Naandika hili kwa heshima kubwa kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Waziri wa Vijana kwa sababu ninaamini hili sio suala la udaku tena, bali ni suala la ustawi wa kizazi cha Tanzania.
Kati ya mwaka 2008 hadi 2016 tulishuhudia utamaduni wa magazeti ya udaku kutengeneza watu maarufu kupitia skendo...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na interoperability kupitia GovESB. Miongozo ya e-GA yenyewe inaeleza kuhusu application integration, data...
Baada ya agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Albert Chalamila, kutaka mabasi yote ya mkoa kuanzia na kumalizia safari zao katika Magufuli Bus Terminal, nadhani sasa ni muda muafaka kwa serikali kuangalia pia upande wa miundombinu ili agizo hilo liende sambamba na kurahisisha usafiri kwa...
Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao?
Soma hapa...
Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu.
Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
Hiki kitu huwa najiuliza sana na nimekutana na hii changamoto vituo vingi sana hasa vya serikali yaan unatibiwa lakini unacho toka nacho ni dawa basi lakini taarifa zingine za maandishi wanabaki nazo wao na hata daftari walilo kuandikia dawa na maelezo ya matibabu wanabaki nalo wao.
Sasa...
Serikali ya Tanzania imewapa wazalishaji wa saruji muda wa siku nane kuongeza usambazaji na kushusha bei, baada ya mfuko wa saruji wa kilo 50 kufikia hadi shilingi 26,000 pesa za Tanzania sawa na dola 9.8 katika baadhi ya maeneo.
Wizara ya Viwanda na Biashara iliitisha kikao cha dharura na...
Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi mwa Tanzania ni sehemu muhimu ya uchumi wa nchi. Tunazalisha chakula, madini, mifugo, samaki na bidhaa mbalimbali, lakini wananchi wa maeneo haya wanaendelea kukabiliwa na bei kubwa za bidhaa na gharama za usafirishaji.
Swali ni: Kwa nini mwananchi wa Mwanza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akihojiwa leo Agosti 19, 2026, katika kipindi cha UTV amesema Serikali haiwezi kuomba radhi kwani ilitimiza wajibu wake wa kulinda amani.
Mzee Wasira ameongeza kuwa kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 haikuwa...
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeeleza kuwa wajibu wa kutekeleza Katiba ya Klabu ya Simba iliyorekebishwa na kuidhinishwa Februari 18, 2026, sasa uko mikononi mwa klabu hiyo baada ya Serikali kukamilisha hatua ya kuidhinisha na kuikabidhi rasmi.
Katiba hiyo ilipitishwa na Mkutano Mkuu wa...
Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha.
Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa
==========================
Tanzania ina hazina ya maarifa Iliyofichwa—Kwa nini tusiifungue?
Tanzania imefanya tafiti nyingi za kilimo kwa miaka mingi...
Katika zama hizi ambazo maendeleo ya nchi yamekuwa makubwa upo umuhimu wa kuwa na Serikali au Dola lenye maguvu na makucha zaidi ...la sivyo kila aliyefanikishwa kuwa tajiri atatutawala sana kutokana na uwezo wake kifedha.
Ukiwa na matajiri wenye uwezo wa kununua vyombo vya habari kutaka...
1. Wenye ICD za DAR wapewe VIZIMBA HUKO KWALA halafu ICD za mjini zoote zitoke
SERIKALI aifanye biashara ya ICD ikusanywe Kodi Kwa kukodisha!
2. Kuna NJIA ilikuwa inatumiwa na SGR wakati wa ujenz wake! Iwekewe LAMI iwe ya maroli ya mafuta na ya KUBEBA visivyopelekeka ICD ijengwe mpaka chalinze...
Moshi Manispaa- 18/8/2026
Moshi, Kilimanjaro — Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule mbalimbali, hatua inayochochea...
Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo.
Mzungumzaji ni Elias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori...
Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.
Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
👇
Serikali sasa iachane na ujenzi wa stendi za magari na masoko. Haya ni mambo yanayoweza kufanywa na watu binafsi na pia hakuna maana tena ya kujenga majengo makubwa ya kukufanya watu pamoja kama stendi na masoko.
Serikali sasa ijikite katika kujenga miondombinu ya reli na viwanja vya ndege...
Kuna jambo ambalo kwa kweli linanifanya nijiulize kwa nini mtu anaweza kuumia kabisa kusikia hata jina la Rais likitajwa kwenye mchezo wa mpira eti kwa sababu Serikali imepongezwa ?
Hapa tunahitaji kutenganisha siasa na uhalisia wa maendeleo ya michezo.
Kumtaja Rais katika hafla au mashindano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.