simu

  1. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Teknolojia: Njia rahisi ya mzazi kumwachia mtoto simu yake bila hofu ya kuvuruga files

    Mfumo huu unaitwa kids mode,hii ni kwa ajili ya watoto kwanzia wadogo mpaka wakubwa. Njia hii kwa sasa inapatikana kwenye simu karibu zote,na haitakuhitaji kuanza kuficha files zako kwa apps tumizi kama vault kwa hofu kwamba mtoto atavuruga au kufuta. Kwanza ni lazma iwe na lock ya kawaida...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tunapolalamikia Tozo za Miamala tukumbuke Ndugulile naye ameshatuletea "Airtime Levy" kwenye Vocha za simu

    Wakati mnalalamika na tozo mpya katika MIAMALA ya simu, Dk. Faustine Ndugulile anatuletea kitu kinaitwa "AIRTIME LEVY". So far inaonekana Mitandao ya mawasiliano ndo Sekta iliyokuwa kwa aharaka sana na imechangamka. Imeonekana ndo sehemu sasa ya kukamua fedha kwa Mgongo wa neno "Tozo'...
  3. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kupanda kwa Bei za Miamala ya Mitandao ya Simu ni "BANK ECONOMIC STRATEGIES"

    Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya siasa ya uchumi ningependa niwamegee kidogo kuhusu mambo nikiyoelekezwa kuhusu Trending marks...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mitandao ya Simu wamechonganisha wananchi na Viongozi wetu

    Nilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi. Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mhe. Rais kuhusu tozo kwenye miamala za simu

    Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa. Suala la tozo kwenye miamala za simu limekuwa kubwa na unatakiwa ulitolee/ulichukulie uamuzi wa haraka...
  6. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania WhatsApp kuruhusu kutumia huduma zake bila kuunganisha simu

    WhatsApp imesema inajaribu matumizi mapya ya mtandao huo utakaowawezesha watumiaji kutuma na kupokea ujumbe bila kutumia simu zao. Kwa sasa, mtandao huo unakulazimu kuunganisha simu yako na kompyuta ili uweze kutumia huduma zake katika tovuti (web) na programu (desktop app). Mtandao huo sasa...
  7. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Mgomo Baridi kuhusu kutumia miamala ya simu. Huko mtaani kwenu hali ikoje?

    Wakuu Kwema! Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu. Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu. Madai makuu ni kusema makato ni makubwa Sana. Je, huko mtaani kwenu Hali ikoje?
  8. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tozo mpya miamaka ya simu: Serikali wekeni bayana mipango ya maendeleo, wekeni viwango vya makato vinavyotabirika

    Rais Samia Suluhu Hassan Asubuhi ya leo, magazeti mengi yalikuwa na vichwa vya habari vinavyoonyesha hofu ya umma inayohusiana na tozo katika miamala ya simu ambazo zilianza jana. Tozo hizo kupitia miamala ya kidijitali sio mpya nchini Tanzania. Shughuli za elektroniki zinazohusiana na ununuzi...
  9. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania UVCCM ni wakati wa kusema lolote kuhusu tozo mpya za miamala ya kwenye simu

    Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu. Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kodi ya simu ni sawa. Kodi ni jukumu la kila Mtanzania

    Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu. Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo. Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika. Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ufanisi katika Makusanyo: Serikali imeona ambapo haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu

    Serikali inapoteza karibu Tsh. 3Trn kwa mwaka ktk bandari ya Dsm kwa sbb ya kukosa ufanisi wa kukusanya kodi na rushwa. Maeneo mengi serikali haijawekeza teknolojia ktk kukusanya mapato, hivyo kukosa hata 30% ya lengo. Ambapo serikali haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu. Cyril
  12. Godlisten9

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mabara yaliyoendelea yanaichukulia bangi katika nafasi kubwa ya kuendeleza uchumi wa nchi zao

    Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na sukari. Habari nawasalimu wadau na wana JF wote, nina imani mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila...
  13. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Tozo za Simu zinakiuka katiba

    TOZO ZA SIMU ZINAKIUKA KATIBA YA NCHI Viwango vipya vya tozo za mihamala vinakiuka katiba ya nchi. Iwe Katiba ya Sasa, Katiba mpya pendekezwa au ile ya Warioba. Zote zinakanyagwa kwa njia hizi: 1. Vinaingilia uhuru wa kuwasiliana. Uhuru wa kukusanyika siku hizi unafanyika kwa kuwasiliana. Watu...
  14. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Tozo za simu zimewaumiza pia wanafunzi

    Hali ni mbaya sana kwakweli tangu makato na tozo mpya zianze tarehe 14/07/2021 kwa wanafunzi wanaoomba vyuo na mikopo ya elimu ya juu na kufanya miamala ya simu kumewaumiza sana ukizingatia mzazi anapambana na kudunduliza mwanae angalau apply chuo. Wanafunzi wengi angalau kulingana na ufaulu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania WABUNGE: Kodi ya mshikamano ianzie kwenye malipo ya Wabunge yapitie kwenye simu

    Wenzetu Wabunge wawe wakwanza kutumia kodi ya mshikamano kwa kulipwa kwa njia ya simu. Kwa kuwa wabunge wana mishahara mikubwa na malupulupu kibao ipendeze kodi hii ya mshikamano kila malipo ya mbunge yapitie kwenye simu take. Hii itasaidia kuutunisha huu mfuko wa mshikamano kwa kasi nakufikia...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ujio wa pesa za kwenye simu uliambatana na habari ya "financial inclusion"

    Falsafa haswa ya kodi ni kwamba mwenye pato achangie gharama za uendeshaji wa serikali. Asiye na pato hatakiwi kuchangia. Kwa hiyo kodi sahihi haswa ni ile inayotozwa kwenye kipato. Mfano PAYE kwenye pato la mshahara. Kodi ya mapato - kwenye pato la biashara. VAT kwenye mauzo ya bidhaa na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tozo za miamala ya simu ni kikwazo kwa biashara ndogo

    Kama kuna mahali serikali hii imekosea ni kuhusu hii tozo ya miamala ya simu, madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa biashara za watu wa chini. Wafanyabiashara wadogo wengi hawatumii bank kufanya manunuzi na malipo mbalimbali. Tozo iliyowekwa ni kubwa kuliko faida tarajiwa katika muamala...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

    Kwa Haya mambo ndugu Watanzania tunasemaje? MAMA BADO ANAUPIGA MWINGI? NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.; DAR - ARUSHA; å Basi la kawaida 22,700/-. å Semi luxury bus 32,800/-. å Luxury bus 36,000/- DAR -...
  19. msovero

    JamiiForums Tanzania Kwa kipekee kabisa naipongeza Serikali kwa kuanzisha kodi ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Naomba Watanzania tuiunge mkono

    Hulka yetu watanzania tuliowengi hatupendi kulipa kodi kwa hiari ila ni wa kwanza kuilamu serikali pale inaposhindwa kuleta huduma za maendeleo. Yaani tunafikiri pengine maendeleo yanakuja tu kama mvua ishukavyo kutoka mawinguni au labda kwamba nchi inaweza kujiendesha yenyewe pasipo watu...
  20. BilioneaPATIGOO

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwa umoja wetu tuhamie huduma za kibenki

    Eti solidarity fund! Vichekesho vya kuvunja mbavu! Anyway kwa umoja wetu watanzania tuhamie kwa nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya katika huduma za mabenki yetu pendwa yanayotujali. Pia hapo hapo hua wana huduma za simu za kibenki ambazo mnaweza kutumiana pesa benki kwenda benki zote na ukaenda...
Back
Top Bottom