tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

    Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu 1. Mishahara, 2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J), 3. Ulinzi, 4. Dereva, 5. Nyumba, 6. Posho ya mavazi, 7. Mafunzo ughaibuni, 8. Umeme, 9. Maji, 10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu binti anayedhalilisha pesa ya Tanzania na huyo anayemhonga wachukuliwe hatua

  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

    Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia. Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania inataka kuwa neutral katika Gaza Crisis haina maana Sheikh Ponda anapaswa kupelekwa Mahakani

    Lazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU. Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile lakini kila mtu anatazama different side of the coin. Safarini kwenda Shinyanga.
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kutumia COP 28 Dubai Kujitangaza

    TANZANIA inatarajiwa kujitangaza kimataifa kupitia Mkutano wa 28 (COP 28) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, utakaofanyika Dubai Umoja wa Falme za Kiarabu kuanzia Novemba 28 hadi 12 Disemba 2023. - Hayo yamesemwa leo Novemba 11, 2023 na Waziri wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

    1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi ) J.Kalimteua. J.P.M amemteua. Na sasa Samia amemteua. 2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David ) 3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda. 4. He has a threatening aura...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas. Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto. Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Lini Tanzania ilibadili msimamo wake kuhusu Israel?

    Ndugu zangu, Lini Tanzania ilibadili msimamo wake? Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ni kijana hodari mwenye kujua kuchagua maneno yake vyema. Hapo chini ameandika masikitiko yake kuhusu Tanzania kukataa kupiga kura kulaani mauaji ya Waislam Myanmar. Katika...
  9. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Tuzo za Muziki Tanzania (TMA): BASATA yaunda kamati maalumu ili kufanya TMA kuwa na hadhi ya kimataifa

    TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA) Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa sanaa kuwa Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) imeanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Starehe binafsi: Ni salama kuagiza hiki kitu mtandaoni ? Kwa hapa Tanzania wanauza ?

    Ni starehe binafsi kwajili ya kuvuta, kifaa hiki kinaitwa bong, waweza vutia kilevi kama tumbaku, naweza kukipata wapi hapa bongo ? nahofia kuagiza maana kimekaririwa kutumika kwenye kuvutia Marry Jane, nisije pigwa maswali nikienda kukichukua. Sababu yangu ya kuhitaji bong ni kwamba hii ndio...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Labda ni mtazamo wangu ila naiona Tanzania ni nchi isiyokua na yenye kuzorota kadri miaka inavyosonga mbele

    Achilia mbali ongezeko la idadi ya watu, Tanzania ni nchi ya ajabu kwenye karibia nyanja zote inachechemea, mfano viongozi wenye kumbukumbu za kitaifa toka uhuru ni mabubu, mazezeta, wanapigwa mkwara na vigedere vya juzijuzi. Taasisi za muhimu zimekuwa machawa, nyanja za uchumi uwezo wa kifedha...
  12. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM anatarajiwa kufanya ziara mikoa ya Kanda ya Ziwa lakini tetesi za mambo yanayoelezwa kuendelea ili kumpokea yanatia aibu, kutia hasira na kufedhehesha sana. Inadaiwa Mkuu wa Wilaya ya Chato ameziamuru Taasisi zote za Kiserikali Wilayani mwake kutoa...
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania MAP, utatu hatari unaosumbua Soka la Tanzania na utakaotawala Soka la Afrika

    MAP - Max, Aziz Ki na Pacome Huu ni utatu /Ramani ya hatari sana na kwa wale wenye macho ya ndani tunaona kabisa kwamba utatu huu utaendelea kufanya mambo makubwa mno pengine kuwahi kutokea Tanzania, Afrika Mashariki hata Afrika kiujumla. Uzi huu ubaki kama kumbukumbu.
  14. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Yafichuka: Jinsi Tanzania ilivyotia saini mkataba kichaa na kampuni ya siri kuendesha uwanja mkuu wa watalii nchini (KIA)

    Serikali imetangaza leo kuwa hatimaye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) utakabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) inayomilikiwa na Serikali (TAA) kesho, lakini walengwa halisi wa KADCO, kampuni iliyoendesha uwanja huo kwa miaka 25 na kukusanya mabilioni ya...
  15. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Unabii: Tanzania itaingia kwenye vurugu za mapinduzi kabla haifikisha miaka 100 ya uhuru

    Ukiachana na suala la katiba mpya ambalo ni bomu linalohesabu dakika zake taratibu kabla halijalipuka kuna mambo mengi yatakayojitokeza na kusababisha kuwaibua wananchi wenye hasira kali (hiki kizazi cha sasa 2000's) watakaogawanyika kwenye vikundi vingi vidogo vidogo vikiwa na lengo kuu moja tu...
  16. Ikulu T

    JamiiForums Tanzania Israel Vs Tanzania

    Ukubwa(kilomita za mraba) Tanzania: 945,087 km² Vs Israe:22,145km² Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel. Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $) Tanzania:$85.42billion Vs Israel:$521.696billion Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania. Idadi ya watu(population) Tanzania: Watu million 61 Vs...
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Uchumi wa kati ulitoka hapa kwa huyu!

    kwangu mimi raisi huyu yuko underrated na hapewi sifa zake anazostaili ingawaje ndiye raisi mwenye mchango mkubwa sana kwa tanzania ya leo, kwanza uchumi wa kati ulianzia kwake. fikiria kampuni kubwa leo hii tanzania kama nmb, crdb, tanzania breweries, tanzania cigarretes hata tra zote ni kwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ifike hatua Tanzania tutoke usingizini sasa; tuinue soko la sanaa kwa kutengeneza filamu zenye hadhi

    Tumekuwa tukiangalia movies zenye story za kiafrica na kizungu pia, kama Hotel Rwanda Tears of the sun Sometimes April Border Sarafina Shaka ilembe Roots Zipo nyingi sana kuzitaja zote hapa zitajaza space tu; sasa twende kwenye hoja ninayokusudia kuiandika hapa. Sisi Tanzania...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mengi ambayo askari wa usalama barabarani wa Tanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa wenzao wa Rwanda

    Nimerudi juzi Jumapili kutoka Kigali, Rwanda ambako nilikwenda na wenzangu 3 kwa shughuli za biashara. Tulikwenda kwa usafiri wa gari binafsi. Tulikaa huko siku 3. Nilishuhudia kitu kimoja kuhusu traffic polisi wa huko, jambo ambalo lilinifanya nitafakari na kulinganisha na traffic polisi wa...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mahakama za nchi za Kiafrika ni bure kabisa, hakuna kitu!

    Huu upumbavu wa uonevu kwa double standards za kisheria utaendelea hadi lini? Bora kichaa au mlevi asimamie kesi kuliko Mahakama za Africa. Mwizi au mbadhirifu wa billioni 12 anasomewa hukumu yenye upenyo wa faini kiduchu, wakati anayekutwa na nyara ya hovyo tena nyara ya kutibu njaa yenye...
Back
Top Bottom