tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

    Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

    Habarini, Nilikuwa naomba kama kuna mtumishi yoyote wa THPS humu ndani naomba tuwasiliane. Asanteni
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tanzania inataraji kupata mvua kubwa za Elnino isivyo kawaida. Wavuvi waanza kukatazwa kwenda kuvua

    Salaam Wakuu, Kupitia WhatsApp yangu nimetumiwa ujumbe wa tahadhari kuhusu kuwepo kwa Mvua katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Ujumbe huo unaeleza: Shinyanga, Dar, Pwani, Mafia,Tanga, Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kigoma na Kagera tujiandae, kutakuwepo na Pacific El nino na Atlantic El...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Kamati ya Kuratibu Tuzo za Muziki Tanzania (TMA), P Funk, Seven Mosha Ndani

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Damas Ndumbaro amefanya uteuzi wa Kamati itayohusika kuratibu Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa mwaka 2023-2024. Baraza la Sanaa la Taifa BASATA kupitia Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Kedmon Mapana limetoa baraka zake leo kwa kamati hiyo mpya ambayo...
  5. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

    Na Bwn Kenge! "Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo...
  6. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
  7. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023

    Mechi inapogwa muda huu, mpaka sasa ni kipindi cha mapumziko Niger 0 Tanzania 0 == Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeanza vizuri Kuwania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Niger goli 1-0, mfungaji akiwa ni Charles M’mombwa katika mchezo wa Kundi E. Mtanange huo umepigwa...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania UEFA yaipongeza Tanzania Kukuza Soka la Wanawake

    Shirikisho la Mpira barani Ulaya (UEFA,) limeipongeza Tanzania kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Karibu Tanzania Organization (KTO,) kwa jitihada zinafanywa katika kukuza soka la wanawake na wasichana katika ngazi mbalimbali za Elimu kwa kuanzia ngazi ya Elimu Msingi. Hayo yameeelezwa na...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Wa Kimataifa/ toka Mataifa mengine ni hawa: 1. Kenneth Hagin 2. Kenneth Copeland 3. Smith Wigglesworth 4. Dr. David Oyedepo 5. Pastor Chris Oyakilome 6. Uebert Angel 7. T. L. Osborn 8. Gloria Copeland 9. F. F. Bosworth 10. Charles Capps 11. Norvel Hayes 12. Andrew Wommack 13. E. W. Kenyon 14...
  10. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania Kivutio gani Tanzania umewahi kutembelea na ungependa kuona kivutio kipi siku zijazo?

    Tanzania tumebarikiwa vivutio vingi vya asili mfano mbuga za wanyama, fukwe, milima, n.k (warembo 😃) Binafsi nimeshatembelea Ngorongo, Manyara, Oldipai George, Amboni. Natamani sana ni pande huu mlima Kilimanjaro siku moja nikaone mandhari ya huko juu ikoje. vilevile na tamani siku moja ni...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri Taifa Stars katika mchezo wa Niger vs Tanzania

    Sina shaka na mechi ya leo, kwani historia inatubeba! Tumekutana na Niger mara mbili na tumeshinda mechi moja na droo mechi moja! Kwa kikosi tulichonacho Stars leo lazima tuwatembezee kichapo hawa Niger. Tayari Sokabet Nao washafanya yao huko! Ushindwe wewe tu kupiga mkwanja! Wanacheza, Unashinda!
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mbona Israel hawajamtambua mateka wa Tanzania aliyekufa

    Taarifa zimezagaa kuwa mmoja wa mateka wawili wa kitanzania waliokuwa huko Gaza ameshafariki dunia.Mateka huyo anaitwa Clemence Felix Mtenga, mwenye umri wa miaka 22. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Bbc Israel ilikubali kuwa kweli ameuwawa lakini katika orodha za waliotajwa kufa tayari...
  13. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Namna Tanzania itakavyo nufaika kiuchumi katika mahusiano yake na nchi ya Romania

    TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania... Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya Maparachichi, Kilimo, Na Afya. Mikoa inayolima Maparachichi, Kama; Iringa, MBEYA Na Kilimanjaro, ina...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Manowari Tanzania!

    Kuna mdau huku kauliza kama Tanzania tuna submarine[nyambizi], napenda kumjulisha kwamba tunazo za kutosha, pale ziwa victoria tuna sangara, sato, mba na dagaa wa kutosha, ukienda bahari ya hindi kuna tassi, pweza na wengineo kibao, kwenye mito kuna kambale, vyura n.k.....kazi kwako....tupo...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania & Romania Zatia Saini Mikataba ya Ushirikiano

    Tanzania & Romania Zatia Saini Mikataba ya Ushirikiano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis wakati wakishuhudia utiaji saini wa Mikataba mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo iliyotiwa saini na Waziri wa...
  16. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania The BIT between Tanzania and Canada does not provide fair terms. Tanzania has to stand its ground and terminate it

    What are Bilateral investment treaties (BITs) These are agreements between two countries that aim to promote and protect foreign direct investment (FDI)of the investors. BITs typically include provisions on fair and equitable treatment, (FET), National Treatment (NT), Most Favoured Nation...
  17. OLS

    JamiiForums Tanzania Njombe ilinyofolewa kutoka Iringa leo ina watu wachache kuliko mikoa yote Tanzania Bara

    Naendelea kuchunguza hizi takwimu za sensa za mwaka 2022 na kuendelea kujiuliza sababu ya kugawanya mikoa na wilaya. Kwa watoto lazima mjua baadhi ya mikoa ilikuwa wilaya tu awali, mikoa hiyo ni pamoja na Songwe, Katavi, Geita na Njombe. Leo nimeangalia mkoa wenye watu wachache nchini Tanzania...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa Tsh. Bilioni 56.3 kuboresha Haki za Binadamu

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, imetia saini ya Mkataba huo kupitia Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Fedha zitakazotumika kwaajili ya kugharamia maeneo Manne. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Tsh. Bilioni 8.15...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo. Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala...
  20. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Ufumbuzi wa kudumu kuhusu changamoto ya nishati ya umeme hapa Tanzania

    •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Kuhusu changamoto ya Nishati Ya Umeme, Hapa nyumbani TANZANIA, na ufumbuzi wa kidumu, ili Tatizo hili liwe HISTORIA, NAOMBA KUSHAURI yafuatayo, kwa mpendwa wetu, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kuwa; 1...
Back
Top Bottom