simu

  1. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Huduma za fedha za mitandao ya simu zinakwaza sana

    Hizi huduma ni za muhimu sana ila mara nyingine zinaweza kukusababishia usumbufu ambao unaweza kujutia kuzitumia Mara kwa mara nimekuwa nikituma hela kutoka Airtel kwenda TTCL. Kama mara 3 hivi kwa siku tofauti baada ya kutuma pesa unaletewa meseji na Airtel kwamba hela imeenda na unaona kabisa...
  2. x - mas

    JamiiForums Tanzania Sioni vifurushi vya usiku katika menyu za mitandao ya simu, au navyo ndiyo kwaheri?

    Habari zenu wanajukwa. Naomba kujua vile virushi vya kuanzia saa sita usiku vilikuwa vinalundo la dakika, sms na mb havipo tangu bei za vifurushi kupanda? kama vipo vinapatikana kwa menyu zipi kwa mtandoa wako unaotumia.
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi

    Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi Watumiaji wa simu za mkononi bado wameendelea kulia na mabadiliko ya vifurushi vya simu za mikononi ambayo yamepandisha gharama za matumizi. Mabadiliko hayo ya vifurushi ambayo yalifanyika Hivi karibuni yakihusisha makampuni mbalimbali ya simu...
  4. I AM NO ONE

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kununua simu kikuu online tupe matokeo ya simu hizo

    Habari, Ebana nataka kujaribu kununua simu kikuu online. Naomba aliewahi kununua kwa njia hiyo anijuze ni nzuri au zinakuwa famba.
  5. YonDu Udonta

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kinafanyika kwenye huduma za kifedha za mitandao ya simu?

    Jana nilitaka kufanya muamala kutoka M-PESA kwenda Tigo Pesa ikawa inakataa, mpaka hapo asubuhi ya leo nilipoamua kuwapiga. wakasema wanatengeneza! Hayaa, nimeingia leo kuperuzi Facebook nimekutana na tangazo la Tigo nao TIGO PESA yao haipo hewani. Nimeingia JF nakutana na TTCL nao na huduma...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu bado wamegoma kurudisha vifurushi vya zamani, DG TCRA nadhani nawe hapo hapakutoshi, ukimzingua atakuzingua

    Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote. Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
  7. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, mpango wa namba mpya za simu zitakazosajiliwa Julai Mosi kuwa na namba ya siri upoje?

    Habari wadau! Kuna SMS tunapokea kwenye simu zetu toka TCRA zinasema kwamba kuanzia sikutajwa hapo juu namba zitakazosajiliwa zitakuwa na namba ya siri ambayo ukizima simu ili kuwasha utahitaji kuingiza namba ya siri. Hili lipoje? Je, ndio litasaidia simu zetu zisiibiwe? Au ndio litakuwa...
  8. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Ubize wa kutumia simu ulipelekea kufanya tukio gani la hatari?

    Wasaalam Ushakutana na ile moment uko kwa social nets, uko bize unaperuzi mpaka ikafikia time ukafanya katukia ka ajabu aidha ka hatari, ka kuchekesha au katukio ka namna yoyote ile Ilikuwaje na lilikuwa tukio gani? Mimi nakumbuka nlikuwa nagombana na mpenzi wa kwenye Text Nikajikuta...
  9. Scolari

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupokea pesa kwa njia ya simu kutoka nje ya nchi

    Je naweza pokea muamala(Pesa) toka nje ya nchi kama Ubelgiji au Uholanzi kwa Airtelmoney money? Kwa anaefahamu anisaidie please.
  10. Last Seen

    JamiiForums Tanzania LG kusitisha uzalishaji wa simu Janja

    Kampuni ya teknolojia ya LG imetangaza jana Jumatatu itasitisha uzalishaji wa simu janja. Kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imetangaza kuwa imekuwa ukipata hasara kwa kipindi Cha Muda mrefu inayokaribia $ 4.5bn.W Wakuu wa kampuni wametoa sababu mojawapo ya Hasara kuwa ni soko la simu janja...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
  12. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Zijue kampuni za Kimataifa za kutengeneza simu za mkononi na NCHI zinazozimiliki

    Zijue kampuni za simu na NCHI zinazozimiliki. 1. Samsung-Korea Kusini 2. Tecno-China 3. Huawei-China 4. Lenovo-Hongkong 5. Nokia-Finland 6. Blackberry-Canada Tupieni nyingine
  13. lushalila

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata uwakala wa mitandao ya simu

    Mwenye idea naomba anifahamishe jinsi ya kupata line za uwakala wa simu za mikononi kama vile Tigo pesa, M-Pesa nk. Nisaidieni ------------------
  14. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Hesabu Zetu Vs Hesabu za Makampuni ya Simu

  15. JOH CARLOS

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Galaxy A5(2017)

    Haina tatizo lolote. Ina ukubwa wa 32GB Fingerprint ipo vizuri kabisa. Bei yake ni 145,000 Ipo Mabibo Dar es salaam. Mawasiliano: 0768048752
  16. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Simu aina ya pro max

    Wadau polen na majukum Kuna simu nimeziona pale kikuu zina ram ya kutosha na internal gb nzur sn halaf bei ya kawaida nikasema ngoja nililete hapa kwa wajuvi mtujulishe juu ya ubora na uimara za hiz simu Naomba wataalamu wa simu mtufafanulie zaid natuma na sceen shot zake
  17. Point less

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za mwanafunzi kutumia simu shuleni (mdahalo)

    Ni kama mdaalo kuhusu faida na hasara za kutumia simu kwa wanafunzi mashuleni na hata nyumbani lugha ni kiswahili na kingereza KARIBU MTU KANYE TUJITETEE.
  18. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Madee: Diamond alitupigia simu saa tisa usiku wasanii tukutane studio

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
  19. Point less

    JamiiForums Tanzania Jamani nashindwa kupakua (download) muvi kwa simu yangu nisaidieni

    Simu yangu ni kipad aina ya tecno T528 ina ingia facebook ,google, ni sehemu gani nitumie?
  20. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu fake Kariakoo kwanini vijana tusijiingize kwenye hii biashara tusaidie watanzania wenzetu wanaolizwa kila siku?

    Habari za leo wakuu, Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum, Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
Back
Top Bottom