simu

  1. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kutype nichague tu

    Hii naamini ni settings tu Nataka Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kitype nichague tu Aina ya simu Redmi Nisaidieni.
  2. Miki123

    JamiiForums Tanzania Processors(SoC) za simu bora zinazofanya simu kuwa nzuri(2021)

    Kama unataka kumiliki simu nzuri na yenye uwezo mkubwa basi jambo la kwanza la kuangalia ni processor kwenye ulimwengu wa simu hufahamika kama SoC (System on Chip). SoC (system on chip) ni processor inayounganisha vitu vyote vinavyounda simu. Processor ya simu ni tofauti na kompyuta katika...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu kupata line za uwakala wa mitandao ya simu

    Wakuu naomba kujua je, inawezekena au ninaweza kutumia leseni ya biashara nyingine kupata line ya uwakala kwenye mitandao ya simu? Au kufanya uwakala huo ni lazima kuwa na leseni ya biashara inayohusiana na mambo ya uwakala kwanza? Pia ninaomba kujua kwa makadirio ya kodi TRA huwa wanakadiria...
  4. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutoa google FLP kwenye simu ya android Tecno

    Wakuu kwa anaejua maujanja maana nimeingiza email yangu kama mara nyingi inavyofanyika lakini nikifika mwisho inaandika try again hivyo naomba nipewe njia nyingine ili niweze kutoa flp kwenye hii Tecno.
  5. Sham777

    JamiiForums Tanzania Sitamani tena kuishi Dar, amenifedhehesha sana kuniibia simu yangu

    Kuna Brother nilimwomba anisaidie kunifundisha kunyoa ili nikisha jua nitafute ajira kwenye Saluni hizi za kiume. Juzi bro alikuwa ametoka ameniacha peke yangu Saluni basi kuna kijana akawa amekuja pale kumuulizia Bro nikamwambia Bro ametoka. Jamaa akaniambia kuwa kuna dada mtaa wa pili ana taka...
  6. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Huawei kuzindua mfumo wake wa uendeshaji simu janja mbadala wa Android

    Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google. Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
  7. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Phone: Wapenzi wa simu za Oppo

    hizi ni aina tofauti za simu aina ya OPPO unaweza angalia na kusafisha machoo.. Nimeangalia hadi zimenichanganya akili.
  8. ommytk

    JamiiForums Tanzania TCRA, matapeli wa kupiga simu na kutuma meseji wataisha lini?

    TCRA hivi awa matapeli kutumia simu mbona bado wapo wengí na sasa wanazidi kuongezeka si line tunasajiri na alama za vidole iweje waendelee kuwepo. Leo naona tuanze kuolozesha humu namba za matapeli wanautuma msg zile za waganga na mtoto wako kaumia tupo hospital na wale wanajifanya huduma kwa...
  9. rich1

    JamiiForums Tanzania Tuliotuma nauli tukazimiwa simu tukutane hapa

    Wale ambao tulituma pesa ya nauli na yakutolea, mwisho wa siku tukazimiwa simu na kupigwa block..tukutane hapa kwa nia ya kupeana moyo.
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nembo ya CHADEMA digital yawavutia wengi

    Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO . Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
  11. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Nawatetea Serikali, TCRA, Polisi na mitandao ya simu kuhusu utapeli wa "Tafadhali tuma kwa namba hii"

    Nitangulize samahani kwa wadau watakaodhani natetea uhalifu (ubaya) wa namna yoyote. Lakini wema na ubaya havijawai kuachana kama mwanga na giza. Ifikie hatua waibiwaji tujitathmini. Ubaya ukikwaza wengi mtu timamu huangalia wapi tatizo linaanzia. Hili la wizi wa mtandaon kama "tafadhari...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nataka nitrack simu ya mwanangu nifanyaje

    Habar wadau !! Nina mtoto nyendo zake sizielewielewi sasa nataka ni hack SMS za kawaida ili niweze kuzisoma bila kushika simu Nataka nimtumie link either whatsapp au gmail kisha nimpigie nimwambie abonyeze io link kisha mm niweze soma sms zake huku Nifanyaje NOTE sitak purchase plan...
  13. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

    Habari 👋🏾 Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria...
  14. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Suala la Ufahamu: Naomba Kujua jinsi ya Kufuta Documents kwenye Recycle Bin simu za Samasung

    Salaam! Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
  15. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Je, Tendo la ndoa haliwezi kufanyika mpaka umeme uwake?

    Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima Mama mmoja wa kwenye hicho kikundi bwana acha alalamike; Mama mmoja: Yaani huu umeme wa TANESCO umeniboa sana...
  16. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya laki 2 unanishauri simu gani nzuri?

    Habari zenu, Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo. Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani. Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Je, kuna simu inayoonesha saa na sekunde?

    Wadau wa sayansi habarini. Hivi kuna simu yenye kuonesha saa na sekunde kwenye screen? Kama ipo picha tafadhali.
  18. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali - kuna ngoma za zamani ni kama vile vocal imerekodiwa kwa simu ikadondosjwa juu ya beat

    https://www.reverbnation.com/ngomanagwa/song/14421014-mapacha-5050 Hii ngoma ya mapacha - 50 50 ni kati ya ngoma nilizokuwa napenda wayback hiyo miakaya 2006 hivi. Kilichokuwa kinamivutia hasa ni beat zao, hata ile tunabang ina beat kali. Sema leo nimeisikiliza nikagundua production hasa...
  19. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Hadi leo hii kuna wanandoa wanashare simu (This is modern world modern)?

    Mawasiliano ni nyenzo moja nzuri na muhimu kwa wanandoa. Iwe umesoma au haukusoma, uwe kijijini au mjini, uwe na hela nyingi au chache lakini huwezi kosa kabisa. Hebu tafakari, unaoa ama kuolewa na mtu mmnayependana. SASA UKIWA UNATAKA WASILIANA NA MWENZIO INABIDI UPIGE KWA JIRANI, NDO...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

    Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali. Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo. Chanzo: Swahili times
Back
Top Bottom