simu

  1. chakii

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imeamua kugawana 50/50 tozo za simu na Wamiliki wa mitandao?

    Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100 Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240 Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000 Kutoa 400000 ilikua 7000 sasa hivi 11,100 Kutoa 500,000 ilikua 7500 sasa hivi 12,700 Kutoa 600,000 ilikua 8000 sasa hivi 13,900 Kutoa 700,000 ilikua 8000 sasa...
  2. Haki na maendeleo

    JamiiForums Tanzania Badala ya kodi za simu mngefanya haya kwanza...

    Habari wakuu, kiukweli Serikali hii imetuumiza mno, kwenye makato haya ya simu, mm nafikiri kabla ya kuwaza kumkata mwananchi wa wa butobori!!! Wangeanza kufanya haya 1: Kupunguza posho na mishahara ya wabunge, na kuondoa viti maalumu havina kazi, sambamba na kuondoa wabunge Covid 19 2...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tozo mpya kwenye simu zitaua soko kwenye kampuni za simu

    Habari za kusikitisha sana ni kuwa zile tozo kubwa Sana za simu zilizopitishwa kwenye bajeti na Bunge letu, zilizotangazwa na waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, zinaanza kutumika rasmi leo na kuwaumiza sana wananchi wanyonge wa nchi hii Kwa hakika ni kilio kikubwa kwa mamilioni ya wananchi...
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba, Kodi kwenye mafuta, Kodi kwenye M-pesa, Kodi kwenye vocha za Simu. Huu uchumi ni watu kweli?

    Nimetafakali sana sina jibu. Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu. Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k. Tutafika kweli? Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Serikali imepandisha sana gharama za kutuma na kupokea hela kwa simu, ole wake mtu aniambie tuma na ya kutolea

    Pongezi kwa bunge la kijani la Mwendazake kwa kuyafanya maisha ya Mtanzania yawe magumu kila kukicha.
  6. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Sasa mnaoa ili iwaje? Hebu angalia hii familia

    Kuna watu humu mnaniambia kuwa "na diss sanaa kuoa" ila ni kwamba kwa kipindi hiki cha millenial "Ndoa hazina maana tena". Hebu cheki hii familia. Hii ndoa ni ya jamaa namjua. Nipo Mkoani kwahiyo mara nyingi hunipa dili kwa simu then nasafiri naingia Dar na kuipiga dili, namwachia chake cha...
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa 4 sasa simu yangu sina picha au video yoyote ya ngono

    Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea. Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

    Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata. Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
  9. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

    Tumeanza kudate miezi mitatu imepta!! Mwanzo ilikua kawaida tunatafutana kwa siku mara moja jion au mara mbili kwa siku Sasa bana kuanzia mwez 6 tabu ndipo ilipoanza Akipga simu hataki kumaliza maongezi Hata ukimwambia umechoka hakuelewi kila muda sim ,text ukipitaa lisaa utakuta miscall 7 msg...
  10. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutumia simu aina ya LG Velvet 5G G900UM maoni yako yanahitajika tafadhali

    Habari za mchana wapendwa katika bwana. Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM. Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tozo Mpya Kutuma fedha kwa simu kufa, Watanzania walia

    Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge "Iddi zungu" [asiye na utu wala kujali wananchi] Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali] Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki. [Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu...
  12. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais na washauri wake: Anzisha vipindi vya televisheni kusikiliza kero za wananchi na kupokea simu zao

    Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga bara bara na ni hatari kwake. Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sasa tuhamasike, kuwa na akaunti za Benki ni rahisi. Miamala ya simu gharama hazivumiliki

    Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa. Sasa nitahamia Benki, au nitasafirisha pesa kwa Gari yaani basi, pia tujitahidi kujiunga...
  14. DUMEGUY

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa jinsi ya kutrack simu ilioibiwa

    Habari za muda huu, Nauliza kama inawezekana kutrack simu iliyoibiwa kwa kutumia Serial Number pekee maana simu ni network lock, iphone 11 Kibaya zaidi ilikua haina icloud ndani, nauliza kwa anaejua kama inawezekana labda kama akikonect tu wifi nimuone alipo
  15. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya network ya kupiga simu na network ya internet?

    Simu infinix ina line ya tigo. Ikiwa kwenye 4G au 3G ukiipigia haipatikani. Hata kama umezima data. Ila ikiwa kwenye 2G simu ukiipigia inapatikana hata kama umezima data. Sasa nimeshindwa kuelewa hii kitu inakuwaje. Naomba ufafanuzi kwenye hili. Cc. reyzzap na Chief-Mkwawa
  16. Hplp2275H

    JamiiForums Tanzania Ni Apps zipi za Mitandao ya Kijamii unamiliki kwenye simu yako na na kwanini?

    Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends Kule Vichwa vipanga ni wachache mno kumejaa utopolo tuu. Hata ukiwa na followers Labda uwe unaandika kuhusu mapenzi, udaku...
  17. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Msaada bei za simu Kariakoo

    Hope mpo poa.naomba kujua bei ya simu zifuatazo kwe bei ya jumla kwa dar(kariakoo):tecno 528,tecno 351,tecno 313,tecno 301,tecno 372,tecno 474,tecno 454,itel 2160,itel 2173 na bontel l 600.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Habari za kazi wakuu, Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia...
  19. Kamotee

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania ondoeni hii meseji mnayotuma kwa wateja kila muda, pindi wanapopiga simu na kukata simu. Ni kero

    Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii. Na hii ni huduma ambayo sikujiunga...
  20. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naombeni ujanja wa kutambua simu fake

    Habari za mida wadau. Nimewahi kuleta uzi hapa nikiomba ushauri aina gani ya simu nzuri,Nashukuru nilipata mwanga wa kuelewa mambo mengi. Baada ya kuzurula mikoani sasa nipo Dar na kesho mapema naenda k/koo kwa ajili ya kununua simu mpya. Naombeni mnipatie ujanja wa kutambua simu fake hasa...
Back
Top Bottom