tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Tanzania tukipunguza idadi ya vyama vya siasa kutoka 26 hadi 4 itapendeza?

    Jf team, Salaàm! Binafsi sioni haja ya kuwa na vyama vya siasa lukuki hapa nchini. Na huenda uwepo wa vyama lukuki ni chanzo cha matumizi ya fedha za umma kuwa makubwa kupitia ruzuku. Nashauri:- 1. Tuone iwapo itapendeza kupunguza vyama hivyo toka idadi ya sasa 26+ na vibakie 3 au 4 tu. 2...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Interpretation of rule 90(5) of Tanzania court of appeal (amendment) rules 2019

    I kindly request for the interpretation on application of Rule 90(5)CAT Rules of 2019 that read as; ..."Subject to the provisions of subrule (1), the Registrar shall ensure a copy of the proceedings is ready for delivery within ninety (90) days from the date the appellant requested...
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Zuchu ndio supastaa wa kike namba moja kwa sasa Tanzania

    Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza. Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake. Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais. Kingine ndio demu wa Diamond Platnumz hata kama kuna watu wanaumia wanamshambulia sana haswa wanawake...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Aipongeza Tanzania Youth Icon (TAYI)

    Waziri Tabia Mwita Aipongeza Tanzania Youth Icon (TAYI) Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita ameupongeza Uongozi wa taasisi ya Tanzania Youth Icon (TAYI) kwa mpango wao wa ujenzi wa uwanja wa michezo wa Alabama. Waziri Tabia ameyasema katika hafla ya utiaji...
  5. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Taaluma zinazoongoza kwa kuaminika zaidi Tanzania

    Kuna ukweli kiasi gani? Nani kaonewa hapo? Weka maoni yako?
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Matangazo ya Kuhimiza Watu kupima UKIMWI / DALLY KIMOKO yamepamba moto sana katika Media za Tanzania?

    GENTAMYCINE nilipoikataa ile Ripoti ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwaka Jana kuwa UKIMWI umepungua sana nchini Tanzania si mlijifanya Kutonielewa na mkamuunga mkono? Kwa hali ya Maambukizi ilivyo mbaya sasa na Watu wanavyopukutika kila Uchao nadhani taratibu mtaanza kunielewa GENTAMYCINE na...
  7. 5

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hali ya Biashara ya usafirishaji haramu wa Binadamu nchini Tanzania na Duniani

    Tanzania ni chanzo, mkondo, na nchi kusudio la safari kwa wanaume, wanawake na watoto wanaokabiliwa na ajira za kulazimishwa pamoja na biashara ya ngono. Kasi ya matukio ya biashara haramu ya usafirishaji wa ndani inazidi ile ya matukio au kiwango cha biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa ndege wa Taifa la Tanzania ni bundi?

    Nchi nyingi huwa na ndege, mnyama, mdudu, ua, mti. . . Vya taifa. Mnyama wa taifa la Tanzania anajulikana ni twiga ila hivyo vingine havijulikani au labda havipo. Katika kusearch ndege wa taifa la Tanzania nikakutana na bundi wa Usambara(Usambara Owl-Eagle) wanasema ndiyo ndege wa taifa la...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mateka wa Tanzania kutoachiwa mapema kuna kosa tumefanya

    Kama inavyojulikana kuwa mateka wa nchi za nje huwa wanaachiwa tu kwa kushtukiz kwani Hamas hawakuwaingiza kwenye mashari yao ya kusitishwa vita, Siku mbili za mwanzo wameachiwa waisrael wengi wao wakiwa ni akinamama na watoto.Pamoja nao walitolewa mateka kikundi kutoka Thailand.Katika orodha ya...
  11. aka2030

    JamiiForums Tanzania Watu maarafu walioandikwa kwenye Kitabu cha Atlas ya Darasa la 6 Tanzania

  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji toka Nje wakua kwa zaidi ya mara mbili. China yaongoza

    Uwekezaji wa Moja kwa Moja wa Nchi za Nje (FDI) nchini Tanzania umeongezeka karibu mara mbili kwa mwaka mmoja hadi kufikia dola bilioni 1.05 kati ya Julai na Septemba ikilinganishwa na dola milioni 524.4 katika kipindi kama hicho mwaka jana. China ilikuwa chanzo kikubwa cha FDI, ikiwekeza dola...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini gharama za maisha zinazidi kupanda nchini Tanzania na kupelekea umaskini kuongezeka?

    Je unataka kujua ni kwa nini uchumi wa nchi kama Tanzania unazidi kuwa ktk hali mbaya kila kukicha na gharama za maisha zinazidi kupaa na kusababisha umaskini kuongezeka basi soma makala hii kwenye linki hii hapa chini...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania 2030, kipaumbele chako kiwe mipango miji

    Kusema kweli kwa asilimia 98 nina amini bila shaka kuwa Jamii kubwa ya Watanzania wana mtindio wa ubongo, yaaani hawawezi kuwaza na kufikiri vizuri. Jambo kuu linalonifanya kuamini hivi ni kwa namna ninapotembea mikoa mbalimbali nchini na kuona jinsi wananchi wanavyojenga bila mpangilio na wala...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
  16. R

    JamiiForums Tanzania Je, Jeshi la Polisi Tanzania linaruhusiwa kumchunguza Waziri au Naibu Waziri akitenda jinai? Au hadi wapewe ruhusa yakufanya hivyo?

    Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo . Incase akajitokeza askari akataka kumhoji mwanasiasa basi mfumo unaweza kuelekeza ahojiwe yeye au...
  17. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Mada ya kuulizia walipo watu mashuhuri ndani na nje ya Tanzania

    Kuna wakati tunashindwa kujua walipo watu maarufu. Pengine kwa sababu ya shughuli nyingi za Kitaifa tunashishwa kuwasikiliza kwenye vyombo vya habari pindi wanapokuwa wanazungumza. Binafsi, kuna watu kama John Mnyika: Huyu ni Katibu Mkuu wa CHADEMA. Zamani mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi 2015...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ghorofa refu Tanzania litakuwa hili la TRA DSM, nembo ya jiji

    Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa. https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni ya kitanzania na inaongozwa wa wakurugenzi wawili watanzania. Muonekano wa jiji la Dar es Salaam...
  19. T

    JamiiForums Tanzania CNN Report: UAE yapewa ardhi Afrika kufanya uwekezaji chechefu, watachuma mabilioni ya dola kutunza misitu ya nchi tano ikiwemo Tanzania

    Chanzo Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo kukwapua ardhi ya Afrika ikijifanya kutunza mazingira wakati nia halisi ni kujikingia kifua wakati...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaibiwa maliasili,fedha na kupelekwa Ulaya.

    Hivi ndivyo mkoloni alivyofanya,aliiba maliasili za Tanzania na kuzipeleka kwao Ulaya,sasa hivi Watanzania tunafanya wenyewe,tunaiibia Tanzania tunapeleka Ulaya,mambo kidigitally mzungu katulia tu Ulaya,wabongo wanaaiibia nchi yao wanapeleka Ulaya,kwa ufupi Tanzania inaibiwa 70% ya mtaji...
Back
Top Bottom