tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Ishi na jamii tofauti ujue jinsi ya kuishi na watu vizuri. Vifo vitazidi kuongezeka Afrika Kusini sababu tunapeleka ushamba wetu kwao

    Tembea uone/ishi na watu au jamii tofauti ujifunze wabongo wengi au Watanzania kakulia kariakoo ndo hapo mpka mwisho wa tamati. Afu kila siku anaongea mambo yale yale. 👤 Watanzania asilimia kubwa ambao akili zao ni mgando wanachukua tabia zetu za mazoea na kuja nazo south Africa. Uku...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

    Hili ni kutoka moyoni kabisa! Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania mwenyeji mkutano mkubwa wa Kilimo Afrika, Rais Samia kuuzindua Ijumaa

    Bwanku M Bwanku. Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu. Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano huo Ikulu, Dar es Salaam, hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa...
  4. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuwezi kuwa na satellite zetu

    Habarini wakuu, Katika pita pita zangu nkakutana na habari ya wingi wa satellite angani lakini nyingi ni za nchi zilizoendelea huku kampuni ya elon musk ya starlink ikiongoza kwa kua na wimbi la satellite angani. Lakin katika kusoma zaidi nkapata kuona kua angani Kuna satellite nyingi sana...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Malawi na Msumbiji si mbali na Tanzania 'Kijiografia' je, tumeshajiandaa kama 'Fred' akijipenyeza au 'tunambwelambwela' tu?

    Tuendeleeni tu kujifanya Taifa letu ndiyo linapendwa mno na Muumba wakati Muumba huyo huyo pia ndiyo amewaumba Wapendwa wake wa Malawi na Msumbiji.
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuchapishi sarafu za dhahabu?

    Nchi nyingi, hasa zile zinazozalisha dhahabu huwa zinachapisha sarafu za dhahabu na kuuza. Sarafu hizi zina mambo mengi. Kwanza watu hununua kama kito kutokana na uzuri wake. Pili watu hununua kama ni pesa na wanaweza kuitumia kama pesa. Tatu nchi hufanya export ya kitu kilichoongezwa thamani...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba umwambie Kamala Harris, Tanzania ushoga ni 'NO'

    Tumepata habari rasmi kuwa kuna ujio wa ugeni mzito tika Marekani. Zaidi soma Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania Makamu wa Rais Marekani mama Kamara Harris anakuja ziara ya kiserikali nchini mwetu Tanzania. Hii ni heshima kubwa kwa Tanzania. Hapa nchini watakuwa...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Amani yampongeza Rais Samia

    Kamati ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili madarakani na kusema katika kipindi hicho kwa kiasi kikubwa ameifungua Tanzania katika mambo mbalimbali ikiemo uhusiano wa kimataifa, Demokrasia na ukuaji wa Uchumi kupitia ujenzi wa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tsh. Trilioni 13 kwenye Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/24 ni Mikopo na Misaada

    Serikali inatarajia kuongeza 7% sawa na Tsh. Trilioni 2.9 ya Makusanyo kwenye Matumizi ya Fedha za Bajeti ya mwaka 2023/24 ili kufikia Tsh. Trilioni 44.38 kutoka Tsh. Trilioni 41.48 ya mwaka 2022/23. Tsh. Trilioni 26.72 zitakusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Kodi na kiasi...
  10. KIDUME20

    JamiiForums Tanzania Bei ya kununua Twitter ni bajeti ya Tanzania kwa Miaka 2 na zaidi

    Habarini binadamu wenzangu. Leo nimeona kwenye habari kuwa bajeti ya tz kwa mwaka 2023/2024 ni Trillion 44.3 nilivyoona hiyo 44 nikakumbuka bei ya twitter iliyonunuliwa na musk kwa 44B$ ambayo ni sawasawa na Trillion za kitanzania 101.2. Pesa mingi sio hivyo nikavuta taswira huyu jamaa anaweza...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sambaza shangwe za Mama, Tanzania ya leo siyo ya jana

    “Sambaza Shangwe za Mama, Tanzania ya Leo Siyo ya Jana” social media campaign concept note (Noti Zana) Utangulizi Katika kipindi kifupi cha uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hasan, kumeshuhudiwa mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya...
  12. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Deus Seif na Abubakari Alawi waliokuwa viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania waigaragaza Serikali Mahakamani

    Watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania ambao Juni 28 2022, walitiwa hatiani kwa kosa la uhujumu uchumi na uchepushaji wa fedha za walimu kiasi cha shilingi 13,900,000 na matumizi mabaya ya madaraka. Kwa kosa hilo walifungwa miezi 6 gereza la Ukonga lakini walikaa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Watangazaji maarufu enzi hizo Radio Tanzania kabla ya TBC

    David Wakati, Sarah Dumba, Eda Sanga, Jacob Tesha, Ananilea Nkya, Sango Kipozi, Omar Jongo, Ahmed Jongo, Barnabas Mluge, Idrissa Sadallah, Benjamin Kikomongo "Ben Kiko", Bartholomeo Kombwa "Bart Kombwa", Danstan Tido Mhando, Masoud Masoud, Yusuph Omar Chunda, Bujaga Izengo Kadago...
  14. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

    United States Vice President Kamala Harris will be the 18th and most senior American official to visit Africa this year in late March. The tour to Ghana, Tanzania, and Zambia was scheduled for 25 March to 3 April. This visit will be the most high-profile as the US and Russia go pound-for-pound...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wabunge 35 wa Tanzania Washiriki Mafunzo ya APSEZ Nchini India

    WABUNGE 35 KWENYE MAFUNZO YA APSEZ NCHINI INDIA Wabunge 35 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kamati mbalimbali za Bunge hilo wapo katika ziara ya mafunzo Nchini India, kujifunza kuhusu ushirikishaji wa Sekta binafsi katika Uwekezaji, Usimamizi na Uendelezaji kwenye shughuli za...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania

    Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania Filamu ya Royal Tour aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kulipa baada ya meli nyingine ya kifahari kutia nanga leo fukwe za Kilwa ikiwa na abiria 125 kutokea nchini Ufaransa...
  17. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania Nitaji online bussine au E-commerce unao wakubalia au walikutapeli tuwajue

    Habari wadau! Huu nimuda wa kutangaza na kupenda vitu vyetu ili kukuza uchumi wetu mtu moja moja na maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Taja jina la online business ambazo sio za kitapeli pia na zakitaeli sio mbaya tukazijua kupita kwenye uzii huu Taja sabu au tofatu yake na nyingi ili watu...
  18. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

    Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa...
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli baba wa uchumi wa Taifa la Tanzania, kaburi lake linawatisha wabaya wake na wametishika

    KABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA Agenda ya Upinzani kwa sasa ni Kulishambulia Kaburi la JPM na JPM mwenyewe. Toka wameruhusiwa kufanya mikutano ya Hadhara wameshindwa kuleta hoja zinazohusu wananchi badala yake wanapambana na Marehemu. JPM hakuwa wa kwanza kuongoza nchi kwa namna...
  20. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Joseph Misalaba na kampeni chafu kuwania nafasi ya Ukatibu Naibu Mkuu ndani ya Chama cha Walimu Tanzania

    Kama ambavyo tumekua tukiendelea kufichua namna ambavyo uongozi wa CWT unatafutwa kwa mbinu chafu na namna baadhi ya watu walivyokihujumu chama, leo tunamleta kwenu Joseph Misalaba Mgombea wa nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu CWT. Mtajwa hapo juu ni katibu wa CWT wilaya ya Geita aliyeajiriwa kwenye...
Back
Top Bottom