serikali

  1. R

    Eric Omondi: Msanii lazima asimame na Wananchi ni kioo cha jamii, Si busara Msanii kuongea kwa niaba ya Serikali

    Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa na Citizen TV Kenya, Septemba 30, 2026, Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi, amesema Msanii au Influencer lazima asimame na wananchi kwani ni kioo cha jamii. Eric Omondi ameeleza kuwa viongozi wa kisiasa huja na kuondoka, lakini wasanii...
  2. M

    DAR: Wahalifu wa uchakachuaji wa mitungi ya gesi za kupikia wakamatwa. Je serikali inatulindaje watumiaji dhidi ya huu wizi?

    Habari wana jamii. Kuna taarifa imepostiwa mtandaoni ikieleza kukamatwa kwa wezi (wahalifu) ambao wanafanya kazi ya kuchakachua mitungi ya gesi za kupikia (LPG) jijini Dar-es-salaam. Taarifa hiyo inadai kuwa watu hao huwa wanafanya kazi ya kupunguza kilo za gesi kutoka kwenye mitungi iliyojaa...
  3. Zack Abdul

    Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo kazini hamna kupoa

  4. Q

    Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali. Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
  5. Wizara ya Ardhi

    Serikali kuipa nguvu sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi

    DODOMA Serikali imesema imeanza kuweka msisitizo zaidi katika sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi ili kuimarisha upatikanaji makazi bora, salama na yenye kuzingatia mipango miji, sheria na viwango vya ujenzi nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi...
  6. Think2

    Serikali imetuletea vibwego kutoka madiba

    Waliomuolewa huyu jamaa from madiba watwambie amesemaje
  7. Traxtion

    Hata Zanzibar pia wananchi wanalalamikia serikali

    Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani. Watanzania kiujumla wanateseka chini ya hiki chama, viongozi wa Tanzania kutoka bara na visiwani wote...
  8. R

    Nigeria: Adeyemi ashtakiwa kwa kuanzisha Taasisi Feki ya Serikali na kutengewa Dola Milioni 1 kwenye bajeti kuu

    Septemba 30, 2026 Mwanamume mmoja nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Adeniyi Adeyemi alifikishwa Mahakama ya Abuja akituhumiwa kuunda kinyume cha sheria taasisi ya serikali, kujiteua kuwa mkuu wake na kufanikisha kutengewa fedha katika bajeti ya serikali. Kesi hiyo imeibua maswali kuhusu...
  9. K

    Jacqueline, Wananchi Chala, Sumbawanga wafurahia Vifaa Tiba Vya 312m vilivotolewa na Serikali

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
  10. Hismastersvoice

    KERO Wenye mabasi ilazimisheni serikali iwauzie hisa kwenye vituo vikuu vya mabasi ya mikoani

    Hivi vituo vikuu vya mabasi ya mikoani uendeshaji wake ni wa siri na wanufaika hawajulikani huku wenye mabasi wakikamuliwa kwenye ushuru. Ili mnufaike na ushuru mnaolipa ni lazima nanyi muwe sehemu ya wenye hivyo vituo kwa kuwa na hisa, mkiwa na hisa mnaweza kutengeneza mazingira mazuri ya...
  11. masopakyindi

    Mgomo wa Madereva nchi nzima: hii si dalili njema kwa serikali!

    Madereva si wachache nchi nzima. Kwamba wameweza kuanzisha mgomo nchi nzima ya Tanzania ni suala limetugutua kidogo. Tunaona serikali iko katika panic mode- hawakujua hili linakuja. Hilo ni somo kwa serikali na vyombo vyake. Tunasikia kila siku kuna intellijensia, sasa hivi wamevuliwa msuli...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Sisi tuliozaliwa familia zenye imani mchanganyiko. Hatuonagi shida hata serikali nzima iongozwe na Dini moja

    Hamjambo! Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa mtu wa imani kali au udini. Sisi wengine Msikitini tunaingia. Kanisani tunaingia. Usabatoni...
  13. M

    Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Wana-Jamii Forums salamu, Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa. Binafsi...
  14. S

    Tafakuri: Kama kutisha serikali ni uhaini, waliotangaza mgomo wa madaktari hawakuitisha serikali na haukuwa uhaini?

    Hii kesi ya uhaini ya Lissu, imeniacha na maswali mengi lakini pia imenishangaza kwa mengi. Mojawapo ni sheria kutoa mwanya kuwa kuitisha serikali ni uhaini. Yaani kuitisha serikali ni ingredients kwenye kosa la uhaini. Sasa najiuliza: Kutangaza mgomo kama walivyofanya madaktari sio kuitisha...
  15. H

    Tetesi: Lissu atahukumiwa kifo. Maandalizi ya serikali yanayoitwa elinino yamelenga kuja kuzuia Vurugu baada ya ukumu

    Za ndani kabisa. Mitiani imewahishwa yote, kisha serikali ikatenga billion 700 kwa kile inachokiita elinino. Ila ukweli ni kuwa Ama Lissu atafia jela kabla ya hukumu yatehe 6 November au Akina kabudi watalazimika kuandika hukumu ya kumnyonga. Majamaa ya Zimbabwe hayataki kabisa kumuona lissu...
  16. feyzal

    Serikali inajilaumu sana kumkamata Lissu kabla ya 29 October 2025.=

    Nimejaribu kufuatilia hii kesi tangu ilivyoanza mpaka sasa unaona kabisa serikali inajilaumu kuwahi kumkamata Lissu kabla ya yale machafuko(maandamano halali). Ndo maana kuna kipindi wakataka kuleta ushahidi mpya lakini Gwiji La sheria duniani Ndugu Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU akapangua...
  17. K

    Ulevi wa Madaraka: kuna tofauti kati ya taifa na serikali!

    Watanzania wengi hata wa serikalini hawajui tofauti kati ya taifa na serikali. Haya ni mambo ambayo yanatuletea mfumo wa sasa ambao hata watanzania hawaulewi vizuri
  18. The Burning Spear

    Suala la Machinga kuondolewa kariakoo kuna haja serikali ipelekwa mahakamani.

    Taasisi za haki za binadamu wasilikalie kimya hili jambo maana ni ukatili na uonevu mkubwa. Hatuwezi kutesa maelefu ya vijana kisa watendaji kadhaa wasiozidi 10 wa jiji wanahofia nafasi zao. kwani walikuwa wapi miaka yote hiyo. Hao wafanya biashara wapo kariakoo kwa zaidi ya miaka 30 huwezi...
  19. S

    Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Nimemsikiliza wakili wa serikali Katuga akitoa ufafanuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kwamba sentence guideline ya 2023 inasema shall be liable maana yake ni mtuhumiwa anaweza kunyongwa au asinyongwe. Katuga hajasema kweli, na kama hajui maana ya kisheria ya maneno "shall", "will"...
  20. Parabolic

    Serikali yasisitiza wananchi kuendelea kusikiliza wataalamu athari za El Nino

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Muhonda na Sungaji wakati akiwa kwenye ziara Wilaya Mvomero mkoani Morogoro, Septemba 28, 2026. Serikali imeendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kusikiliza...
Back
Top Bottom