Ndugu zangu,
Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025.
Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama?
1. UKWELI...
Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake.
Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani.
Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...
Just because nchi yetu inaongozwa na wahuni hatuna sababu ya kuichukia. Tanzania ni kubwa kuliko serikali, serikali ni ya mpito lakini Tanzania itaendelea kuwepo. Na usisahau this is the land that gave birth to you, you have to honor it
Msichanganye hivi vitu. Usiichukie nchi yako kwa sababu ya...
Nashangaa sana kwamba Tanzania imefikia mahali hapa ambapo hata majaji ambao wanapaswa kuheshimika sana katika jamii, wanaonyesha wazi kwamba wanafanya mambo kwa maelekezo ya serikali.
Lissu kashitakiwa kwa kosa la uhaini
Lissu kanyimwa dhamana kwa sababu kashitakiwa kwa kosa la uhaini
Lissu...
Ndugu zangu Watanzania,
Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu.
Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
▪︎ Asema hatua kali kuchukuliwa dhidi ya watakaobainika kufanya ubadhirifu
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi mapendekezo yote yaliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na kwamba hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika...
Serikali ya Kenya imetenga KSh18 bilioni kwa ajili ya mpango wa mbolea ya ruzuku katika mwaka wa fedha wa 2026/2027, hatua inayolenga kupunguza gharama za kilimo na kuongeza uzalishaji wa chakula nchini.
Mpango huo unatarajiwa kuwanufaisha wakulima milioni 1.26 kote nchini, huku serikali...
KAMA HUJAOLEWA NI MARUFUKU KUBEBA MIMBA. NA UKIBEBA MIMBA BILA NDOA UNALETA MWENYEWE.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Baba Mtemi!
Mkicheka na nyani mtavuna mabua. Endeleeni kuchekea huu umalaya unaondelea mkifikiri ukikomaa mambo yatabaki yalivyo. Hayatabaki hivi yalivyo.
Sheria itungwe...
Serikali imesema imeanza maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda kwa kiwango cha lami, huku kipande cha kwanza cha Likuyufusi–Mukuru chenye urefu wa kilomita 60 kikitarajiwa kuanza kujengwa baada ya kukamilika kwa taratibu za malipo ya awali kwa mkandarasi.
Hatua hiyo inafuatia...
Katiba ya Marekani inampa Rais Nguvu kubwa katika kuamua hatua za kuchukua kuhusiana na masuala ya kimataifa (Foreign Policy) Rais huhitadi uungaji Mkono wa Mabunge ya Senate na Congress ktk domestic policies na uteuzi wa viongozi wakubwa na Majaji Supreme Court. Na endapo mabunge yakatofautiana...
UNAHISI NI KWANINI SERIKALI INAFUMBIA MACHO SAKATA LA USHOGA?
Sakata la ushoga limeendelea kuwa gumzo nchini, likitajwa na kujadiliwa hata ndani ya Bunge, lakini bado baadhi ya watu wanaodaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanaendelea kujitokeza hadharani na kufanya mazungumzo ya moja...
Kuna stage tatu ambazo hutumika kuharibu nchi yoyote mtu mwenye Nia ya kuharibu nchini anatumia stage tatu tuisome Tanzania ya tarehe 29 Oktoba 2025 kama case study.
Nchi haihitaji kuvamiwa na jeshi la kigeni ili iingie kwenye machafuko makubwa. Kuna mazingira ambayo yanaweza kusababisha taifa...
Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua za kupunguza makali ya ongezeko la bei za mafuta nchini, ikiwemo kutoa ruzuku ili kulinda watumiaji na kupunguza athari za gharama za mafuta kwa shughuli za kiuchumi.
Hatua hizo zinalenga kuhakikisha kuwa, pamoja na changamoto zinazoendelea katika soko...
Serikali ya Kenya imefufua mpango wa kujenga bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Turkana hadi Lamu, kufuatia uwekezaji wa bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote, katika kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta kinachotarajiwa kugharimu KSh3.1 trilioni.
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na...
Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema?
Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame?
Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
Je tafsiri yake nikuwa Serikali inamamlaka ya kupokonya Wananchi ikiwa itahitaji ardhi hiyo?
Ikiwa ardhi inamilikiwa na Serikali tafsiri yake ni kuwa Wanachi ni kama wapangaji
Au pengine tafsiri yake ni tofauti na hii?
Wakati Msanii Dudubaya ana "trend" na msemo wake waarufu wa kulinda migongo, baadhi ya watu walibeza, wengine waliona kama ni kauli za kilevi levi na wengine waliona kama mtu anayetafuta kiki
Baadae kauli ikapokelewa na baadhi ya watu wanaojua ukubwa wa tatizo alilokuwa ameligusa Dudubaya...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo amewatoa hofu Wananchi wa Kijiji cha Fukayosi, Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, akisisitiza kuwa hakuna Mtu aliye juu ya sheria wala anayeweza kuinunua Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Nyongo ameyasema hayo Novemba 3, 2026, alipofika Mijijini hapo...
Huyu LEMA alimkimbia Magufuli na kukimbilia Canada na Familia yake kwa msaada wa akina Maria Sarungi .
Alipata Hifadhi Canada, kwa sababu tu ni MWANACHADEMA , Mpinzani na Mkosoaji wa Magufuli ambaye aliamua kwenda Canada kutafuta Hifadhi
Magufuli amekufa, na kwakua Amekufa, LEMA akapigiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.