Kama umekuwa mtumiaji mzuri wa huduma ya Google Assistant, utakuwa unafahamu ni kwa ainsi gani huduma hii ilivyorahisisha utafutaji kwenye simu yako. Ni rahisi kutafuta kuhusu hali ya hewa, matokeo ya mechi, mgahawa ulio jirani, nk., vyote kwa njia rahisi tu ya kuzungumza kwenye simu yako...
Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini.
Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu...
Hebu tujalibu kupiga soga mbili tatu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tuambie siku ambayo ulipigiwa simu nyingi na watu tofauti kuliko siku nyingne zote na sababu ya kupigiwa.
Naanza mimi, nakumbuka ilikua 2013 siku ambayo matokeo ya form 4 yalitoka, aisee ile siku nilipigiwa...
Utafiti wa soko la teknolojia, uliofanywa na Kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyombo vya habari na mawasiliano ya simu. Mwishoni mwa mwezi wa nne wametoa report ikionyesha kuwa kampuni ya simu TECNO imechukua nafasi ya kwanza kama simu...
Habari wakurugenzi..!
Nilikiwa nashauri haya makampuni yaanze kukubali gharama za simu tuwe tunazilipa kama kodi ya nyumba tuwe tunalipa kila baada ya miezi au mwaka na tunaandikishiana na kuwe na mikataba kati ya mtumiaji wa huduma na kampuni husika .
Hilo swala la kulipa vifurushi naona...
Nimenunua LUKU. Mbali na hela ya LUKU, mtandao wa simu nilioutumia umeripoti kukata malipo ya kuutumia mtandao wao kununulia LUKU. Zamani walikuwa hawaonyeshi makato hayo. Huo mtandao utakuwa umeamua kuwa wawazi zaidi.
Nimefanya interview na taasisi fulani inayojihusisha na maendeleo ya Jamii, cha kushangaza kuna baadhi ya vitu waliniomba niwasilishe nilivyompigia HR simu yake ya mkononi hapokei wala ujumbe hajibu.
Je, sio sahihi kwa HR kupokea simu ya mtu aliyemfanyia interview?
Habari wakuu,
Huwa najiuliza hawa vijana wanaozunguka mitaani wakiuza line za mitandao ya Simu wanafaidikaje? Wanafaidika tu kwa kuuza line walizonunua kwa bei ya jumla au baada ya kumsajili mtu huwa wanapata commission labda kila mwezi kulingana na matumizi ya mteja?
Wenye kufahamu tafadhali...
Amani iwe kwenu!
Kwa wale ndugu zangu mliosoma biashara kuna somo linaitwa Strategic Management, kwa kifupi somo hili linaangazia zaidi juu ya kuanzisha, kutekeleza na kupitia au kurejea mikakati yaani kwa kimombo wanasema stategic managment is about formulation, implementation and Review /...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu.
===
Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Nakumbuka nilikuwa sina sana iyo tabia kiivo na ilipelekea kila mmoja wetu kutokuwa na password katika Simu.
Iyo siku shetani alipitia na ndio uhusiano wangu ulivunjika ambao nliuamini ntazeeka nao, Tulitoka kuzika sasa si unajua ukifiwa pole nyingi na unakuwa bize kuzijibu, Tukafika home...
Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540...
Kampuni ya LG Electronics leo imesema itafunga Biashara yake ya utengenezaji wa simu janja ambayo kwa takriban miaka sita imepata hasara inayofikia Dola za Marekani Bilioni 4.5
Kampuni hiyo ya Korea Kusini ambayo mwaka 2013 ilitajwa kuwa Kampuni kubwa ya tatu kwa utengenezaji wa simu janja...
Hii Simu nilinunua mwezi wa 9 mwaka jana, mpaka inafika mwezi wa 12, nilikua nshaweka screen protector 3 (ya elfu 5, elfu 7 na elfu 10).
Ukisahau 100 mfukoni, au ukaichanganya na funguo, unakuta ishapasuka.
Nilikua najiuliza sana, inawezekanaje hii gorila glass iwe protected na plastic cover...
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa
Utekelezaji wa agizo hilo...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeondoa zuio la kampuni za simu nchini kuwatumia mawakala kusajili laini za simu mitaani.
Akizungumza Jumatano Aprili 14, 2021 mkurugenzi wa mamlaka hiyo, Dk Jabir Bakari amesema mamlaka hiyo imeondoa zuio hilo na sasa kampuni za simu zitaendelea...
Kwa maoni yangu, Makampuni haya hususan mbabe wa wababe Vodacom, huwezi kuyapa lawama wala Waziri wa Mawasiliano.. kwanini? kwasababu wangekuwa wamefanya kinyume na Serikali inavyotaka wangeshapigwa faini au hata kufukuzwa nchini! lakini kwa upande wa Ndugulile kama angekuwa ni yeye mtaabishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.