simu

  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ikiwa makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki hayatabadilika nini kifanyike?

    Jambo wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Ni ukweli usiopingika kwamba makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki yanawaumiza kichwa wananchi wanyonge, hasa ukizingatia kwamba watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha kama Rais, Makmu wa Rais, Waziri...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unaona upunguze bei ya Pombe uongeze kwenye Mafuta na Miamala ya Simu kweli?

    Rais ambaye umekulia mazingira ambayo unayafaham vizuri. Unabana kwenye Mafuta ambako ni usafiri uti wa mgongo wa maendeleo. Unaongeza kodi huko. Kuumiza wakulima, wafanyabiashara na wafugaji. Unaachia kwenye kilevi ili wote tuwe tunalewa tusitumie tena akili. Si ndiyo? Unaongeza kodi kwenye...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Kwa kufanya miamala ya kifedha makampuni ya simu yamechepusha ukwasi kiasi gani kutoka benki?

    Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA) Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes. Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha fedha kilichochepushwa kutoka mfumo wa kibenki kwenda mfumo wa simu?? Hivi ni kwa nini benki yetu ya...
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atoa kauli ya chama juu ya kodi/tozo ya miamala ya simu na kuvurugwa kwa Kongamano la Katiba

    Tazama na sikiliza VIDEO No. 1: Msimamamo wa CHADEMA juu ya tozo za miamala ya simu: VIDEO No. 2: Kauli ya Mwenyekiti kuhusu polisi mkoa wa Mwanza kupitia kwa RPC wao Ngh'anzi kuvuruga kongamano la katiba juzi j' mosi tarehe 17/7/2021 na kuwaweka kizuizini viongozi, wafuasi na wapenzi wa...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tozo za simu kuondolewa ni nini hatima ya bajeti kuu ya Serikali Kwa kipindi Cha 2021/22

    Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu? Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini? Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR? Ni nini hatima ya wabunge wa CCM kwenye majimbo Yao Kwa kashfa hii ya tozo za simu? Ni nini hatima ya...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tozo za simu: Bunge limeaibika!

    Swala la tozo za simu limeingia mkenge. Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu! Aibu kwa Ndugai Aibu kwa Bunge Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi Aibu kwa Zungu! Back to square one. Bado Tunataka hela za...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  8. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni suala la Tanesco, maji , miamala na vifurushi vya simu

    TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali 1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha 2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika 3)USambazaji wa Nguzo umeanza kudolola 4)Customer care Mbovu mfano mzuri Nyakato Mwanza wanamajibu ya ovyo kweli kuanzia Manager...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu kazi yake ni mawasiliano, si kutoa huduma za kibenki

    Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki. Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki...
  10. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi TBS hawaoni hizi charger fake za simu zinazolipuka kila siku?

    Toka nimeanza kutumia charger za simu sijui ni ngapi zimepiga shoti. Kamoja nilinunua tu na kukaweka kwa mara ya kwanza kakapiga shoti. Katika vitu fake vingi ni hizi charger na USB cable. TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wizara ya TAMISEMI itanufaika na tozo za miamala ya simu

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini. My Take: Nakumbuka...
  12. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Tozo ya laini za simu kuanza mwezi ujao

    MONDAY JULY 19 2021 Wakati kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia bajeti kuu ya Serikali kupitia tozo ya laini za simu kwa kila anayeongeza salio la maongezi. Dar es Salaam. Wakati kelele za tozo ya miamala ya...
  13. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
  14. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari zinazoweza kujitokeza kutokana na tozo mpya katika miamala ya fedha kwa njia ya simu kwa uchumi wa nchi yetu

    UTANGULIZI Hivi karibuni tumeshuhudia Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania likifanya mabadiliko ya sheria ya fedha, (The Finance Act) na kuongeza kifungu namba 46A, kifungu kidogo(1) kinachosema kwa tafsiri isiyo rasmi; “Kutakuwa na tozo zitakazokatwa kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu...
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Matumaini kibao tozo mpya za simu, wanawake waziunga mkono, wamtaka waziri asonge mbele bila kutetereshwa

    Wadau mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wajasiriamali, wamepongeza tozo mpya katika mitandao ya simu na mafuta zilizopitishwa mwaka wa fedha 2021/2022. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao walisema tozo hizo zitachochea ukuaji wa uchumi hasa katika maeneo ya vijijini. Walisema tozo hizo...
  16. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania UVCCM Shinyanga: Rais Samia angalia upya suala la tozo za miamala ya simu kwa maslahi ya wananchi wa hali ya chini

    Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira. Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
  17. Joshua Deus

    JamiiForums Tanzania Makato miamala ya fedha mitandao simu yazua vilio

    Na Joshua Deus Wahenga wanasema usipo Jenga ufa uatajenga ukuta,sekta ya Mawasiliano ni moja wapo ya sekta ambazo zinaingiza Pato la taifa nchini,Tanzania ili kukuza Pato la taifa inahitaji jitihada kubwa. Miongoni ni changamoto ambazo Zina changia kuporomoka kwa sekta ya Mawasiliano...
  18. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Simu imekuwa kama Nyoka kwenye Mahusiano, Mapenzi na Urafiki. Sumu yake ni hatari sana

    Wana JF, salaam nyingi. SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA: “Naongea na simu”. Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini? Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
  19. Moody Rutunga Jr.

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu

    Habari wana jukwaa naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu especially upande wa hardware, nipo bagamoyo naomba msaada labda mtu mwenye idea nianzie wapi? Au kama kuna fundi pia wa simu upande wa hardware tunaweza kuongea zaidi. Naomba kuwasilisha.
  20. V

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri: TCRA wafanye nini kumaliza tatizo la wizi wa simu

    Kuna vitu ni vigumu kuvisahau kwenye maisha yangu, vipo vyenye kufurahisha na vile vyenye kuleta maumivu moyoni mwetu. Jambo la kushukuru ni namna Mungu ameweka kitu kusahau ili maisha yaendelee, Mungu wetu ana nguvu sana. Mwaka 2019 ninaweza nikasahau matukio yote yaliyojiri mwaka huo lakini...
Back
Top Bottom