Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), na suala hilo lilipitishwa na Bunge.
Swali langu ni moja: kwa nini...
Anonymous
Thread
bado
ila
kodi
kodi kwa wafanyabiashara
msamaha
msamaha wa kodi
serikali
tra
wafanyabiashara
Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
We mwana JF kama unanjia za kuona unaweza au kujiamulia kama hamza fanya.
Kuna jirani katoa taarifa za CCTv kuna magari yana mfatilia na mpaka plate za gari.
Kilichofata yeye kawa gaidi.
Ni jambo jema kwa viongozi, taasisi na wananchi kuhakikisha kuwa mali zinazotumika kwa ajili ya kutoa huduma za umma zinasimamiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za Serikali.
Kutokana na taarifa zilizotolewa kuhusu magari yaliyokabidhiwa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa Jimbo...
Kila wiki inayopita kuna nyumba, jengo au fremu mpya inayopandisha antenna ya kusambaza internet. Wengi wameona fursa, wamenunua vifaa, wamevuta fibre na kuanza kuuza vifurushi vya Wi-Fi.
Lakini kinachonishtua si ongezeko la watoa huduma, bali kasi ambayo biashara hii inaanza kujiharibia...
Kichwa cha habari kinaweza kuwa tofauti na maelezo hapa.
Ukiona serikali imeshindwa kufanya haki sasa inawaza kila mtu ni gaidi kwao.
Hii history inaeleza nchi nyingi ambazo zimepitia serikali za ovyo na kugeuza haki kuwa ugaidi.
Hebu jaribu kidogo kufikiri hili;
KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2...
Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali....
Na siku si nyingi amekuwa Katibu Mkuu na kada mbobezi wa chama chao karibu maisha yake yote hata...
Kumbe kinachoitwa Mwanasiasa usije ukaja kumuamini hata siku Moja.
Mwanasiasa alikwambia Sasa hivi ni Saa 7 Mchana inabidi utoke nje iangalie kama kweli ni Mchana unaweza Kuta alimaanisha saa 7 Usiku.
Naona leo wananchi wanamsifia Sana VP kwa hotuba yake, lakini ukweli ni Kwamba hiyo ni...
Watanzania, tukubali tusikubali, Serikali ya CCM haina viongozi wenye uwezo wa kuona mbali. Obviously, the mazafakas cannot see beyond their noses!
Katika hali ya kawaida, hakuna kiongozi yeyote mwenye busara ambaye anaweza kuitangazia dunia kwamba nchi yake ina magaidi kila kona wakati ukweli...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini.
Hatua hiyo...
Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria
Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumezua mjadala mpana kuhusu mfumo wa uagizaji wa mafuta, huku baadhi ya wadau wakidai kuwa mabadiliko yaliyofanywa na Serikali yameongeza...
Hakika kesi ya Lissu imetusanua Watanganyika. Kwamba serikali ya Tanzania imejaa uozo kila sehemu. Kwamba sheria, kanuni na taratibu haziheshimiwi wala hazifuatwi ama kwa makusudi au kwa kutozijua! Ni fedheha kubwa kwa serikali kuwa na watendaji na watumishi ambao hawajui sheria, kanuni na...
Kamanda wa Polisi wa Pwani, Ali Nuno, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaodaiwa kufadhili makundi ya wahuni (goons), akisema kuwa serikali haitaendelea kutoa ulinzi kwa viongozi watakaobainika kutumia au kufadhili makundi hayo kutekeleza vitendo vya vurugu.
Akizungumza na wanahabari, Nuno...
https://www.youtube.com/live/3r1VM5Popbw?si=5ngxqgUwSDdRvH2z
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, leo Julai 22, 2026, jijini Dodoma amefanya ziara na waandishi wa habari katika eneo la Soko la Machinga kuhusu jitihada za...
Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
Rais William Ruto amefanya mabadiliko katika uongozi wa Serikali baada ya kumteua aliyekuwa msemaji wa zamani wa Polisi, Charles Owino, kuwa Msemaji mpya wa Serikali akichukua nafasi ya Isaac Mwaura.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Felix Koskei, Mwaura...
Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.
Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya...
Anonymous
Thread
degree
diploma
hizi
kanuni
kusomea
medicine
serikali
wenye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.