serikali

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nani Kadukua Mitandao ya Serikali ya Tanzania? Je, Vitisho vinasaidia?

    Salaam Tatizo la Polisi wa Tanzania wanaongoza kwa Vitisho wakihisi Wadukuzi wanawaogopa. Sasa watu wamedukua, badala muwekeze kwenye Ulinzi wa kimtandao, nyie mnatisha. Hadi mtu anadukua unadhani anakuogopa? Lengo la mada ni kutaka kujua kama vitisho vitisho vitasaidia watu wasidukue...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. SAMIA: SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini katika kutekeleza majukumu yao ya kiroho na kijamii kwa ajili ya ustawi wa Watanzania. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo (Jumapili, Oktoba 4, 2026)...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kushirikiana na Taasisi za Dini

    Mheshimiwa Rais amenituma niwahakikishie kuwa Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi zetu hizi za dini, Dkt. Mwigulu Nchemba Waziri Mkuu wa Tanzania 🗓️Oktoba 4, 2026 📍HANDENI, TANGA —————————————————- Amesema hayo alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Misa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini viongozi wa serikali hawachangii ujenzi wa mahekalu ya Wahindu ?

    Naona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine. Ni vyema viongozi wakumbuke Tanzania kuna dini zaidi ya mbili, ndugu zetu Wahindu tumewatenga sana linapokuja suala la...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Asante serikali awamu ya 6 ya kwa elininyo hii, usukumani wameisha ipokeaam alumuniamu rainfall.

    Asante serikali ya mama, tumeona utabiri wenu mzuri. Elininyo imepiga ya kutosha mpaka sasa, na zile bilioni zimeanza tumika vyema, ingawa kanda ya ziwa wamepokea Aluminium rainfall. Acheni siasa kwa mambo ya kitaalamu
  6. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Kutenganisha Msikiti wa Makonda na Serikali Huu Hapa

    Mpendwa Msomaji, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, ametangaza mpango wa kujenga msikiti mkubwa jijini Arusha ambao utatumika kwa ibada na kuwa kivutio cha utalii. • Gharama: Makadirio ya awali ya ujenzi yanatajwa kuwa kati ya dola za...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilayani Magu hatuna maji kwa wiki ya tatu, ila bili kila mwezi tunapewa

    Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa kukosa huduma hii muhimu. Tunaomba Serikali kupitia Wizara ya Maji itusaidie kufuatilia na kukagua mradi...
  8. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania HUU MFUMUKO WA BEI KWENYE REAL ASTATE TANZANIA SERIKALI INAONA AU HAIONI..

    Huenda Mimi tu ndyo nimegundua hili..? Tanzania kumekuwa na mfumuko Mkubwa wa bei kwenye nyumba na viwanja Kumekuwa na mfumuko uliopelekea bei za nyumba kununua na kuuza kuwa kubwa kuliko uhalisia Sasa ni kawaida kuambiwa kiwanja mbeni kinauzwa milioni 900 ambayo kiuhalisia haiendani na bei na...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Haya matukio ya kuuwana kwa mke na mume ni Mengi, serikali mnayaona?aibu aibu aibu aibu

    Serikali mnaona watu wanavyo uha? Tanzania ya Nyerere sio hii ya leo, Mbona mmewapa watanzania silaha wajane? Nini kinaendelea? Samia Samia watanzania wauana wts wrong?
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eric Omondi: Msanii lazima asimame na Wananchi ni kioo cha jamii, Si busara Msanii kuongea kwa niaba ya Serikali

    Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa na Citizen TV Kenya, Septemba 30, 2026, Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi, amesema Msanii au Influencer lazima asimame na wananchi kwani ni kioo cha jamii. Eric Omondi ameeleza kuwa viongozi wa kisiasa huja na kuondoka, lakini wasanii...
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Tunaipinga Standard Group" - Waandamanaji Wanaounga Mkono Serikali Wajaribu Kuvamia HQ ya Media House.

    Kundi la waandamanaji wanaodai kuunga mkono Serikali ya Rais William Ruto lilifika katika Makao Makuu ya Standard Group pembeni mwa barabara ya Mombasa Rd Jijini Nairobi likilalamikia kile walichokitaja kama utangazaji wa upendeleo dhidi ya utawala wa Ruto. Waandamanaji hao walifika wakiwa na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je serikali imejiandaa vipi kwa vijana Gen z katika kusimama taifa 10 yrs later

    Wakubwa shikamooni katika jukwaa Leo nimewiwa kuomba muongozo kwa wakubwa juu ya hali iliyo Sasa ya kimaadili , technology, Je serikali imejipanga vipi kulinda uzao wa kizazi cha watu mahiri wa kulitumikia taifa katika uadirifu usiri na njia sahihi kijamii ,ki nchi kwa ujumla ukikaa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania DAR: Wahalifu wa uchakachuaji wa mitungi ya gesi za kupikia wakamatwa. Je serikali inatulindaje watumiaji dhidi ya huu wizi?

    Habari wana jamii. Kuna taarifa imepostiwa mtandaoni ikieleza kukamatwa kwa wezi (wahalifu) ambao wanafanya kazi ya kuchakachua mitungi ya gesi za kupikia (LPG) jijini Dar-es-salaam. Taarifa hiyo inadai kuwa watu hao huwa wanafanya kazi ya kupunguza kilo za gesi kutoka kwenye mitungi iliyojaa...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo kazini hamna kupoa

  15. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali. Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
  16. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali kuipa nguvu sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi

    DODOMA Serikali imesema imeanza kuweka msisitizo zaidi katika sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi ili kuimarisha upatikanaji makazi bora, salama na yenye kuzingatia mipango miji, sheria na viwango vya ujenzi nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi...
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Serikali imetuletea vibwego kutoka madiba

    Waliomuolewa huyu jamaa from madiba watwambie amesemaje
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Hata Zanzibar pia wananchi wanalalamikia serikali

    Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani. Watanzania kiujumla wanateseka chini ya hiki chama, viongozi wa Tanzania kutoka bara na visiwani wote...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Adeyemi ashtakiwa kwa kuanzisha Taasisi Feki ya Serikali na kutengewa Dola Milioni 1 kwenye bajeti kuu

    Septemba 30, 2026 Mwanamume mmoja nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Adeniyi Adeyemi alifikishwa Mahakama ya Abuja akituhumiwa kuunda kinyume cha sheria taasisi ya serikali, kujiteua kuwa mkuu wake na kufanikisha kutengewa fedha katika bajeti ya serikali. Kesi hiyo imeibua maswali kuhusu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Jacqueline, Wananchi Chala, Sumbawanga wafurahia Vifaa Tiba Vya 312m vilivotolewa na Serikali

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
Back
Top Bottom