tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwenye mahabusu hii ya polisi ni mateso. Criminal justice of Tanzania is cruel

    Masa 24 unalala kwenye sakafu. Dhamana za polisi ni ngumu kupata. Mahabusu wanacheleweshwa kupelekwa mahakamani kinyume na sheria. Sakafu ni baridi kanakwamba zimemwagiwa barafu. Waziri yupo tu wala hafanyi ziara yoyote kukagua.
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Tanzania inazalisha mbegu zake yenyewe

    "Huko nyuma Tanzania tulikuwa tunaagiza mbegu kutoka nje ya nchi lakini sasa tunazalisha wenyewe kwa kuziwezesha sekta binafsi kufanya "research" na kuanzisha mashamba yanayozalisha mbegu bora na kuzisambaza hadi nchi nyingine." - Rais Samia Suluhu akizungumza kwenye mkutano wa wakuu Nchi za...
  3. sammosses

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tume za Uchunguzi zitakuja na suluhu ya matatizo yanayoikabili Tanzania yetu?

    Rais wa awamu tatu Benjamin William Mkapa alipoingia madarakani aliunda tume iliyoongozwa na Jaji Warioba, kuchunguza rushwa na udhibiti wake. Kila mmoja aliunga mkono dhamira ya dhati ya Ben. Kilichotokea baada ya taarifa za matokeo ya tume hiyo, alihojiwa kwanini amekwenda nje ya hadidu za...
  4. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Wanyama na mimea vinavyotoweka kwa kasi hapa Tanzania

    Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi. Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni. Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani? 1. Mti aina ya STAFELI 2. POPO...
  5. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call. Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China waendelea kuwa sehemu muhimu ya mkakati wa Afya wa Tanzania

    Mwezi Oktoba mwaka huu timu ya madaktari bingwa 11 kutoka China iliwasili mkoani Kigoma, ambako ilitoa huduma za matibabu kwa wenyeji wa huko kwa muda wa siku tano, ikiwa ni pamoja na huduma za ushauri wa kimatibabu na upasuaji. Balozi wa China nchini Tanzania Bibi Chen Mingjian aliyehudhuria...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaihakikishia UAE mazingira salama ya Biashara, Uwekezaji

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeuhakikishia Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mazingira salama ya biashara na uwekezaji nchini. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amebainisha hayo aliposhiriki katika kumbukizi ya...
  8. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Changamoto Kuu 2 za Majengo ya Kupangisha hapa Tanzania

    Falsafa ya kujenga utajiri kupitia kipato endelevu ndiyo imeonekana kuwa ni falsafa ya kweli kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita. Falsafa hii inafaa zaidi kuitumia kujenga utajiri ukilinganisha na ile falsafa ya kutengeneza faida. Zipo njia nyingi za kutengeneza kipato endelevu kwenye uwekezaji wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Young Africans sc klabu ya kwanza Tanzania kumiliki Jengo

    Rejea gazeti la mwananchi.
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba si mlisema nyie wazalendo ndio maana hua mnaweka "Visit Tanzania". Kipo wapi sasa hivi?

    Jioneee halaf shusha Reply yako. JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA. Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje? #Yanga imewafunza nahisi
  11. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia atakuwa mbunge wa kwanza Tanzania nzima kutangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa namna dkt Tulia anavyokubalika,kupendwa, kuaminika na kuungwa mkono na wana Mbeya. kwa hakika uchaguzi ujao Dr Tulia atakuwa mbunge wa kwanza kushinda na kutangazwa mshindi mapema sana na kuacha wananchi wakifunga barabara na jiji zima kwa shangwe, nderemo na vifijo...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watumishi wa Umma wanaendelea kutumika kwenye Uchaguzi licha ya Mahakama ya Afrika kuitaka Tanzania kubadili kifungu hicho?

    Moja ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa demokrasia nchinina kitendo cha Tume kutumia watumishi wa umma katika michakato ya kiuchaguzi. Kwa mujibu wa kifungu cha 21 cha Mswada, Tume itaendelea kutumia aukuazima watumishi wa umma kuwa wasimamizi wa uchaguzi, kwa lugha nyingine...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB). Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania. Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Novemba, 2023
  14. Execute

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

    Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
  15. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Changamoto za wateja wa kampuni ya Meridianbet Tanzania

    Je, wapenzi wa football na swaga za kubet je hii kampuni Ina wafanyakazi waaminifu? Customer care service wako active kupokea simu za wateja? Kuhusu maamala ya mikeka hasa ya ushindi hasa wenye account zao binafsi kwenye internet, uaminifu wa cashiers kwenye kudeposit pesa za wateja kwa wakati...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na ongezeko kubwa la watu wanaotumia vyoo bora kutoka asilimia 21 Mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 Mwaka 2022

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania imekua na ongezeko kubwa la watu wanao tumia vyoo bora kutoka asilimia 21 mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 mwaka 2022 ambapo ni hatua chanya ya kufikia lengo la 6.2 la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia ya 2030 “Sustainable Development Goals”...
  17. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  18. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Wanawake kutoka Tanzania ni wazuri zaidi ya nchi kadhaa zinazosifika kwa ukubwa hapa Africa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Namshukuru Mungu kiukweli nimepata fursa ya kutembelea nchi kadhaa hapa Barani Africa ikiwemo Ethiopia, Rwanda, Kenya, Uganda, Southafrica, Morocco, Madagascar, Seychelles, Nigeria, Congo RDC, Zambia, Malawi, Mozambique, Burundi, Central Africa Republican...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

    Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
  20. E

    JamiiForums Tanzania Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

    Habarini, Nilikuwa naomba kama kuna mtumishi yoyote wa THPS humu ndani naomba tuwasiliane. Asanteni
Back
Top Bottom