tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini na hizi clip zinazopotosha Historia ya Tanzania?

    Kuna clip inazunguka mitandaoni ikieleza mengi kuhusu Tanganyika. Kubwa linaloshtua watu wengi ni kusema imani kuu nchini ni Ukristo. Nimeandika makala hiyo hapo chini kutanabaisha kuhusu historia ya Tanganyika nikijaribu kueleza imekuwaje tumefikia hali hii: MEETING OF THE MINDS Alikuwa Dr...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema asimulia alivyopanga mkakati kutoroka (1)

    Wakati maandalizi ya kumpokea mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema anayetarajia kuwasili nchini Machi 1 mwaka huu, akitokea nchini Canada alikokimbilia baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, mwanasiasa huyo ameeleza Canada haikuwa miongoni mwa nchi alizotaka kwenda...
  3. system hacker

    JamiiForums Tanzania Kama vile Tanzania ni asali na maziwa ya watu wale wale wachache sana kwenye watu milioni 62!

    People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle. Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less. Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe. Wameshapigwa ki ufasaha...
  4. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Je, aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Deus Seif na Mweka Hazina Abubakari Alawi walifanya ajira za Kilaghai?

    Novemba 2017 Aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Alhaji Yahya Bakari Kilo Msulwa alifariki dunia. Kwa Mujibu wa Katiba ya CWT toleo la sita 2014, nafasi ya katibu mkuu ilipaswa kujazwa na Baraza la taifa la chama hicho. Julai 2018 katika ukumbi wa LAPF Dodoma, Deus Seif kwa msaada...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tujiulize uchawi, ramli na mazindiko vina nafasi gani kwenye siass za Tanzania? Je wasomi hawaamini taaluma zao?

    Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu. Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa kificho au kwa uwazi kabisa. Wamejenga mazoea ya kutumia watu wanaoitwa waganga wa kienyejj ili...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania miaka 60 bado tunafuta njia ya mpira

    Kama unatazama hii Mechi ya Al Ahly vs Mamelodi Sundown, halafu unamsikia kiongozi wako anakwambia sisi malengo yetu ni nusu fainali ya Champions League, mpige kibao azinduke. Hawa jamaa wapo mbali sana kisoka, tukubali mpira unanjia zake na sisi bado tupo vichocholoni tunatafuta njia (hatua)...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Upinzani huu, Tanzania bado tuna safari ndefu sana

    Kwa wapinzani hawa tulio nao ambao wanashangilia na kufurahia kuweza kumpigia rais simu muda wowote kama vile ni jambo la maana sana basi Tanzania kazi bado ipo. Leo Sugu ama Joseph Mbilinyi anawaambia wanachi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni kwamba ana uwezo wa kumpigia rais muda wowote...
  8. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Hivi hata Ulaya kuna sehemu zimepewa majina ya nchi mfano hapa Tanzania kuna street inaitwa Morocco, Argentina nk

    Naomba kufahamu hilo au tunajipendekeza .....
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwapenda Wapare sana kwa kuchapa kazi mpaka akawaita Wachina wa Tanzania

    Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, pamoja na mikutano yenu, Tanzania itafaidika nini?

    Tumshukuru mama Samia, kaisogeza demokrasia mbele. Kila mnenaji anaweza ongea hadi sauti ikamkauka. Swali langu kwa CHADEMA ni simple, mtaifanyia nini Tanzania, mna siasa gani za uchumi, maendeleo ya wananchi, elimu na mambo yote ya mustakabali wa nchi. Hili swali nawauliza kila siku...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni Thomas Sankara wa Tanzania. Atakumbukwa kwa kufanya makubwa ndani ya muda mfupi

    Thomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya wanyonge na kulinda rasilimalinza taifa lake. Kwa Tanzania ni hayati Magufuli pekee aliyefanya...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vodacom yadai Starlink sio tishio kwake, yaikaribisha Tanzania

    Vodacom Tanzania imeikaribisha kampuni ya Starlink, mtoa huduma wa mtandao maarufu duniani, ikisema sio adui wala tishio kwao hata kidogo, bali inatoa fursa ya ushirikiano. Huduma za Starlink zinatarajiwa kupatikana nchini Tanzania katika robo ya kwanza ya 2023, huku mmiliki wa kampuni hiyo Bw...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha kuvunja taa ya V8 na kukimbia sasa kimepitwa na wakati, kijana anatengeneza taa kwa pesa ya supu Tabata

    Mabibi na mabwana, kile kipindi cha kuvunja taa ya V8 na kukimbia eneo la ajali sasa kimepitwa na wakati, kwa sasa ukivunja taa ya V8 wewe simama ongea tu na mwenye gari kisha mpeleke Tabata Sanene kwenye kiwanda cha kutengeneza taa, badala ya kutumia milioni 4 kununua taa moja, sasa utatumia...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

    Tuliandika, tunaandika na tutaandika tena na tena lakini ni kama mamlaka zimetiwa upofu machoni na kuweka nta masikioni.. Ni wazi kuna mfaidikaji/wafaidikaji bila kujali madhara makubwa ya baadae Nilikaa kwenye hii biashara kwa mwaka mzima... Haya ndio niliyaona Ni biashara ya faida kubwa Ni...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jill Biden, mke wa Rais wa Marekani kutua Namibia na Kenya leo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na Uwezeshaji wa Wanawake. Hii itakuwa ziara ya 6 kwa #JillBiden kufika Afrika ambapo ziara 5 alikuja wakati...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

    Hello Wadau.. Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200. Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake. Dkt. Musukuma amesema...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya msingi ya Diaspora wa Kenya kuwa na haki tofauti na wa Tanzania!

    Tukiacha ushabiki na kulishwa maneno kama majibu ya maswali yote mawili kwako ni "Ndiyo" basi unatakiwa kuunga mkono dual citizenship kwa wazawa wa Tanzania 1. Je unataka Watanzania wazawa ambao wako nje (Disapora) wapate haki sawa kwenye jumuia ya Africa mashariki kama wenzao wa Kenya na nchi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Wanaozuia bomba la mafuta lisijengwe ni wanafiki. EWURA yatoa kibali cha kuanza Ujenzi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa kibali cha Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Mtukula hadi Tanga lenye urefu wa km 1147. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), James A. Mwainyekule amesema EWURA imetoa kibali cha Ujenzi wa...
  19. Bemendazole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
Back
Top Bottom