Kutokana na Bodi ya Ligi kuu kuvuruga ligi hii ya mwaka huu, nadhani imefikia wakati kuwe na makampuni binafsi ya kuendesha na kusimamia mashindano mbalimbali yaliyo chini ya TFF. Makampuni hayo yawe yanateuliwa kwa ushindani kupitia tender system mwanzoni mwa msimu.
Hao wawe wanasimamia...
Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.
“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4...
"Pale ambapo taifa linashuhudia kuibuka kwa wanasiasa na viongozi wa dini wenye hulka ya kuropoka, kueneza uongo, na kuchochea hisia bila mantiki, huo ni uthibitisho wa kuwepo kwa changamoto ya afya ya akili katika jamii. Endapo hali hii haitadhibitiwa kwa maarifa na maamuzi magumu, ipo hatari...
Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri.
Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu hata kama ataendelea kuchukia sisi tuendelee kumwambia tu.
1. Kwanini amefungia mtandao wa Twitter...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo, ametunukiwa tuzo maalum na Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo kama ishara ya kutambua uongozi wake mahiri na mchango mkubwa katika kusimamia ajenda za maendeleo ya taifa.
Kabla ya kukabidhi tuzo hiyo, Katibu...
Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao.
Rai yangu kwa CCM...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu.
Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ?
Ni kwamba nje ya...
Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
Linda sana kinywa chako...! Kwakuwa maneno hayana rivasi, ni Kama risasi ikitoka imetoka...
Tamshi moja la maneno machache kabisa.. Linaweza kuokoa roho mia hilohilo linaweza kuangamiza roho elfu
Ukiwa umezungukwa na wawili.. Mmoja anakukosoa sana na mwingine anakusifu sana! Pokea shukrani za...
Miongoni mwa shughuli ambazo IDU huzifanya, ni pamoja na Kulaani, kuweka msimamo wa kisiasa, au kuhimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua,
Na kazi ya Jumuia ya kimataifa, ni kufanya uchunguzi wa mambo maovu yanayofanywa na aidha serikali na ama kiongozi na kisha Umoja huo kutoa agizo la...
Uongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie...
Mkiendekeza maagizo ya wanasiasa na ushauli kama ule wa Sheihk mkuu kwenye sikukuu ya Idd uliofatiwa na kukamatwa kwa Lissu na Kushambuliwa kwa Katibu wa tec Fr Kitima, mtaua wengi mpaka tunaingia kwenye uchaguzi mkuu kwani sioni hekima ya kiongozi mkuu katika kipindi hiki kigumu kwa taifa...
Safu Mpya Viongozi Wakuu wa CHAUMMA:-
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza safu mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu kwa kile walichoeleza ni kuleta mabadiliko ya kweli nchini:
🔹 Salum Mwalimu – Katibu Mkuu CHAUMMA
🔹 Devotha Minja – Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara
🔹 Benson Kigaila – Naibu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025.
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake.
Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
Wadau hamjamboni nyote?
Wapo wataobeza na kukushfu lakini wenye hekima zetu hilo tumeliona ndiyo maana tukaamua kushaurikwa nia njema
Uzoefu ni Mwalimu mzuri sana wapo waliodharau hilo huko nyumba wisho wao au taasisi walizoongoza haukuwa mzuri
Niwatakie siku njema
Siasa za nchi za Afrika zikeshindwa kuleta maendeleo ya kweli kutokana na mitazamo ya harakati za wanasiasa.
Kabla ya kupata uhuru, wanasiasa wa kipindi hiko walijikita katika kuleta ukombozi wa kweli kwa nchi zao. Hivi walielekeza nguvu katika kuleta umoja wa kitaifa. Baada tu ya ukombozi watu...
Ni wazi wanachadema wengi mno watajiengua Chadema na kujiunga na vyama vingine vya kisiasa nchini kwakua Chadema haina tena sifa za kua chama cha siasa kinachoweza kuvutia wanachama zaidi, kwani kimejikita zaidi kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi na kujiondoa kabisa kwenye michakato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.