uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Afrika hasa Tanzania tuna uongozi au uongo?

    Ukiwasikia na kuwasiliza kwa makini, watawala wanavyowahadaa na kuwadanganya watawaliwa unashangaa na kujiuliza. Je tuna uongozi au uongo? Nafikiri na kuwaza kimya kimya baba yenu nyote.
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video hii ni maandamano ya wananchi Kenya wakimuonya Rais Ruto kuongeza muda wa uongozi

  3. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Bibi anasema katika uongozi wa Richard Turnbull watu walikuwa hawapotei. Alikuwa na UTU, hakutaka kuona damu ya mtanganyika, kweli mkoloni hana RANGI

    Kwenye story mbili tatu na mke wangu hapa (Junior huwezi elewa, namuongelea BIBi hapa) akawa ananisumulia kuhusu utawala wa waengeleza (ni reza au leza, tuachane nayo pia, sio muhimu). Watu walikuwa hawapotei hovyo, anasema yule bwana alikuwa hataki kuona watu wanapotea potea na alishawahi utoa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maria Sarungi: Heche na Lema mmeiua CHADEMA kwa uongozi wa Mabavu

    Habari wakuu, Kama kweli ni kauli ya Maria Sarungi simuuungi mkono Naona Maria Sarungi katema cheche huku akidai Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche pmoja na Jonathan Lema kuwa uongozi wao wa Mabavu umeua CHADEMA ilhali tangu CHADEMA ikumbwe na matatizo...
  5. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga mnahujumiwa. Tukio la jana liliniumiza moyo sana

    Kuna watu walichukua jezi nyingi sana badara ya kugawa wakapeleka majumbani kwao mimi nliona mtu kwa macho yangu Temeke kachukua jezi kama 5 ivi kaweka kwenye kibegi. Hii si sawa inashangaza kwa nini mtu anataka kila kitu afaidi yeye tu kuuna watu wanatuujumu na jana walituujumu pakubwa sana...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je, Azam FC ni timu ya Waislamu tu? Mbona uongozi umekaa kidini

    ISLAMIC FOOTBALL CLUB
  7. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania JKT ni Shule ya Uongozi na Uzalendo

    Makala ya Tatu Ndugu zangu, Kila taifa linalodumu na kustawi huwa na shule ya uzalendo, mahali ambapo vijana wake hujifunza siyo tu kupiga risasi au kufanya kazi ya mikono, bali kujifunza hekima ya waasisi. Nilipokuwa JKT niliiona shule hiyo lakini haikuwepo. Niliona ni mahali ambapo kijana wa...
  8. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mashekh wao huwa hawaoni changamoto katika uongozi ?

    Mashekh wetu wao wana Mchango gani kuhusu nchi yetu.? Ni nadra Sana umkute Shekh anapambania mambo ya msingi ya nchi . Inawezekana Mashek ni rahisi kutekwa na wanasiasa. hii inaweza kuchangiwa na elimu ndogo ya kuuelewa ulimwengu.
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi: Tuna akaunti maalum ya kulipa madeni, nitaondoka madarakani sitaacha deni hata la Senti 5

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira yake ni kuhakikisha kuwa atakapoondoka madarakani hatoacha deni lolote ambalo serikali imelikopa. Amesema hilo litawezekana kutokana na serikali kufanikiwa kuweka mfumo wa kulipa madeni ya serikali kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga ni mbaya sana. Uongozi wa Club MMEZINGUA

    Injinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza. Au jukumu la kutengeneza mlimuachia Ali Kamwe . Ukute katengenezea Kiboroloni kule Moshi WAKAPIGA HELA HAWA
  11. H

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa rais na wabunge usiwe na muda maalumu akifanya vibaya apigwe chini hata ndani ya mwaka mmoja akifanya vizuri aendelee hata miaka mia

    Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika. Ni bora katiba iseme rais na mbunge atadumu au atawajibishwa kulingangana na utendaji kazi wake iwapo anakubalika basi hata...
  12. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Shule ya uongozi ya Hamphrey Polepole (Kataa Wahuni) inatufungua kwa mengi sana

    Tangu Polepole ameanza series yake kali kabisa ya kataa wahuni, kuna mengi sana nimejifunza na ninaendelea kujifunza. Hakika ni kama jambo la heri sana kwa bwana huyu kutokea na kuendeleza ile shule yake kipindi cha Magufuli. Ni kama vile roho ya Magufuli imemwingia na sasa imentuma kuzungumza...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Maisha, hulka za mtoto wa Rais, zaweza kuathiri taswira ya Rais na uongozi wake.

    Mtoto wa Rais kwenye jamii kwa namna Moja au nyingine ni prominent figure. Ndio maana kwa kawaida mtoto wa Rais anatakiwa kupewa Ulinzi muda wote. Watu wa Itifaki wanafahamu. Vyombo vya habari huwa attracted na habari za kushtua, kushangaza, kufurahisha au kuumiza. Hivi karibuni kumekuwa na...
  14. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yeyote ana malengo mawili, kupata uongozi na kupata madaraka .

    Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo. Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada. Ndo maana Lissu alianzia Ccm akaja Nssr akaja Chadema. Kumbeza Yericko Nyerere na Salumu Mwalim nikutoelewa...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Kushauri anapohitajika si tatizo Kinachomponza Kikwete ni historia yake mbovu ya uongozi

    GT Wakulima husema "Kama umeshindwa kupata mazao mengi katikati ya shamba unategemea upate pembezoni au mpakani 😲😯" hili ndilo linamhusu Kikwete. Kikwete amekuwa serikalini toka ujana wake zaidi ya miaka 30 ikiwemo 10 ya uraisi. Sasa katika kipindi hicho kama alishindwa kuleta impact badala...
  16. kaputula

    JamiiForums Tanzania Asharose hana ubora kwenye uongozi ila connection na Kikwete ndio inambeba

    Kuna wasomi wanawake Kikwete amewabeba awamu yake ya urais kutokana na harakati zake alipokua kiongozi wa wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mtu kama Asharose anajua sana kingereza, ni msomi mzuri wa sheria lakini misimamo gani ya kisiasa anayo inatia mashaka. Kwa mimi ninayeamini katika...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemaje kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa Mtandao?

    Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje. Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa. Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa Wanamtandao? Tunawaona Tunawajua Hawajifichi. Atupe majibu maana...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akumbushia kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje

    Hili ni angalizo kali sana na linapaswa kutiliwa maanani. wapo wanaotaka amani iharibiwe kwa maslahi yao huko ughaibuni.kamwe tusiingizwe kwenye mtego huo
  19. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Huu ndio uongozi Bora

    Kazi ilikuwa kazi kwelkwel, ukitaka kuongoza viongozi wa kitanzania sio kuwachekea, ni kuwaburuta kwelkwel maana Huwa hawajui wajibu wao kwa wananchi.
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanachama wa CHAKUHAWATA wadai Uongozi wao ndio tatizo, waomba mapato na matumizi yawekwe wazi

    Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai kuna mambo yanayoendelea na yanachangia kukipunguzia nguvu chama hicho. Wameyasema hayo August 19...
Back
Top Bottom