi

    Vyuo vikuu nchini. Hamuoni jitihada za Alhaji Kimbisa? Aliyeleta hoja Mkutano Mkuu ya kumpitisha Mwenyekiti wetu kama MGOMBEA PEKEE Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 apewe maua yake. #OktobaTUNATIKI#
  20. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa kijeshi Burkina Faso wavunja tume ya uchaguzi, jukumu la chaguzi lawekwa chini ya wizara ya mambo ya ndani

    Uongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso umevunja tume ya uchaguzi, hatua ambayo imeibua mijadala mikali kuhusu mustakabali wa demokrasia nchini humo. Kwa mujibu wa tamko rasmi, serikali ya kijeshi imesema kuwa tume hiyo ilikuwa inasababisha upotevu mkubwa wa fedha bila kuleta ufanisi wa...
Back
Top Bottom