tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Denmark yatangaza kuendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania. Ilipanga kuufunga ifikapo 2024

    Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ametangaza kwamba Denmark itaendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania. Kuhusu Denmark kufunga ubalozi wake, soma >Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024 Ujumbe wa Balozi wa Denmark nchini Tanzania. --...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tuna submarine kweli? Tukivamiwa kupitia chini ya maji itakuwaje?

    Naelewa tuna jeshi la wanamaji ila sina uhakika kama tuna subamrine hata moja au tunazo wakuu ila ni top secret?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania kama Ulaya

    Kuna ukweli gani, naona tunazidi kudidimia kiuchumi kwa hali ya mmoja mmoja, watu wapo taabani bin hoi na shida ya mlo mmoja kwa siku inazidi kukuwa, wananchi wanaishia mihogo kwa chai mkate na jam ni nyumba zile tu, kwengine ni kauzu inayoliwa kidogo kidogo. Kwanini Serikali haianzishi mfumo...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania kinara wa Dunia upelekaji maji vijijini, yaongeza Dola Milioni 300

    https://twitter.com/WBTanzania/status/1724805228581781607?t=rIJGgp2j31MJan_0GHtG-w&s=19 Tanzania imetajwa kuongoza Duniani kwa upelekaji wa huduma ya maji ya bomba Duniani kupitia program ya Lipa kwa Matokeo. Kupitia programu hiyo jumla ya miradi 1,500 imetekelezwa vijijini na inafanya kazi na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tanzania nzima hawazitaki mashine za kamari za kichina ila Serikali kuu chini ya Mwigulu inaziruhusu

    Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena. Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero. Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Wabunge Tanzania yapoje?

    Naomba nami nichukue fursa kuendeleza mjadala ulioanza Kwa mtoa mada mmoja siku za awali kuuliza Mwenye kujua maslahi ya hawa Waheshimiwa Wabunge Kwa sasa: 1. Mshahara mnono (bila Kodi) 2. Posho ya vikao 3. Mkopo wa gari 4. Posho ya dereva 5. Mfuko wa Jimbo 7. Bima ya matibabu nje ya nchi 8...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rwanda imeweza kutangaza Utalii kwenye klabu kubwa za Ulaya (Arsenal na Bayern). Tanzania inakwama wapi?

    Kama Rwanda yenye size ya Mkoa wa Mtwara inaweza kutangaza Utalii wake kwenye kwa kufunga mikataba ya Utalii na Klabu kubwa kama Arsenal na sasa Buyern Munich, hivi Tanzania inashindwa wapi? Halafu unawasikia wale wanaojiita Viongozi wa Wizara eti wakisema Tanzania itafikisha watalii mil.5...
  8. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukisoma tu, umetangaza vita na Serikali

    Tanzania ya sasa ukisoma tu,hasa ukifika level ya degree na kuendelea utakiona cha mtema kuni.ni bora uishie darasa la pili kama doto magari infolensa.
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Kudhibiti dawa za Kulevya: Bangi ya Tanzania haifai kwenye Masoko ya Kimataifa

    Swali. Hivi wenzangu mnamuelewa huyu Jamaa? Yaani bangi ingekuwa haifai watu wangekuwa wanalima na kuisha Kwa Wingi kwenye black market? Waache ujinga walete sheria ya Kilimo rasmi Cha Bangi na Mirungi Ili Mashamba yawe monitored badala ya kuongea pumba hapa 😆😆. --- Kamishna wa Kinga na Tiba...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jose Chameleone: Hakuna msanii wa Tanzania na Kenya anayetufikia kwa Kuimba, wanabebwa na Mashabiki tu

    Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia uwezo huo. Amekiri, Muziki wa Uganda uliyumba kutokana na...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika kuhusu Fedha na Jinsia

    Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East), utakaofanyika Jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 15 hadi 17...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio burudani zetu Tanzania, tunafurahia kweli

    Nikiwa kama Mtanzania na mzalendo niseme tuu hizi ndio burudani zetu watanzania wengi, na endapo ukaona burudani yako haipo hapo una haki ya kuiongeza kwenye comment, Ready to Go 1. Kusafiri: kuembelea maeneo ya kuvutia kama vile Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Visiwa vya...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania watoa siku 30 kwa Uongozi la sivyo watatangaza mgogoro

    Baraza Kuu Maalum la Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, limetoa siku 30 kwa uongozi wa shirika hilo kuweka mkataba wa hali bora kwa Wafanyakazi ambao rasimu yake ilishakuwa tayari tangu Februari 2023, tofauti na hapo watatangaza mgogoro na Mwajiri wao (TRC). Baraza hilo limetoa...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi Vivutio vyake kwa watalii na wawekezaji mahiri duniani

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amewahakikishia kundi maalum la wawekezaji na watalii mahiri duniani zaidi ya 150 kutoka nchini Marekani na nchi nyingine duniani lililowasili nchini Novemba 4,2023 kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana nao kikamilifu katika jitihada...
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kenya leo wanapanda miti Milioni 100. Haya ni mambo Tanzania tunapaswa kuiga

    Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho. Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mambo manne makubwa ambayo yataweka mwelekeo wa kisiasa Tanzania

    Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM. Chedema inatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye haya mambo matatu 1. Bila katiba na tume huru ya uchaguzi wajitoe kabisa kwenye chaguzi...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 46% ya Wanawake wa Zanzibar ni Wanene Kupita Kiasi, Tanzania Bara ni 36%

    Imekuwa jambo la kawaida kukutana na makundi ya wanawake wa rika mbalimbali pembezoni mwa barabara wakifanya mazoezi. Wapo wanaokwenda kwenye klabu za mazoezi, lengo likiwa ni kujiweka fiti na kulinda afya ya mwili dhidi ya maradhi hasa yasiyoambukiza ambayo yamekuwa tishio kubwa kwa sasa. Hata...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

    Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu 1. Mishahara, 2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J), 3. Ulinzi, 4. Dereva, 5. Nyumba, 6. Posho ya mavazi, 7. Mafunzo ughaibuni, 8. Umeme, 9. Maji, 10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Huyu binti anayedhalilisha pesa ya Tanzania na huyo anayemhonga wachukuliwe hatua

Back
Top Bottom