tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Historia ya Taarabu nchini Tanzania

    Taarab ina historia ndefu katika muziki wa Tanzania kama ulivyokuwa muziki wa dansi. Wapenzi wa taarbu wa zamani waliiweka taarabu katika vyanzo kama Taarab ya Tanga, Taarab ya Dar es Salaam,Taarab ya Zanzibar na Taarab ya Mombasa. Taarab ya Zanzibar wakati huo ilikuwa ni ile yenye kundi kubwa...
  2. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya mifupa mikavu inawadia

    Peace be upon you Ni miaka 61 imepita sasa, tangu Tanganyika kujipatia uhuru wake kutoka kwa mkoloni. Nchi iliyobarikiwa bahari, madini, mito, maziwa, ardhi nzuri ya kilimo, maliasili, hali ya hewa safi na uoto mzuri wa kiasili wa kitropiko (Tropical type of vegetation). Lakini bado mali...
  3. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Uzalendo kwa Mtanzania ni mtoto wa nje ya ndoa

    Nikiwa naendelea subiri mzigo wangu Kariakoo, ngoja niwape nondo moja. Je, upo tayari kupigania nchi yako kwa jasho na damu endapo kuna adui kaingia? Je, unahani una sababu yeyote ya kupigania nchi hii? Kama unasoma nakala hii na kujibu "ndio," naona kabisa akili inasaliti moyo. Moyo unasema...
  4. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Flaviana Matata

    Balozi wa Njaa tokea Tanzania. Flaviana Matata. Mimi sijapenda hizi picha aisee huyu model au ? Daah kweli kakosa ubunifu vazi gani sasa... uongo dhambi kachoka kiakili. SEMA UMEUPIGA MWINGI...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika. Kabla CHadema hawajaanza...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani/Siku ya Wanawake Tanzania

    SIKU YA WANAWAKE DUNIANI/SIKU YA WANAWAKE TANZANIA Picha hiyo hapo chini nniliipata kwa Jim Bailey aliyekuwa akimilika gazeti la DRUM. Picha hii haikuwapo kabla ya mimi kuipata na kuiweka mtandaoni. Bailey alikuwa na mswada wa kitabu cha picha Mwalimu Nyerere na akanipatia kwa ajili ya uhariri...
  7. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu Mgombea wa nafasi ya Uweka Hazina Taifa Chama cha Walimu Tanzania Protas Magesa

    Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa nafasi tajwa hapo juu Mwalimu Protas Magesa. Huyu ni mwalimu mwakilishi kwenye Kamati ya Utendaji...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake duniani/siku ya wanawake Tanzania: Nyange binti Chande wa Tabora

    SIKU YA WANAWAKE DUNIANI/SIKU YA WANAWAKE TANZANIA NYANGE BINT CHANDE MWANAMAMA ALIYEJITOLEA NYUMBA YAKE KUWA OFISI YA TANU KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Kuna mtu alipata kusema kuwa utafika wakati watoto na wajukuu wa wapigania uhuru wataingia katika makabati na masanduku ya wazee wao kutaka...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nakusudia kufungua kesi ya madai dhidi ya Airtel Money Tanzania Ltd

    Habari za leo, Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumiaji wa huduma za Airtel Money. Juzi tarehe 3 Machi 2023 nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kutoka Airtel money kwenda Benki, akaunti yangu binafsi pesa ilitoka ila kwenye akaunti haikuingia. Nilipiga simu huduma kwa mteja wakasema kuwa wao...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Vifo vya wachezaji Tanzania, mamlaka zinachukua tahadhari zozote?

    Jamii ya wapenda soka nchini ingali katika majonzi kufuatia kifo cha Mchezaji wa Mtibwa Sugar Iddy Mobby ambaye alifariki akiwa kwenye matibabu kwenye hospital ya Mkapa iliyopo mkoani Dodoma alipohamishiwa baada ya matibabu ya awali kwenye hospital ya kiwanda cha Mtibwa mkoani Morogoro. Kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Simba SC. Tanzania kwanza

    Leo Simba SC, wahuni wa pale mitaa ya kati katika mitaa ya Msimbazi, watajaribu tena bahati yao kuwania nafasi ya kushiriki hatua ya Robo Fainali katika Ligi ya Club Bingwa Afrika. Leo watakipiga katika dimba la nyumbani Uwanja wa Benjamini Mkapa, wakiwakaribisha vibonde wenzao katika kundi...
  12. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania " Angekuwepo Magufuli…” Kauli inayotamkwa zaidi Tanzania

    Huu ni utafiti binafsi na inarihusiwa na wewe comrade ufanye utafiti wako pia. Hii kauli inakua akitamkwa sana na inaongezeka kila uchwao. Jambo la kushangaza ni kwamba, kuna watu walikua against Magufuli enzi za uhai wake, lakini leo utawasikia wakimtaja kwa majuto na kukumbuka utendaji wake...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Operesheni elimisha na amsha CHADEMA Tanzania!

    CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania. Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima! Mimi...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Witness: Nilimsubiri mume wangu amalize kifungo cha miaka 30

    Wakati tunaelekea Siku ya Wanawake Duniani, Witness Mbangala (45) ni miongoni mwa wanawake waliopitia changamoto katika familia, lakini bado wakasimama imara kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa. “Safari ya maisha yangu imepitia changamoto nyingi, baadhi ya watu walinishauri niolewe na...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Operesheni ELIMISHA na AMSHA CHADEMA Tanzania!

    CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania. Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima! Mimi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi kuua wafugaji wa kuku Tanzania

    Ndugu watanzania bei ya mahindi mwisho wa Feb 2023 ilikua kwa jumla 1, 120 kwa Dar Es Salaam lakini bei ya leo 6 March 23 yamepanda kufikia 1, 330 kwa kilo moja. Ongezeko hili ni hatari kubwa kwa wafugaji wafugaji wa kuku na wengineo kwa sababu ongezeko hili ni sawa na 5, 000 kwa mfuko wa...
  17. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanaweza kuzuia Rushwa Tanzania

    Rushwa ni hali ya mtu kutenda au kutokutenda jambo fulani kwa mtu au kikundi cha cha watu kwa nia ya kujipatia faida binafsi, Baada ya kupatiwa au kuahidiwa kupatiwa kiasi fulani cha fedha au vitu vinginevyo, Kinyume cha matakwa au misingi ya kazi. Kutokana na maana ya rushwa hapo juu utagundua...
  18. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ijayo Tanzania itakuwa na idadi kubwa ya wazee masikini

    Godbless lema ametoa kauli ya kuhusu boda boda na baadhi ya makundi ila watu wengi wamemponda. Savings Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza. Mimi nasimama na...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri. Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa Hii ni kinyume na katiba. 👇
  20. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Data driven decisions. Kwanini NALA wawe na HQ Kenya na sio Tanzania?

    Nimeona uzi wa mdau mmoja Upepo wa Pesa nadhani akilalamika ni kwanini nala wawekeze USD 5 Million in Kenya wakati kampuni imeasisiwa na mtanzania? Mods nawaomba msiunganishe huu uzi kwasababu nataka uwe na discussion tofauti. Kuna kitu kwa wachumi na pia kwenye uwekezaji huwa tunakiita...
Back
Top Bottom