simu

  1. DUMEGUY

    JamiiForums Tanzania Simu ya infinix inajaa chaji kwa dakika 10

    Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.
  2. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Matapeli kwenye mitandao ya simu

    Hii thread ni maalum kwa ajili ya kuanika namba za simu za wanaotapeli kupitia huduma za fedha kwenye mitandao ya simu, naamini TCRA watakuwa wanapitia huu uzi, wangekuwa na Akaunti hapa JF kama Taasisi zingine ingekuwa vema. 0672388589 hii ni mojawapo ya namba inayotapeli, alinipigia simu...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Betri za Redio zikiisha Nguvu huwa tunazianika Juani Kisha tutaendelea Kuzitumia je, Betri za Simu zikianza Kupungua Nguvu tunafanyaje?

    Hapa nitakuwa nasoma tu Maoni yenu!!!
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini kupiga simu ndani ya EAC kusiwe kama kupiga ndani ya nchi moja?

    Ingekuwa sawa sana kama kupiga simu ndani ya EA kungekuwa kama unapiga ndani ya nchi. Hakuna haja ya mtu anayepiga simu Kenya au Uganda kuonekana anapiga simu nje ya nchi au na kutozwa kwa mtindo huo. Hii itaturahisisia sana mambo.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nilimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake, bado nasubiri majibu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais ili waweze kujadili kwa pamoja mageuzi ya kiuchumi na mustakabali wa taifa. Tundu Lissu amesema...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuuziwa simu Dar

    Nikiwa mgeni Dar nilikutana na kijana mmoja barbarani akanionyesha simu aina ya samsung A50. Kumuuliza bei akaniambia ni laki moja. Bei ilikua chini sana nikaamua kununua. Aliniharakisha sana akisema hataki kushikwa na polisi akanifungia simu ndani ya gazeti. Kufika nyumbani kujaribu kuwasha...
  7. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi kisa nimekula chakula cha boss, inauma sana

    Habari wadau. Miezi kadhaa iliyopita nilibahatika nilipata kazi katika kampuni moja kubwa ya uzalishaji . Nilianza kazi vizuri tu, ila siku ya kwanza tu naingia ofisini sekretari wa boss akaonyesha kunichangamkia kama tulishawai kuonana before mpaka nikaogopa, nikajitahidi kumkwepa sana...
  8. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia simu yako kama CCTV camera

    Ni raisi sana kuiset smartphone yako iwe kama CCTV camera, IPwebcam ndio suluisho la tatizo ilo. Fatana name mpaka mwisho wa Tutorial hii. IPwebcam is easily the best of the lot because it works through your browser, which gives it the cross platform compatibility. Ili kuset simu yako iwe kama...
  9. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

    Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia. Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
  10. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata simu hii (Nokia 1680c)?

    Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti. Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Napendekeza tukatwe kodi ya Tsh 50/= kwa kila kilo ya mchele na unga wa mahindi/ngano badala ya laini za simu

    Tukifanya hivi tutakuwa tumepanua wigo wa makusanyo ya Kodi kwa maana ya idadi ya walipa kodi wangeongezeka. Tutapata hela nyingi, na karibia kila mtanzania atashiriki ktk ulipaji wa Kodi na ujenzi wa taifa kwa ujumla. Tutachangia hela kidogo sana (Tsh 50/= per kilo) lkn fedha itakuwa nyingi...
  12. reyzzap

    JamiiForums Tanzania Usipende kuwa wa kwanza "ku-update" simu au acha kabisa!

    Nimetumia neno UPDATE kwenye heading sababu wengi ndio tumelizoea, lakini hasa nitazungumzia UPGRADE. Japokua vyote vinalenga katika kuleta mabadiliko kwenye kifaa chako(hapa nitazungumzia simu tu) ila ni vitu viwili tofauti ambavyo utofauti huo hutokana na aina ya hayo mabadiliko. UPDATE Hili...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2021/22: Kodi ya uzalendo ni kaa la moto. Kila laini ya simu itakatwa Sh. 100 kila siku

    Mapendekezo ya bajeti ya 2021/2022 ni kwamba moja ya vyanzo vya fedha iwe ni kodi ya laini za simu. Kila laini ya simu kwa mujibu wa mapendekezo yaliyosomwa na waziri wa fedha itakatwa kati ya Tshs 10/= mpk Tshs 100/= kwa kila siku. Bila kusahau VAT na makato mengine yaliyokuwepo yataendelea...
  14. mwengeso

    JamiiForums Tanzania Simu za wanaume zina nini?

    Katika kipindi cha leo "Mahusiano katika familia" kinachorushwa na Radio One, kulikuwa na hiyo mada. Katika maongezi na majadiliano yaliyojiri imebainika kuwa wote wawili (me/ke) ni waathirika wa Simu ya mkononi. Swali la msingi Je, wewe ni mwathirika wa simu ya mwenzi wako? Kama ni mwathirika...
  15. TheGreatASA

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasema simu ya mpenzi wako sumu?

    Wengi wanajutia au hata kufurahia uamuzi wao wa kujikuta wanachungulia ujumbe na mawasiliano ya wenzao katika simu zao za mkononi lakini matokeo yake ni jambo ambalo hawakulipangia. Ni kifaa kidogo cha mkononi ambacho kilifaa kurahisisha mawasiliano miongoni mwa watu. Lakini sasa hivi kama...
  16. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

    Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya Tsh. 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha Tsh. 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900. Hayo yanajiri katika marekebisho ya sheria kama kiambatanisho hapa chini kitakavyo onesha. Majibu ya wadau
  17. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe Education Cost Sharing kupitia simu za mkononi kugharamia elimu ya msingi na elimu ya juu kwa Watanzania wote

    Kwanza naomba ieleweke hii sio kodi bali ni kuchangia elimu au tunaweza kuita kuchangia Mfuko wa Elimu kwa watanzania kugharamia elimu ya shule ya msingi na elimu ya juu. Napendekeza kila mtanzania mwenye kumiliki simu ya mkononi achangie shilingi 10,000 kwa mwaka mzima na fedha...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

    Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT Wazalendo. Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar Nitajaribu kuweka video kama itakubali...
  19. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Simu kupata moto

    Wadau ni nini kinasababisha simu kupata moto wakati umewasha data? Simu yangu ni Tecno Spak 4 huwa inapata sana moto nikiwasha tu data.
  20. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Kuchati kwenye simu wakati mmetoka 'out' na mtu ni kero

    Habari gani watu wa nguvu..! Poleni kwa Majukumu ya siku nzima na kwa wale walioingia kazini usiku huu, Majukumu mema. Acha niende kwenye maada, katika karne hii ya 21 kuna mambo memgi yamejitokeza, Mengi mazuri na Mabaya machache. Moja ya mambo yaliyokuja kwenye karne hii ya 21, ni pamoja...
Back
Top Bottom