serikali

  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hata huyu yumo kwenye orodha ya chadema ya waliotekwa na serikali?

    Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi...
  3. DrKeku

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Sh 20,000 kwa ajili ya cheti cha kuzaliwa RITA yanahusisha nini na nini? Kwanini natoa malipo ya ziada kama ya lamination?

    Ili kupata cheti cha kuzaliwa kupitia mfumo wa eRITA, unatakiwa kulipa Sh20,000, kisha kwenda RITA kuchukua cheti. Wiki hii nilifika RITA Chalinze DC kuchukua cheti cha mtoto. Baada ya kuchapisha cheti, mhudumu alikifanyia lamination na kuniambia nilipie Sh1,000 kwa ajili ya huduma hiyo...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali Yaweka Kaunti 18 Hatarini Huku Kenya Ikijiandaa Kukabili El Niño Kali

    Serikali imeweka kaunti 18 katika hali ya tahadhari ya juu kutokana na uwezekano wa kukumbwa na madhara makubwa ya El Niño, huku mvua ya zaidi ya kiwango cha kawaida ikitarajiwa kuanza mwezi Oktoba 2026. Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, alisema Jumatatu, Agosti 10, 2026, kuwa...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuharakisha Leseni za Walimu, Madalali na WAendesha Guta za umeme zisizo na namba plate!

    Walimu ni kada muhimu inayodharaulika. Siyo kwamba si wasomi ila kwakuwa ukitoka tu chuo basi unafundisha lakini wanapswa kukata leseni ili waheshimike kama mawakili wanavyoheshimika duni a nzima Madaktari bingwa na wa jumla (Physicians Wauguzi waliosajiliwa (Registered Nurses - RN) Wafamasia...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzinga

    Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, hatua inayolenga kuhakikisha rasilimali za Serikali zinatumika kwa ufanisi katika kuchochea maendeleo jumuishi. Mhe...
  7. B

    JamiiForums Tanzania SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026

    Durban, South Africa SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026 Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) itaitisha Mkutano wake wa Kawaida wa 46 wa Wakuu wa Nchi na Serikali mnamo tarehe 17 Agosti 2026...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Exclusive Interview: NijuzeNews vs Wakili Peter Madeleka. Haki ndiyo msingi wa amani. Uongo uongo wa viongozi wa serikali hii unaigharimu taifa

    https://youtu.be/Ic6aeqb4dQ4?si=wMGbIlaoqB7qvBm8 Hii ni very exclusive and the best ever interview kati ya mtangazaji mwanadada huyu wa NijuzeNews TV na Wakili Msomi Peter Madeleka juu ya mambo mbalimbali ya nchi na taifa letu Peter Madeleka udhaifu wake katika baadhi ya maamuzi yake kama...
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini

    Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Je, Rais samia na serikali yake wamekaidi maelekezo ya Jumuia ya madola kumuachia Tundu Lissu?

    Lissu bado anazidi kushikiliwa na kuburutwa mahakamani bila kosa ambalo litaweza kuthibitika.Siku thelathini walizotoa jumuia ya madola zinaisha leo.👇
  11. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya Asasi za Kiraia na mikataba ya kimataifa juu ya utawala bora kama Serikali inakiuka makusudi?

    Habari wana JF Kama kichwa kinafyojieleza hapo juu. Hii mikataba mbalimbali ya kimataifa ambayo serikali husaini kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa na upatikanaji wa fedha za maendeleo kwa namna mbalimbali ni namna gani huleta faida/msaada endapo serikali itaamua kwa makusudi ya maslai yake...
  12. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

    Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara. Binafsi, bila kuwa na roho ngumu, uthubutu na ujasiri wa kuchukua hatua, leo nisingekuwa hapa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zawadi kwa Diamond na Zuchu ni utakatishaji fedha. Serikali ipo kimya

    Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani. Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa)...
  14. R

    JamiiForums Tanzania David Djumbe: Nilipewa taarifa na mtu ndani ya mfumo kuwa natafutwa na ndani ya siku 3 ningepotezwa

    Msaidizi binafsi wa Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Tundu Lissu, David Djumbe, amefunguka kuhusu mazingira yaliyomfanya akimbie nchini Tanzania baada ya kupokea taarifa za siri kutoka ndani ya mfumo zilizomwonya kuwa alikuwa hatarini kutekwa na kuuawa ndani ya siku...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ilikuwa na mpango wowote wa kujenga refinery ya mafuta?

    Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery? Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  17. F

    JamiiForums Tanzania TBC isijidanganye kwa jina la serikali

    Siku moja tulikuwa katika kikao chenye wajumbe kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya shughuli iliyokuwa irushwe na vyombo vya habari. Mapendekezo yakaanza kutolewa kuhusu vyombo vya habari vitakavyoalikwa. Kila chombo kilitajwa kimoja baada ya kingine. Ilipofika zamu ya TBC, mjadala ukaibua swali...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini gharama zake zipo juu sana

    Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za nishati hizi bado ni kubwa kwa wananchi wengi. Gesi nayo imekuwa na bei ya juu, mtungi mdogo...
  19. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Siamini serikali inaweza kuwa na sababu ya kumpoteza mtu; anaweza kufungwa au kutafutiwa kesi ili kumuondoa kwenye reli

    Mhoji (Charles William): Mara nyingi unapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania, matukio...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza: Tumeazimia kusitisha ushiriki wetu kwa muda katika Mradi wa Sinza

    Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, taratibu na mawasiliano rasmi. Baada ya Waziri kutangaza kuwa mchakato wa awali umefutwa na kwamba...
Back
Top Bottom