Kwa nini wanawake wanaozaa huwa hawataki kulipa huduma za hospitali za kuzalishwa?
Sababu hasa za watu kutaka huduma za kuzaa kuwa bure ni zipi?
Kwa nini utake watu wagharamikie kuzaa kwako?
Tishio la maandamano la hivi karibuni la Julai 7, 2026, limeibua mjadala mpana na mzito nchini kuhusu namna bora ambayo Serikali inapaswa kukabiliana na changamoto za kisiasa na kijamii zinazochochea wananchi na wanaharakati kutangaza maandamano. Badala ya kuwekeza nguvu nyingi na mabilioni ya...
Wiki iliyopita niliingia kwenye ofisi moja ya serikali, huyo ofisa aliyekuwa hapo aliponiona akaanza kutabasamu na kunikaribisha kwa bashasha. Nikajua ni uchangamfu tu, nilipoketi ndiyo akaniambia "nakufahamu, huwa nakuona mtandaoni". Badala ya kunihudumia, akaanza kuniuliza, nawezaje kuishi...
Ni jinsi gani Africa imekuwa sehemu ya majaribio ya kila aina bila wao kujifahamu.
Mzungu anaweza kukosea ila anaweza kukuacha na kujifunza alichokosea.
USA kutimiza miaka 250 mpaka taifa kufika pale ila walijifunza makosa na mpaka sasa ni taifa kubwa.
Afrika ijawahi kujifunza makosa ndio...
Siku imeisha!
Tayari imeingia siku ya jumatano.
Serikali ilitoa hakikisho kwamba wananchi waendelee na shughuli zao siku ya Jana 7/7. Kwani vyombo vya Dola vitafanya kazi yake ya kulinda na kuhakikisha kunakuwa na utulivu.
Lakini ajabu ni kuwa kwa sehemu kubwa biashara nyingi katika majiji...
Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza.
Bila shaka wanaowatumia...
Serikali imefanikiwa kutengeneza hofu isiyo na sababu kwa kujaza maaskari kwenye maadhimisho ya 7/7 bila sababu ya msingi kwa kuwa maandamano yaliyopangwa hayakuwa yamesemwa kama yatakuwa ya barabarani au ya watu kulala ndani, huenda yalikua ya kulala ndio maana sehemu kubwa wamelala na kuua...
Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na App Moja ya Kitaifa ya Kuripoti Changamoto za Wananchi
Teknolojia imebadilisha namna serikali nyingi duniani zinavyowahudumia wananchi.
Nchi kama Indonesia imefanikiwa kupitia mfumo wa SP4N-LAPOR!, ambapo mwananchi anaweza kuripoti changamoto yoyote na...
Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa.
Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa.
Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha...
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Mchome Lemburus, ameiomba Serikali na mamlaka husika kumuachia Mwenyekiti wa CHADEMA,, akidai kuwa chama hicho kinamhitaji ili kurejea kuongoza shughuli zake na kusaidia...
Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi?
Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta...
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja kuwa ulikubaliwa na vitendo vya ukatili vilivyosababisha vifo vya raia wasio na hatia.
Akizungumza...
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amesema serikali iliyopo madarakani kuwa na akili mgando kutokana na kukaa madarakani kwa muda mrefu bila kuleta mabadiliko makubwa nchini.
Katika mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026 na Nijuze, Mligo ameeleza...
Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali.
Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?.
Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
Boko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa kundi la kihalifu linalochinja watu, lililoishinda serikali.
Ndilo kundi linalosakwa na Marekani leo...
Mimi kwakweli sielewi , Ni akili za Mwigulu, ni za Katambi ñi za Abdul??.
Hivi hamuoni hatari mnayoileta kwenye Usalama wa NCHI??.
Mwigulu huna akili hata kidogo kweli??
Hamjui mnachokitengeneza sasa ni Kuhalalisha Adui wa Samia waliopo ndani ya CCM kuandaa Vijana ili mradi tu Mauaji...
VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3 Maana kila Tukifatilia VETA Makao Makuu Tunaambiwa Wanasubiri Sheria Ibadilishwe Ya Kupata Vyeti Iliyopo Sasa Hivi Hukipata Cheti kikipote Ndio Imeisha Hivyo Je? Bunge...
Kwema!
Mimi ni mwananchi na mkulima kutoka Wilaya ya Urambo, Mkoa wa Tabora. Tunaomba sauti yetu isikike kuhusu mgogoro mkubwa unaoendelea katika biashara ya tumbaku msimu huu. Hali ni mbaya sana, na wakulima wengi wanateseka.
1. Makampuni yanawakandamiza wakulima
Makampuni kama MKWAWA LTD na...