serikali

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanakubari makosa na kujifunza ndio maana wanazidi kutumia uwezo wetu kwa serikali mbovu za afrika kutokubari makosa

    Ni jinsi gani Africa imekuwa sehemu ya majaribio ya kila aina bila wao kujifahamu. Mzungu anaweza kukosea ila anaweza kukuacha na kujifunza alichokosea. USA kutimiza miaka 250 mpaka taifa kufika pale ila walijifunza makosa na mpaka sasa ni taifa kubwa. Afrika ijawahi kujifunza makosa ndio...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je wananchi hawaiamini serikali licha ya kuambiwa waendelee na shughuli zao lakini wengi wameogopa?

    Siku imeisha! Tayari imeingia siku ya jumatano. Serikali ilitoa hakikisho kwamba wananchi waendelee na shughuli zao siku ya Jana 7/7. Kwani vyombo vya Dola vitafanya kazi yake ya kulinda na kuhakikisha kunakuwa na utulivu. Lakini ajabu ni kuwa kwa sehemu kubwa biashara nyingi katika majiji...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wameigeuza 7/7 kutoka kuwa Siku ya Maonesho ya Biashara Mpaka Kuwa ya Maonesho ya Silaha. 8/8 Nayo Wataigeuza?

    Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza. Bila shaka wanaowatumia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania 7/7 hakuna watu, Serikali imefanikiwa kuyaua maonesho kwa kutengeneza hofu isiyo na sababu, wafanyabiashara wanalia

    Serikali imefanikiwa kutengeneza hofu isiyo na sababu kwa kujaza maaskari kwenye maadhimisho ya 7/7 bila sababu ya msingi kwa kuwa maandamano yaliyopangwa hayakuwa yamesemwa kama yatakuwa ya barabarani au ya watu kulala ndani, huenda yalikua ya kulala ndio maana sehemu kubwa wamelala na kuua...
  5. Fene

    JamiiForums Tanzania Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na Kitengo cha Kitaifa cha Kupokea Changamoto za Wananchi

    Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na App Moja ya Kitaifa ya Kuripoti Changamoto za Wananchi Teknolojia imebadilisha namna serikali nyingi duniani zinavyowahudumia wananchi. Nchi kama Indonesia imefanikiwa kupitia mfumo wa SP4N-LAPOR!, ambapo mwananchi anaweza kuripoti changamoto yoyote na...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali kama baba ije na muswada kuandaa vijana waliofunzwa siasa ya Kitanzania

    Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa. Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa. Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchome: Serikali imwachie Tundu Lissu, amekaa gerezani mwaka mmoja na nusu kwa kesi ya mchongo

    Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Mchome Lemburus, ameiomba Serikali na mamlaka husika kumuachia Mwenyekiti wa CHADEMA,, akidai kuwa chama hicho kinamhitaji ili kurejea kuongoza shughuli zake na kusaidia...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Polisi, Serikali, CCM mmepokea vipeperushi vingine wenzetu? Tumepata vya Maandamano, vya Vurugu 77 mmetoa wapi?

    Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi? Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Oktoba 29 inaniumiza sana, nailaani serikali. Hakukuwa na uchaguzi ni Uchafuzi

    Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja kuwa ulikubaliwa na vitendo vya ukatili vilivyosababisha vifo vya raia wasio na hatia. Akizungumza...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Serikali iliyopo madarakani bado ina akili mgando, inaogopa Upinzani

    Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amesema serikali iliyopo madarakani kuwa na akili mgando kutokana na kukaa madarakani kwa muda mrefu bila kuleta mabadiliko makubwa nchini. Katika mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026 na Nijuze, Mligo ameeleza...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Vijana watatu wabeba Sh100 milioni Vijana Uchumi Challenge, Serikali Yasisitiza Ushiriki wao katika Uchumi

    Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali. Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali imkamate Sheikh Mwaipopo, acheni double standards. Haya mambo ndio yanachochea chuki na kuligawa Taifa

    Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?. Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali ipo Upande wetu sisi Wanayanga. Simba isahau kuhusu kuchukua Ubingwa

    Nlisema as long as Samia ni Rais basi Yanga tuta enjoy Misimu yote Ubingwa. Maana hilo lipo ndani ya uwezo wetu.
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Boko Haram ilianza kama kikundi cha Mwaipopo kwa mgongo wa serikali ya Nigeria

    Boko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa kundi la kihalifu linalochinja watu, lililoishinda serikali. Ndilo kundi linalosakwa na Marekani leo...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kupitia Sheikh Mwaipopo na Kikundi chake , US na EU kuitambua Serikali ya CCM kua yenye kufadhili Makundi ya Kigaidi na uisilam misimamo Mkali !!

    Mimi kwakweli sielewi , Ni akili za Mwigulu, ni za Katambi ñi za Abdul??. Hivi hamuoni hatari mnayoileta kwenye Usalama wa NCHI??. Mwigulu huna akili hata kidogo kweli?? Hamjui mnachokitengeneza sasa ni Kuhalalisha Adui wa Samia waliopo ndani ya CCM kuandaa Vijana ili mradi tu Mauaji...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3

    VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3 Maana kila Tukifatilia VETA Makao Makuu Tunaambiwa Wanasubiri Sheria Ibadilishwe Ya Kupata Vyeti Iliyopo Sasa Hivi Hukipata Cheti kikipote Ndio Imeisha Hivyo Je? Bunge...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ni mbaya kwa Wakulima wa tumbaku wilayani Urambo, Kampuni zinaumiza Wakulima

    Kwema! Mimi ni mwananchi na mkulima kutoka Wilaya ya Urambo, Mkoa wa Tabora. Tunaomba sauti yetu isikike kuhusu mgogoro mkubwa unaoendelea katika biashara ya tumbaku msimu huu. Hali ni mbaya sana, na wakulima wengi wanateseka. 1. Makampuni yanawakandamiza wakulima Makampuni kama MKWAWA LTD na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Katambi: Hakuna mtu aliyembabe kuliko Serikali, yoyote atakayetishia usalama wa Nchi atakuwa halali wa vyombo vya ulinzi na Usalama

    VIDEO:Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa wito kwa Watanzania kuheshimu utawala wa kisheria na mamlaka ya serikali nchini Tanzania huku akitoa onyo kwa wale wanaofikiri kuwa wanaweza kuwa juu ya sheria.Akizungumza na waendesha bodaboda, bajaji, na machinga mkoani Dar es...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Serikali imalize mgao wa maji Dar, Wananchi hawawezi kuendelea kubebeshwa gharama za uzembe na ufisadi

    ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ni nini, na kazi yake ni nini?

    Leo nimewaza na kuwazua, sikupata jibu: dola ni nini? Je, ni mkusanyiko wa viongozi na wananchi au ni viongozi peke yao? Kazi ya dola ni nini? Kujilinda au kulinda wengine? Wajibu wa raia kwa dola ni nini—kuitii, kuiogopa na kujinyongesha au kuna namna nyingine? Au dola ndiyo majeshi, au...
Back
Top Bottom