tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Billal Saadat

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Samia ni Rais bora ambaye hajawahi kutokea Tanzania

    Kupitia kwenye ukurasa wa Twitter, aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema ameandika: “Mh Rais SSH kama akiendelea kujenga Demokrasia yenye sura hii kutoka Moyoni mwake bila hila, bila shaka anaweza kuja kuwa kati ya Rais bora kabisa Tanzania...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini UWT ni taasisi ya CCM? Kwanini isiitwe Umoja wa Wanawake wa CCM (UWCCM) halafu UWT ikawa umoja wa wanawake wote Tanzania?

    Inashangaza kuona kwamba UWT ni taasisi ya CCM. Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) unapaswa kuwa umoja wa wanawake wote Tanzania bila kujali itikadi ya vyama. Wanawake wa CCM waanzishe umoja wao kama ilivyo BAWACHA kwa CHADEMA, n.k. CCM kiache kupora taasisi na mali nyingine za umma na kuzifanya...
  3. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaipa Malawi Helkopta 2 na Dola milioni moja

    Balozi Polepole anazipokea helikopta mbili toka Tanzania kwenye uwanja wa ndege Chileka Blantyre Malawi, ndege hizi ni kwa ajili ya kutoa msaada wa uokoaji wananchi waliokumbwa na kimbunga Freddy, hizi zitafuatiwa na misaada ya chakula, madawa na mahema ambavyo vinaelekea huko kwa njia ya...
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha Horoya chawaibua Tanzania Prisons

    Mimi nimeona kupitia page zao.
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimesikia Tanzania wametoa msaada wa Chakula kwenda Malawi baada ya kukumbwa na Kimbunga

    It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga. Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi. Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amegusa mioyo ya Wamarekani - Balozi wa Marekani, Tanzania

    Marekani imeahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na ujuzi pamoja na kuvutia uwekezaji kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle alipokutana na...
  7. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Chama pinzani kuongoza Tanzania labda mkazikir uchi sio kwa mjinga mnaoufanya ...

    Sorry... headline isomeke hivi Chama cha chadema kuongoza Tanzania labda mkazikiri uchi sio kwa ujinga mnaoufanyaga .. 📌 Nishawai kufanya kampeni za mbunge fulani (Wilaya ya muleba) Toka Chadema kelele zilikuwa nyingi na ushindi ulikuwa mkononi kabisa chadema kuchukua kiti cha ubunge jimbo...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Godbless Lema katika The Big Ajenda Star TV, yupo vizuri kichwani kuwazidi wapinzani wote hapa Tanzania

    Lema ana akili nyingi Sana Kichwani na pia ana Huwezo mzuri wa kuchambua Mambo ya kiasiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. Watz Wamefungwa akili na wanaamini umasikini ni mpango wa Mungu kumbe sio kweli. Nimeshtushwa alipoongelea Mwalimu kulipwa lakitano na Askari police anayeanza Kazi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania ipo tayari kuilisha Dunia

    Kwa mujibu wa takwimu kutoka Benki ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Kilimo, Tanzania imeongeza mauzo ya nje ya chakula mwaka hadi mwaka, huku chakula hicho kikiuzwa nchi za Afrika Mashariki, Kusini mwa Afrika, Pembe ya Afrika (Horn of Africa) na sehemu nyingine mbalimbali duniani. Takwimu hizo...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Redio Tanzania: Salamu za wagonjwa

    "Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawapa pole*2" Ajuaye bwana Mungu kuwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole*2" Kiitikio; Kipindi chenu kinawapa pole wote tunawapa pole, Mungu awajalieni pole* Huo ni wimbo maarufu ambao ulikuwa ukifungua kipindi cha...
  12. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

    Nimekulia Moshi Kilimanjaro, yeah kuna vijana wanakimbia na pikipiki mitaa ya Kalimani, kaloleni kule na njoro. Nimekaa Dar kidogo yes kuna vijana wanajitahidi kukimbia na pikipiki Ila Arusha hapana vijana kama hawana Roho na nyama, yaani pikipiki unasikia imepita kama mlio wa nyuki halafu sio...
  13. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuchezesha wachezaji wa Academy kwa Tanzania upo?

