Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Wakati maombi yake ya leseni ya kutoa huduma za intaneti kupitia kampuni yake ya Starlink yakiwa yamewekewa kigingi na masharti ya serikali, Bilionea Mmarekani Elon Musk amepenya kwenye soko la Tanzania ambapo atanunua malighafi ya kutengenezea betri za magari ya umeme.
Taarifa iliyotolewa kwa...
Kitendo cha Waziri Nape Nnauye kusema bado Serikali haijafikia muafaka wa kumruhusu Mwekezaji na Tajiri namba 2 duniani, Elon Musk kuwekeza nchini ili kutoa huduma ya Intaneti yenye kasi kupitia Satelite hadi atakapoweka ofisi zake nchini Tanzania, inaonesha wazi bado tumekumbatia Sera za...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Tanzania haina mzigo wa mikopo ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki na kusema hakuna nchi duniani isiyo na mikopo. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amesema baadhi ya watu wanapiga kelele kuwa Tanzania inakopa na akasema katika nchi za Jumuiya...
"Haiwezekani Mkoa wenye Watu Wasomi na Walioelimika kwa kuwa na Watu wenye Degrees, Masters na Doctorates wa Kagera kuna Uvunjifu wa Amani unaotokana na Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi na Ushirikina. Ni Aibu sana Kwakweli na lazima Ukweli huu usemwe na wenye Mkoa wabadilike na Elimu Kubwa...
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao.
Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu.
Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje na mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema amesema alitoroka nchini mwaka 2020 baada ya Uchaguzi Mkuu, akiwa amevaa kaptura na kwa mara ya kwanza alifikia hatua ya kuomba nguo za kuvaa.
Wenje ametoka kauli hiyo Leo, Machi Mosi, 2023 wakati wa mkutano wa...
Ombi langu kama Wabunge wa Tanzania nao wakiamua kama Wenzao wa Uganda ikitokea wenye Jukumu la Kunyonga Mashoga wakikosekana wasisite Kuwasiliana nami kwani naweza kutoa Kwao Ushirikiano Uliotukuka hadi Serikali ya Tanzania ikafikiria Kuniajiri moja kwa moja kuwa Msaidizi wa Israeli Msitisha...
Moja ya sifa ya Kiongozi bora ni kuibua viongozi wengine na kupelekea kutimiza ndoto zao na hii imekua moja ya sifa kubwa na zakipekee za Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwenye teuzi za hivi karibuni Rais Samia ameweka imani kwa maingizo mapya kwenye Baraza la Mawaziri kwa kumleta Hamis Mwinjuma...
Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia?
Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo?
Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa.
Hapa Mwanagati wilayani, Ilala...
Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kutoa mkopo wa dola milioni 151 ili kusaidia kuimarisha ukuaji wa Uchumi wake uliopata changamoto za majanga ya kimataifa ambayo yamepunguza ukuaji.
Ikumbwe tayari Tanzania imekopa kiasi kingine cha...
Rafiki yangu amepata kazi ya kufunza chekechea ya shilingi za TZ elfu mia moja thamanini huko Dar es Saalam. Ukiwa na pesa hizi Tanzania utaishi wapi kwenye usalama maji na stima. Na familia ya watu sita, nasikia ni pesa nyingi huko Tanzania
Ripoti ya Prof Mruma kuhusu Makinikia na kampuni ya Accacia, ilikuja na jibu kuwa "Accacia ni kampuni feki".
NANUKUU ( It is confirmed that Accacia Mining is Non-Existing entity in Tanzania)
SOMA PIA:
Pamoja na mambo mengine, katika matokeo ya uchunguzi wake, kamati ilibaini kuwa Kampuni ya...
Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kiukweli Rais Samia Suluhu amefanikiwa kuifungua nchi sasa Tanzania kuna amani ya kutosha ukilinganisha na miaka 5 iliyopita polisi alikuwa hawezi kusogeleana na vyama vya upinzani lakini sasa amani imetawala polisi ni rafiki wa vyama...
George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea.
Lema ni agent wa shirika la...
Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa...
Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone
Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya.
Dkt. Slaa...
Huyu amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani.
Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo. Huyu i mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau...
Kichwa kinajieleza, hapa ningependelea tuweke video, picha na hata maelezo yanayohusu miradi inayotekelezwa na kila hatua iliyofikia ili kujuzana wapi tumetoka, wapi tupo na wapi tunaelekea.
Kama ambavyo tunafanya kwenye ile thread ya Nairobi vs Dar es salaam.
Naamini kuna watanzania wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.