Zuchu anajifungua alafu pesa zunatunzwa USD hospital.
Baada mda stive Nyerere anaita wanahabari kama ana mfokea na kusema hizo pesa zisaidie hospital.
Unashangaa raisi anasema wamefanya vizuri wa sanii na wemepeleka hospital sijui ya nani.
Subirini muone kuanzia huu uzi mpaka mkifika 2030...
Kiukweli mi naona kwenye swala la maendeleo ya barabara katika nchi hii serikali imeshindwa kabisa. Barabara nyingi nchini na muhimu kwa ustawi wa uchumi wa nchi ni mbovu kupita maelezo na cha ajabu unakuta ndio barabara ambazo hata viongozi hutumia kwenda kwenye shughuli zao.
Nitolee mfano wa...
Amani kwa wote.
Naomba kujenga hoja yangu katika msingi wa mustakabali wa taifa kwa vizazi vinavyo tuandama.
Mimi kama baba ambaye nina watoto , moja kati kitu kinacho nipa mawazo makubwa ninini nitawaachia watoto wangu, na kizazi kinacho tokana na mimi.
Wazee wangu walishindwa kacha...
Wafanyakazi katika Chuo cha Afya Mvumi (Mvumi Institute of Health Sciences – MIHS) kilichopo Mvumi, Dodoma tunaomba msaada na uingiliaji wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa zinazotukabili kwa muda mrefu.
Kwa sasa baadhi ya wafanyakazi tumekaa takribani miezi 11 bila kulipwa mishahara...
Anonymous
Thread
afya
bila
chuo
dodoma
kati
miezi
mshahara
serikali
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kuzihoji Halmashauri 39 kutoka Mikoa 15 zilizobainika kuwa na hoja mbalimbali katika Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji.
Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa.
Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea...
Anonymous
Thread
hii
hospital
kufanya
mbili
mwanza
nje
serikali
uongozi
utaratibu
wafanyakazi
Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Mwanza
Serikali imeanza kuchukua hatua za kumaliza mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa takribani miaka minne tangu 2022 kati ya mwekezaji, Amirali Manji na Mohamed Bakiri dhidi ya Moses Zakaria Joram ambae ni Mmiliki wa...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Shahada ya Udaktari wa Mifugo ambao tunatarajia kufanya internship ya mwaka mmoja kabla ya kupata usajili wa kufanya kazi kama madaktari wa mifugo.
Leo tumekutana na Naibu Msajili wa Baraza la Madaktari wa Mifugo Tanzania (VCT) ambaye alitueleza utaratibu wa...
Miongoni mwa maswali magumu zaidi katika mchakato wa Katiba Mpya ni muundo wa Muungano. Badala ya kubishana, hebu kila mmoja alete hoja yake kwa nini anaona muundo fulani ni bora, tuchambue faida na hasara kwa pamoja, kisha tupige kura kwa uzito wa hoja, si kwa hisia.
Nianze mimi kwa kuweka...
Serikali iangalie kwa karibu sekta ya usafiri wa anga nchini, hasa suala la gharama kubwa za nauli za ndege ambazo zimekuwa changamoto kwa Watanzania wengi. Kwa sasa, wananchi wengi wanashindwa kumudu usafiri wa anga kutokana na bei kuwa juu ukilinganisha na uwezo wao wa kifedha.
Tunaiomba...
Anonymous
Thread
gharama
huduma
nauli
serikali
usafiri
usafiri wa anga
wananchi
wengi
Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili iliyopita, idadi ya wafungwa nchini humo ilishuka kwa kiasi kikubwa, hali iliyosababisha kufungwa kwa...
Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, unaolenga kuongeza ubanguaji wa korosho ndani ya nchi ifikapo Mwaka 2030.
Hata...
Anonymous
Thread
mamlaka
mamlaka za serikali
mradi
serikali
thamani
viwanda
wenye
zaidi ya
Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), na suala hilo lilipitishwa na Bunge.
Swali langu ni moja: kwa nini...
Anonymous
Thread
bado
ila
kodi
kodi kwa wafanyabiashara
msamaha
msamaha wa kodi
serikali
tra
wafanyabiashara
Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
We mwana JF kama unanjia za kuona unaweza au kujiamulia kama hamza fanya.
Kuna jirani katoa taarifa za CCTv kuna magari yana mfatilia na mpaka plate za gari.
Kilichofata yeye kawa gaidi.
Ni jambo jema kwa viongozi, taasisi na wananchi kuhakikisha kuwa mali zinazotumika kwa ajili ya kutoa huduma za umma zinasimamiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za Serikali.
Kutokana na taarifa zilizotolewa kuhusu magari yaliyokabidhiwa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa Jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.