serikali

  1. Zack Abdul

    Viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 mkoani Rukwa

    📍Uwanja wa CCM Nelson Mandera, Sumbawanga Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa pamoja katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026, Sumbawanga Mkoani Rukwa. Mwenge wa Uhuru unaendelea kuwa alama ya umoja, uzalendo na uwajibikaji wa pamoja. Ni jukwaa linalounganisha Serikali na wananchi...
  2. Wazolee

    Huu muunganiko wa BASATA na manispaa katika Kutoa leseni ni kwamba IT wao uwezo wao mdogo au wamefanya kichaka Cha kuiibia serikali?

    Niende katika hoja Moja Kwa Moja Kwa Sasa ukitaka kuomba leseni Kwa baadhi ya biashara unatakiwa kwanza kuomba kibali Basata Yani ukiingia tu katika mfumo wa kuomba leseni unatakiwa kwanza uingize code ulizopewa basata ndio uweze kuendelea Sasa Cha kushangaza unaingia katika mfumo wa Basata...
  3. A

    KERO Je, Serikali imefikia wapi kuhusu suala la bei ya Saruji? Maana ni kimya sasa

    Je serikali imefikia wapi kuhusu suala la cement? Mana ni kimya sasa
  4. Manyanza

    EALS, PALU, SADC-LA, IBAHRI na Lawyers for Lawyers waitaka Serikali kuacha kumkandamiza Rais wa TLS

    Mtandao mzito wa taasisi na vyama vya kitaaluma vya sheria barani Afrika na duniani vikiwemo EALS, PALU, SADC-LA, IBAHRI na Lawyers for Lawyers ,vimeungana kutoa tamko zito la kuitaka Serikali ya Tanzania kuacha kuingilia na kutumia vyombo vya nidhamu kumkandamiza Rais wa Chama cha Wanasheria...
  5. Yoda

    Kundi la mabinti wa Azerbaijan wagoma kukombolewa kutoka kuvaa hijab na serikali

    Hii dunia ina maajabu yake, wakati wanawake wa Iran wanapigania wapate uhuru wa kuvua hijabu, wameibuka kundi la mabinti wa Azerbaijan wanalilia waendelee kuvaa hijab zao shuleni baada ya serikali kupiga marufuku mavazi yoyote ya kidini kwenye shule! Kupumbazwa na dini ni jambo baya sana na la...
  6. S

    DOKEZO Huu ni ufisadi wa kutisha! Haujawahi kutokea katika kulihujumu Taifa, na unafanywa na viongozi wakuu wa Serikali!

    Ni aina kubwa ya ufisadi mkubwa wa kutisha ambao katika historia ya Tanzania na nchi nyingine duniani labda haujawahi kutokea. Na tatizo kubwa ni kwamba unafanywa na viongozi wakuu wa serikali pamoja na ndugu zao. Ni hivi. Kuna wakuu wa serikali na ndugu zao ambao wapo katika nafasi ya kuwa na...
  7. T

    Baada ya Serikali kuanzisha Sewage Treatment Plant kila jiji nimeamua kuuza magari yangu!

    Watanzania Tunapenda maendeleo bwana. Baada ya Serikali kuanzisha Sewage Treatment Plant kila jiji nimeamua kuuza magari yangu ya maji taka! Tena kwa bei chee kabisa... Unakatibishwa inbox
  8. M

    DC SHAKA APONGEZA UAMUZI SERIKALI CHINI YA RAIS SAMIA KULIJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE

    DC SHAKA HAMDU SHAKA APONGEZA UAMUZI WA SERIKALI YA RAIS SAMIA KUJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mh. Shaka Hamdu Shaka, amepongeza hatua na uamuzi wa Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kujenga upya Daraja la Magole, katika barabara kuu ya Morogoro - Dodoma...
  9. K

    Hivi ni kweli serikali haioni huu ukwepaji kodi wa wafanyabiashara? Usalama wa Taifa wako wapi?

    Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni...
  10. Soul21

    SERIKALI YA CCM ISKAE KIMYA WADAU TUNAKUWA NA WASIWASI

    CHADEMA imeendelea kutoa matamko kwenye mikutano kuwa mmeuza sehemu za nchi na kuwapa Waarabu . Je, ni mbali na mkataba halali wa bandari? Kama Heche anapotosha basi serikali ituweke wazi wananchi wake. Tunaomba kila kinachosemwa wahusika wajibu kwa hoja. Tujue kweli au uwongo ni upi Asante
  11. E

    Dk Malisa aiomba EU kuunga mkono mchakato wa maridhiano Tanzania

    Mratibu wa Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na Ukweli (NRTC), Dk Godfrey F. Malisa, ameiomba Umoja wa Ulaya (EU) kuunga mkono juhudi za kuwezesha Serikali ya Tanzania kukubali kuundwa kwa kamati huru ya maridhiano itakayochunguza vifo vilivyotokea wakati wa matukio ya Oktoba 29, 2025, na...
  12. sonofobia

    Niffer, Dada mwenye ushawishi mkubwa; je, ataweza washawishi vijana kurudisha mahaba kwa CCM?

    Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili. Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM. Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29. Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM? Au kazi hii inaweza kumgharimu...
  13. Yoda

    Serikali isitishe vibali kwa mabasi ya masafa marefu ya abiria zaidi ya 40

    Kwa barabara zetu hizi nyembamba na mbovu sana ni hatari sana haya mabasi yanayobeba abiria 55 mpaka 60, yanakuwa hayako stable barabarani na ajali zikitoea watu wengi sana wanakufa. Serikali sasa isiruhusu tena mabasi ya abiria zaidi ya 40 safari za masafa marefu.
  14. I

    "Mochwari tu ndizo zinafanya kazi - Msanii DJ Shitti Aikosoa Serikali na SHA kwenye mazishi ya Babake

    Mchekeshaji na Muigizaji DJ Shiti amezua mjadala kuhusu mfumo wa afya nchini baada ya kutumia hotuba yake katika mazishi ya babake, Richard Ndege, kuikosoa Serikali kuhusu utekelezaji wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) na changamoto zinazowakabili wagonjwa katika Hospitali za Umma. DJ Shiti...
  15. S

    Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  16. Dr Adam Francis

    Rais wa JMT, waziri kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika, ndio muundo sahihi kwa changamoto za Muungano.

    Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana. Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
  17. Deus Jovin

    Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Profesa Palamagamba Kabudi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nchini Tanzania, tangu 02 April 2026 KIhistoria, Tanzania ni Taifa linalojumuisha dola mbili za Tanganyika na Zanzibar, tangu mwaka 1964. Jumla ya eneo la Tanzania ni kilomita za mraba...
  18. Think2

    Serikali tunaomba wataalumu wa mionzi tuongezewe mshahara kwa ngazi ya diploma atleast iwe 1.4M

    Wataalumu wa mionzi wanahatarisha maisha yao sana ukilinganisha na madaktari au manurse mionzi ni hatari kwa afya inaweza kusababisha saratani na mazingira magumu ya kazi unaweza kupangiwa kituo cha kazi unakuta hakuna control room wala lead wall hatari inakuwa kubwa. Dosimeter zenyewe mbovu...
  19. peno hasegawa

    Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

    Maneno ya Askofu "Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki." "Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa...
  20. Kazanazo

    Ushauri: Serikali ongozeni kidigitali Kuna mambo ukisikia bado yanafanywa yanashangaza sana

    Miaka imesonga sasa badilisheni baadhi ya mambo muendane na ulimwengu wa kidigitali mambo kama; 1. Mwenge wa uhuru na kuwatoa wanafunzi mashuleni na kuwapanga msululu yamepitwa na wakati 2. Wanafunzi kukimbia mchakamchaka na kuimba nyimbo za kambona na idd amini 3. Siku ya wafanyakazi...
Back
Top Bottom