    Kwa wale tunaofatilia Sana mpira wa Ulaya mtakua mnajua jinsi wenzetu wana mifumo wa kuruhusu wachezaji wa Academy kucheza mechi yeyote wakati wowote na timu kubwa. Mchezaji wa academy anakuwa hawekwi kwenye list ya waliosajiliwa lakini wakati wowote akionekana anafaa anapandishwa tu kucheza na...
  14. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkate mgumu mbele ya chai (Falsafa ya Deus Seif na Abubakari Alawi inavyoendelea kukivuruga Chama cha Walimu Tanzania)

    Leo hii tarehe 16 Machi 2023 Wapiga dili Deus Seif na Abubakari Alawi wamefanikisha kuzuia mambo kadhaa kufanyika kwenye mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanzania. Kama ambavyo tumebainisha hapo awali juu ya dhamira yao ya kurudi madarakani na kuendelea kufanya ubadhirifu ndani ya chama cha...
  15. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, bingwa wa uchumi ever seen here in Tanzania

    Huyu jamaa ni msomi na mahiri mno wa uchumi ndio mana huwezi kukuta anakosolewa na profesa yeyote wa uchumi maana wanamuogopa sana. Maprofesa wengi waliunga unga lakini Mwingulu straight kutoka Mzumbe na alipiga first class UDSM wakati maprofesa wengi hawana hii. Profesa kama Semboja degree yake...
  16. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli siyo dikteta, ni kiongozi Bora kuwahi kutokea Tanzania

    Habari za muda huu Wana JF Mwaka wa 2 Sasa tokea tuondokewe na kiongozi wetu shujaa mtetezi wa wanyonge JPM endelea kupumzika kwa amani. Kuna kipindi nilikuwa Kenya kabla ya kifo Cha magufuli wakenya wengi walikuwa wanamsifia magufuli ni kiongozi shujaa Kenya wanatamani wangepata raisi kama...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania matatizo yenu hayatamalizwa na Hayati Magufuli. Hatujadili tena mstakabili wa nchi yetu!

    Daah! Sasa nashindwa namna ya kuelezea jinsi isivyo kawaida kwa aliyekuwa Raisi wa nchi yetu Tanzania hayati John Pombe Magufuli! Huyu alikuwa ni kiongozi wa aina gani? Ni miaka miwili sasa hatuna naye, lakini bado hajatoka mioyoni na midomoni mwetu, tena kila uchwao jina lake linakuwa...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alilewa madaraka, akaagiza Polisi Tanzania wamkamate Edward Lowassa awekwe Korokoroni

    Kama tunavyojua, Hayati Magufuli, pamoja na kuwa rais wa Tanzania, hajawahi kuwa Balozi hata wa Nyumba kumi. Ndani ya Miaka Miwili akalewa madaraka. Kumbuka Lowassa ni Mwanajeshi wa zamani na aliyewahi kupigana wakati wa vita kati ya Uganda na Tanzania mwaka 1978/79. Kaitumikia Nchi hadi uzee...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Business Insider: Tanzania Inaelekea kuwa kivutio na kitovu cha Uwekezaji Duniani

    Jarida maarufu la masuala ya biashara Afrika na Duniani limeitaja Tanzania kuwa Moja ya Nchi zinazoelekea kuwa kimbilio la wawekezaji Duniani. Hongera sana Rais Samia na Tanzania, haya ndio mambo tunapenda kuyasikia.. ======= Idadi ya miradi iliyosajiliwa nchini Tanzania iliongezeka kwa...
  20. Nihilist

    JamiiForums Tanzania Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

    Wasalaam wana jamii forums, Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa hizi naweza kupatwa na mapungufu haya.. -Kuchoka mara kwa mara atakama sijafanya kazi...
Back
Top Bottom