tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ina data, Vijana wana mawazo: Kwanini APIs za mifumo ya Umma Tanzania zisiwe rahisi kupatikana?

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na interoperability kupitia GovESB. Miongozo ya e-GA yenyewe inaeleza kuhusu application integration, data...
  2. JamiiForums Tanzania Mr Mapanga: Tanzania sio Nchi Masikini, Watanzania ndio Masikini. Nchi masikini halafu Rais anapita na gari mia na ya kitajiri tupu!

    Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi wakikosa manufaa yanayolingana na utajiri wa nchi. Amesema Tanzania ina vyanzo mbalimbali vya mapato...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Possi: Taswira ya Tanzania kimataifa ni nzuri sana

    Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Dkt. Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29 Oktoba kutajwa kuwa ni ya kusikitisha na ya bahati mbaya. Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha...
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, wakati wa ziara yake kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Algerian firm to invest in cashew nut factories in Tanzania

    Algerian firm to invest in cashew nut factories in Tanzania Algerian cashew nut processor, Sarl Anacard’Or cashew, is looking to expand its investment by establishing three factories in Tanzania in an endeavour to enhance profitability on the global market. Speaking to the Tanzanian...
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo?

    Kwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo? Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni dhaifu; kwa mfano, barabara za Kilwa–Liwale, Liwale–Nachingwea na Dar es Salaam–Lindi zina hali...
  9. JamiiForums Tanzania BGR Group: Serikali ya Tanzania Inahangaika Kujisafisha Kimataifa kwa Kutumia Pesa za walipa kodi

    Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao? Soma hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

    Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi. Kwa uwekezaji wa kutoka nje...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu mnyama Elephant Shrew anapatikana wapi Tanzania?

    Na anaitwaje kwa kiswahili? Ana dili gani?
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Tanzania yawapa wazalishaji wa saruji siku nane kushusha bei

    Serikali ya Tanzania imewapa wazalishaji wa saruji muda wa siku nane kuongeza usambazaji na kushusha bei, baada ya mfuko wa saruji wa kilo 50 kufikia hadi shilingi 26,000 pesa za Tanzania sawa na dola 9.8 katika baadhi ya maeneo. Wizara ya Viwanda na Biashara iliitisha kikao cha dharura na...
  13. JamiiForums Tanzania KANDA YA ZIWA NA MAGHARIBI: SERIKALI ITUAMBIE KWANINI BEI NI JUU?

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi mwa Tanzania ni sehemu muhimu ya uchumi wa nchi. Tunazalisha chakula, madini, mifugo, samaki na bidhaa mbalimbali, lakini wananchi wa maeneo haya wanaendelea kukabiliwa na bei kubwa za bidhaa na gharama za usafirishaji. Swali ni: Kwa nini mwananchi wa Mwanza...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania Defies Odds: Rural Electrification in Under 50 Years!

    Tanzania: Did you know? Twenty years ago, the World Bank predicted rural electrification in Tanzania would take 100 years, but Tanzanians said no and did something different. Now, in less than half a century, they have achieved it. They have even gone further with functional electric trains...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaingia Hatua Mpya madini Tembo au Heavy minerals sands

    Tanzania yaingia hatua mpya kwenye Madini Tembo Taarifa hiyo inahusu kampuni ya Nyati Mineral Sands Limited, inayotekeleza miradi mikubwa ya uchimbaji na uchakataji wa Madini Tembo (Heavy Mineral Sands) nchini Tanzania. Serikali ina hisa 16% katika kampuni hiyo. Kwa sasa kuna miradi miwili...
  16. JamiiForums Tanzania Teknolojia inawafuta CCM kwenye siasa za Tanzania

    Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya. Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee...
  17. JamiiForums Tanzania Wito: Tuweke tafiti za kilimo za Tanzania kidigitali ili zitumike na watafiti, wakulima, Serikali na teknolojia kama AI

    Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha. Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa ========================== Tanzania ina hazina ya maarifa Iliyofichwa—Kwa nini tusiifungue? Tanzania imefanya tafiti nyingi za kilimo kwa miaka mingi...
  18. JamiiForums Tanzania Picha ya kufikirisha: Nini kinaendelea Tanzania?

    Baada ya kuangalia hii picha ya ujio wa Rais Tshekedi nimejiuliza maswali mawili, 1.Yuko wapi Makamu wa Rais wa JMT? 2.Nini kinaendlea Tanzania nyuma ya pazia.
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kikwete aomba Tundu Lissu kuachiwa ndani ya wiki hii maana Tanzania tuna amani.

    Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana kujenga barabara kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara?

    Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…