uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 888I

    JamiiForums Tanzania Watu wenye Ulemavu na Uongozi

    https://www.instagram.com/p/DL6qc3yIgPx/?igsh=MXM2c2ZvZnBuYnR4dg==
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nasikia mnataka kuwaacha Nahodha Zimbwe Jr na Kapombe. Kwa Kapombe nawaunga mkono ila kwa Nahodha Zimbwe nakataa 100%

    Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo. Ngojeni leo...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ushauri , Sisi watu weusi mambo ya uongozi hatuyawezi tukubali nafasi kama Rais , mawaziri na makatibu wawe ni wazungu .

    Wakuu . Mimi nimetembea duniani kote USA UK France German N.k Tukubali tu kuwa sisi watu weusi mambo ya kutawala nchi hatuyawezi Ila tunachoweza ni kuwa chini ya utawala wa MTU Fulani . We are not organized Angalia nchi Kama Venezuela haina , Gas , haina mafuta Ila ni moja ya richest...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

    Chaz Lee inasemekana amekamatwa . Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala. Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eti wakuu, kweli bado nchi za Kiafrika katika uongozi thabiti zina nafasi ya kufikia prosperity? au muda umeisha tukimbia, tutakuwa tunafukuza upepo?

    Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika. Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa. Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana. KARIBUNI:
  7. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

    Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu... Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Huu ndio wakati sahihi Karia kuachia uongozi TFF

    Mchezaji wa zamani wa timu za Yanga na Simba, Amri Kiemba, ameweka wazi maoni yake kuhusu uongozi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, akieleza kuwa huu ndio wakati muafaka kwake kuachia ngazi ili kutoa nafasi kwa viongozi wapya kuendeleza mchezo huo...
  10. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa majaribio na make-up ya kisasa

    "Kumchagua kiongozi kwa majaribio ni kama mke wangu akijaribu mapishi ya YouTube bila kuelewa lugha. Supu inageuka uji, wali unakuwa chakula cha kuku, halafu bado ananiambia ‘hivi ndivyo wanavyofanya Ulaya!’" — Alloyce, P.R. 😂😂
  11. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wetu: Wabaki Kupongeza Ufisadi Badala ya Kuutokomeza? Ni Wakati wa Kutumia Elimu Kama Kigezo Cha Uongozi!

    Ni jambo la aibu na fedheha kubwa kwa taifa kwamba kiwango cha parliamentary competence kimeporomoka kiasi cha kushangaza. Tunaona wabunge wetu wakibakia tu clapping hands na kugonga meza kama watoto waliokosa malezi, bila kuelewa kabisa the gravity of issues zinazowasilishwa mbele yao. Imagine...
  12. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Alloyce PR: Uongozi wa Kweli Hauanzi na Cheo

    "Mwanasiasa anayesubiri kuwa Diwani, Mbunge, au Rais ndipo aanze kufikiria kuwasaidia wananchi, hana tofauti na kijana anayeoa kwa sababu umri umefika au ili kuficha madhaifu yake kwa mwanamke. Wapimeni wanaopiga kelele majukwaani kuhusu shida za wananchi, waulizeni, wamewahi kufanya nini katika...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Rais Samia

    Najaribu kufuatilia kwa ukaribu sana uongozi wa Raisi mama Samia na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi. Uchumi umekua wana Jamii forum, na alichokifanya ni uwekezaji tu kwenye: 1. Agriculture 2. Mining and Quarrying 3. Construction 4. Manufacturing Tokea ameingia madarakani nimekua nafuatilia...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Mlao: Vijana tujitokeze kugombea nafasi za uongozi - tusiwe wabeba mabegi ya viongozi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa watazamaji au “wabeba mabegi” wa viongozi waliopo madarakani. Akizungumza leo Juni 14,2025 katika...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ruhusa maalumu kwa Uongozi wa Juu JamiiForums ya Mimi uzalendo wa Kitanzania kutoa habari za Israel itakaitandika Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
  16. W

    JamiiForums Tanzania Yote haya ni kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi wa TFF na Yanga wameanza kujipanga mapema kuhakikisha wanachukua uongozi.

    Uchaguzi wa TFF upo karibu, kama sio mwezi wa 8 basi wa 9. Yanga wameanza kujipanga mapema sana kuhakikisha Karia harudii alichokifanya uchaguzi uliopita kwa kuengua wapinzani wake wote na kujipa uongozi. kwa mujibu wa Katiba ya TFF anaweza kuchaguliwa kwa terms mbili, Karia ameshamaliza...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Hekima za Biblia katika Uongozi

    "A ruler with no understanding will oppress his people, but one who hates corruption will have a long life" (Proverbs 28:16) Kwa Kiswahili: MTAWALA ASIYE NA AKILI HUTESA WATU WAKE, LAKINI ACHUKIAYE RUSHWA HUONGEZA SIKU ZAKE ZA KUISHI "A just King gives stability to his nation, but one who...
  18. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Uongozi wake umefeli. Anategemea kiki. Kiki nazo zinafeli

    Wakuu hii nchi inaongozwa na watu wa hovyo sana. Viongozi wanatengeneza kiki za wasanii zimefeli sasa wanatengeneza kiki ya Yanga nayo inafeli. Watanganyika wamewachooooka. Hata kesho mond na kiba watoe ngoma wala hatutaistukia upepo umechange. Na wakati huu ni wakati wa Mungu. Moto wa...
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kibango cha "No reforms No election" chatua Club ya Small Planet, wamiliki wakikana

    Baada ya video iliyoonyesha bango mjongeo lilikokuwa na ujumbe wa no reforms no elections, uongozi wa Bar ya Small Planet iliyopo Sinza waibuka na kulaani vikali tukio hilo ukisema hawahusiki na kilichotokea. --- Uongozi wa kampuni ya SMALL PLANET ENTERPRISES LIMITED ambayo ni miliki wa bar ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania CCM msipombadilisha Rais Samia, Tanzania inaenda kusambaratika ndani ya Uongozi wake

    Mimi siyo nabii wala mtume, lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe Ukweli Rais Samia anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani wakati hakubaliki Kuanzia Uanamke wake, Uzanzibar wake, na hata style yake ya uongozi Hapa siwezi kuzungumzia dini ingawa kuna baadhi...
Back
Top Bottom