serikali

  1. Wizara ya Ardhi

    Serikali yaendelea kutoa huduma za ardhi kupitia kliniki kidijiti

    RUVUMA: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia Kliniki za Ardhi, zinazolenga kupunguza migogoro ya ardhi na kuongeza uelewa kuhusu sheria na taratibu za umiliki wa ardhi. Kwa mkoa wa Ruvuma, kliniki hiyo ya Ardhi ya Kidigiti...
  2. Yoda

    Kafulila na PPP yake walete viwanda binafasi vya kuuza maji kutoa huduma ya maji majumbani kwa PPP.

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na kupikia tu. Sasa kwa sababu viwanda vya maji vya akina Azam, Kilimanjaro, GSM, Hill Water na vingine...
  3. Zack Abdul

    Serikali imetoa leseni zaidi ya 30 kwa wachimbaji wadogo 400 huko Kwimba,Mwanza

    Kati ya mwaka 2025 na 2026, Serikali imeendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kupitia mafunzo na upatikanaji wa maeneo rasmi ya uchimbaji. Jumla ya vijana 1,239 wamepatiwa mafunzo ya uchimbaji salama, utunzaji wa mazingira na uchenjuaji, huku maeneo 99 ya vitalu yakitengwa rasmi kwa ajili ya...
  4. G Sam

    Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu! Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala...
  5. O

    Wakazi 133 wa Lamu waipeleka Serikali Mahakamani kupinga ujenzi wa kiwanda cha Dangote hadi pale watakapolipwa fidia

    Wakazi 133 kutoka Chandavai, Lamu, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu ya Malindi wakipinga shughuli zinazoendelea kwenye ardhi inayohusishwa na ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote. Wakazi hao wanataka mahakama isimamishe shughuli zaidi kwenye eneo hilo hadi madai yao kuhusu...
  6. kavulata

    Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

    Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake. Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
  7. Q

    Serikali imetenga Bilioni 730 za El nino, je isipotokea zitarudishwa hazina?

    TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili. Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne. Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo. Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa...
  8. Hismastersvoice

    Serikali iufanye mji wa Mikumi kuwa mji mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kukuza utalii mkoani humo.

    Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa. Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
  9. Hismastersvoice

    Serikali kujivunia madereva 500+ wanaotumikishwa uarabuni ni mapungufu ya viongozi wa CCM.

    Wakati wenzetu wanapeleka wananchi kwenda nje kufanya kazi ambazo nchi itafaidika watakaporudi sisi tunapeleka madereva kazi ambazo zimesuswa. Tumepeleka mayaya na waosha sahani lakini wakirudi hatufaidiki kiuchumi! Wenzetu wamepeleka vijana Israeli ambako wanajifunza kilimo chenye tija kupitia...
  10. M

    Ni aibu kubwa kwa serikali na nchi kumfungia kufanya sanaa mtu anayepambana kurekebisha hali mbaya iliyopo ya mmomonyoko wa maadili katika jamii.

    Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya. Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya. Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa mashoga,wasagaji na basata] ya serikali ndio hawaoni jambo jema,tukufu na la kheri analofanya dudubaya. Hii la...
  11. mwenye shamba

    Tunaomba serikali ichunguze hili tatizo la watoto kutapika na kuharisha hapa manyoni.

    Mode hide my id Kumekuwepo na changamoto kubwa ya watoto kutapika na kuharisha hapa wilaya ya manyoni,wodi ya watoto kwa sasa hakuna ugonjwa mwingine unaoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi kama huu wa kutapika na kiharisha Ttunaomba serikali itoe ufafanuzi,isijekuwa ni kipindupindu tayari...
  12. Roving Journalist

    Ado: Serikali ikibaini madini, Wananchi wapewe kipaumbele, Wachimbaji wadogo wasifukuzwe "hii ni nchi yao!”

    Mbunge Ado Shaibu Ado akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Kijiji cha Ngapa, Kata ya Wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma amesema Wananchi walipogundua madini na kuanza kuchimba kama wachimbaji wadogo, Serikali badala ya kuwawezesha kwa teknolojia na mitaji ili faida ibaki ndani, inaenda...
  13. Waterloo

    Chacha, ni kweli tunajua Serikali na Vyombo vyake ni Mali ya chama Cha mapinduzi lakini kututamkia hadharani ni dharau kubwa kwa watanzania

    Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba? Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
  14. Roving Journalist

    Serikali yaitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) kubuni Mitaala kuendana na AI

    Serikali imeitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kuharakisha maboresho ya mitaala na mafunzo ya uhasibu ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia, hususan matumizi ya akili unde (AI), kwa kuwa baadhi ya kazi zinazofanywa na wahasibu hivi sasa zinaweza kubadilika au...
  15. Eliphaz the Temanite

    Dawasco Shirika linatia hasara serikali kila siku

    Hivi DAWASCO hawaoni? Kila kukicha mitaani maji yanamwagika mpaka yamechimba mitaro. Halafu somewhere katikati ya mwaka tunaambiwa maji hayatoshi unaanza mgao wa maji!. Yaani imefika hatua mpaka ukitaka kujua maji yanatoka utaona tu mtaani jinsi maji yanayo vuja kila kona! Uko convert maji...
  16. ngorokori

    Mpango wa Serikali juu ya kutatua changamoto ya Vurugu na Vifo vinavyotokea kati ya Wakulima na Wafugaji

    Binafsi nasikitika sana kuona Bado Kuna vifo na vurugu zinazoendelea baina ya WAKULIMA na WAFUGAJI. Jambo linaloibua maswali mengi sana juu ya mpango mkakati wa SERIKALI dhidi ya KUTATUA changamoto hii ambayo ni hatari Kwa taifa kama hili. Taifa ambalo uchumi wake unakadiriwa Kwa takribani...
  17. M

    Serikali ya majimbo italeta ukabila, Tunachohitaji ni Katiba ya Warioba. Ghana, Malawi, Zambia na Botswana zina mfumo kama wetu ndio maana zimetulia

    Wilaya zetu zina makabila, na mikoa yetu pia ina makabila. Hata hivyo, mfumo wa uongozi wa serikali za mikoa tulionao, ambao kwa namna fulani unapatikana pia katika nchi zinazotajwa kuwa na mshikamano mkubwa wa kitaifa kama Ghana, unapunguza uwezekano wa viongozi wa mikoa na wilaya kujijenga...
  18. Sifi Leo

    Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Huu ni ushauri wangu kwa serikali, Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe. Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
  19. Mkalukungone Mwamba

    RC Ruvuma azindua Boti ya Uokoaji yenye thamani ya Tsh. Bilioni 1.5

    Serikali imezindua na kukabidhi boti maalum ya uokoaji na kuzima moto yenye thamani ya Sh bilioni 1.5, ikiwa ni hatua ya kuongeza uwezo wa kukabiliana na majanga katika Ziwa Nyasa. Boti hiyo ina injini mbili zenye nguvu ya Horse Power 250 kila moja, uwezo unaolenga kuimarisha kasi na ufanisi wa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Kada wa CCM: Serikali imejenga mochwari ya kisasa yenye vyoo, sio kawaida

    Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii. Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida...
Back
Top Bottom