tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. CPI Ripori: Tanzania ni kati ya Nchi zenye kiwango kidogo cha Rushwa Afrika, unakubaliana na hilo?

    Ripoti ya Mtazamo Kuhusu Rushwa ya 2023 (CPI) imeonesha Rushwa na Ufisadi unazidi kushamiri ambapo Theluthi 2 ya Nchi zimepata alama chini ya ya 50 kati ya 100, hali inayodhihirisha kuwa bado zina matatizo makubwa ya Rushwa. Pia, Ripoti hiyo imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 13 katika Nchi...
  2. P

    Wimbo wa Nay wa Mitego umewagusa Wakenya, wajiuliza ni jiwe kwa serikali yao au kwa Tanzania!

    Wakuu, Nay wa Mitego amedondosha jiwe jingine, ngoma inaitwa "Wapi Huko", kwenye wimbo huu anagusima mambo mengi ikiwemo hali ngumu ya maisha, akisema kwenye nchi hiyo bei ya pombe ni rahisi kuliko chakula, uchumi unachechemea, muda wa kazi umeme haupatikani, soka imeingiliwa na siasa, wananchi...
  3. S

    Sera ya lugha Tanzania

    Wadau mliosoma uwalimu Haswa walimu wa lugha kwa level zote diploma na degree. Kuna yoyote anayekumbuka kujifunza juu ya sera ya lugha ya Tanzania. Katika kozi ulizosoma chuo je kunakozi yoyote iliyokufundisha kutambua sera ya lugha ya Tanzania na malengo yake. Kama walimu watarajiwa...
  4. Nilichojifunza Kenya: Madaktari Tanzania Mnaandika Dawa za Kiwango cha Chini

    Kenya kuna makampuni mengi makubwa ya madawa, ambayo mengi yao ni innovators wa dawa mbalimbali (brands), ambazo nchi nyingine hususani India huja kuzalisha baadaye kama generic. Kwa wasiojua brands huuzwa ghali, ila ni bora zaidi, wakati ni generic huuzwa kwa bei ya kutupwa, nyingi zikiwa na...
  5. Tanzania standard za kuitwa genius au akili kubwa ziko chini sana

    Tanzania ni moja ya nchi mtu anaweza fanya jambo la kawaida sana akaitwa genius au akili kubwa Mtu anaweza copy kitu wikipedia au kitabu chochote alafu akaongeza ongeza na kingereza chenye misamiati isiyokua na formula basi akaitwa genius Tanzania na afrika kwa ujumla standard zetu za mambo...
  6. Wizara ya Afya: Mikoa 17 ina Wagonjwa wa Red Eyes Tanzania

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imesema jumla ya mikoa 17 nchini imekumbwa na ugonjwa wa macho mekundu ujulikanao kitaalamu kama viral keratoconjunctivitis (red eyes) na watu 5,359 wametajwa kuathirika. Kufuatia kusambaa huko, wizara imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo...
  7. S

    Serikali au Taasisi Binafsi naomba muwekeze kwenye michezo hii miwili niliyobuni kutokea hapa hapa Tanzania

    Hello heshima kwenu ndugu zangu! Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo. Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
  8. Mawaziri wa Nishati Tanzania na Zambia wajadili ujenzi wa bomba jipya la mafuta

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Peter Kapala, leo Januari 29, 2024 wamefanya kikao kilicholenga kujadili nia ya Serikali ya Tanzania na Zambia kuanza ujenzi wa bomba la inchi 24 la kusafirisha mafuta safi kutoka Tanzania...
  9. Tanzania yachaguliwa kuwa moja ya nchi 8 za Afrika zitakazopewa kipaumbele kupitia mpango mpya wa Mattei Plan

    Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya nchi nane za Afrika zitakazopewa kipaumbele na Italia kupitia mpango mpya wa kimkakati wa Mattei (Mattei Plan) ambapo kiasi cha Euro bilioni 5 za awali kimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo. Miradi hiyo ya kipaumbele kupitia Mpango mpya wa...
  10. Dar yaendelea kuongoza kwa Wateja wa Huduma za Mawasiliano Tanzania, ina Wateja Milioni 12.9

    Ripoti ya Robo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha hadi kufikia Desemba 2023, jumla ya Wateja 70,290,876 wa Huduma za Mawasiliano walisajiliwa, ikiwa ni ongezeko la 4.7% kutoka Wateja Milioni 67.1 waliokuwepo Septemba 2023. Mkoa wa Dar es Salaam...
  11. S

    Tanzania language policy and planning in education

    I'd like to open a discussion on this platform regarding Tanzania's language policy and educational planning. Has any of you encountered topics related to Tanzania's language policy in your teacher's college or teacher's course? I recall primarily studying English teaching methods, but I'm...
  12. PreGE2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

    Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?. Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?. Katibu Mwenezi...
  13. Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

    Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako. Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000...
  14. Polisi Tanzania na Interpol wamkamata aliyowatapeli Watalii waliokuja kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii waliokuja nchini kwa ajili ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania ni nchi salama kwa wageni wa ndani na nje ya Tanzania. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
  15. Sasa adui wa Taifa la Tanzania si ujinga bali ni upumbavu

    UPUMBAVU ni hali ya mtu au watu waliopata elimu lakini wameshindwa kuitumia kujikomboa wao wenyewe au kuikomboa jamii yao katika adha , dhiki, shida au aina yoyote ya mkwamo. MPUMBAVU, ni mtu alitebahatika kupata elimu lakini kwa makusudi kabisa au kwa kutokujua hawezi kuitumia elimu yake...
  16. Serikali Kujenga Barabara na Daraja la Zege Ruvuma Kuunganisha Tanzania na Msumbiji

    SERIKALI KUJENGA BARABARA NA DARAJA LA ZEGE - RUVUMA, KUUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho ya kusiani mkataba na kumtangaza Mkandarasi atayejenga barabara ya Likuyufusi - Mkenda (km 122) sehemu ya kwanza Likuyufusi -...
  17. Ni kwanini CMG (Clouds FM na Clouds TV) hupenda sana kujipendekeza katika birthdays za Marais nchini tofauti na Media zingine?

    Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE leo ni Kusoma tu Comments zenu kutokana na huu Uzi wangu.
  18. C

    PreGE2025 Tanzania tunaongozwa na Watanzania? Yanayotokea ni bahati mbaya? Asante CDF

    Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini). Idara ambayo ni mama ya inchi kama uhamiaji wanadaiwa wameajiri Wakenya tena top position. Ndiyo maana unakuta kazi hata ndogo km hotel wapo...
  19. Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Naomba tuwape heshima waalimu walioacha legacy inayodumu kwa wanafunzi wao. Mimi naanza na huyu. Mwalimu Mnzava - Mbeya secondary (Mbeya Day) Huyu mama alihamia hii shule miaka ya mwisho ya 1980s na alidumu hapo mpaka kustaafu kwake miaka ya 2010s. Kila mkuu wa shule alikuwa anakataa kabisa...
  20. Jezi za Tanzania zasifiwa huko AFCON

    Katika pitapita zangu huku mitandaoni, nimekutana na comment zaidi ya moja ya watu wanaosifia kit ya jezi za Tanzania zilizotumika huko AFCON na nilipofuatilia inaonyesha watu hao siyo Watanzania. Hili ni jambo jema sana. Mfano, kuna mmoja alisema "So this Tanzanian fine jersey just wasted, the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…