serikali

  1. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania SERIKALI UZUIE UINGIZAJI WA SABUNI ZOTE

    Kwa Hali ya shilingi yetu Kwa sasa ni mbovu na mikakati dhabiti inahitajika kukumaza fedha yetu. Moja ya maono ya JPM ilikua kuwezesha viwanda vya ndani kupitia kuwanyanyua wazalishaji wadogo na kutengeneza mazingira rafiki ya uwekezaji Kwa viwanda vikubwa. Sabuni hata ghetto inatengenezwa...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Zimbambwe :Taharuki Yatanda Huku Serikali Ikidhibiti Maandamano Ya Upinzani

    Zimbabwe imekumbwa na hali ya taharuki kufuatia miito ya maandamano ya upinzani. Serikali imechukua hatua kali, ikiwa ni pamoja na kukamata wanaharakati na viongozi wa upinzani, ili kuzuia maandamano hayo. Wanaharakati 18 walifunguliwa mashtaka ya kuvuruga usalama wa umma baada ya kushiriki...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania ikichukua mkopo, asilimia fulani lazima iende Zanzibar kama serikali inayojitegemea; lakini katika kulipa deni la Taifa, Zanzibar haihusiki?

    Kuna kitu hapa nimeelezwa kama ujanja fulani unaofanyika ambao kama ni kweli basi Tanzania bara tuna kila sababu ya kupiga kelele. Nimeambiwa hii mikopo mingi tunayomshangilia mama, kimsingi ni kwa ajili ya kuwainua Zanzibar. Inasemwa kila mkopo unaochukuliwa na Tanzania, Zanzibar lazima...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali ndio ilitutapeli laki na 50 sisi wakazi wa Kibaha 2019 kuhusu upimaji wa ardhi?

    Wakuu kama mnakumbuka serikali ilitoa ofa ya kupimiwa viwanja Kwa Bei ya 150000tzs Sasa sisi huku kibaha tulipimiwa na kuwekewa mawe ila Hawa jamaa hawakurudi kutupa mrejesho wowote zaidi ya Yale mawe Yao yaani ni kama ulifanyika utapeli hivi serikali ndio mmetuibia raia wake naombeni kujua he...
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

    Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nitafutieni waziri yeyote kwenye serikali ya Marekani ambaye jina linaanza na Profesa

    Nitafutieni kiongozi yeyote wa Serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor fulani kama utapata! Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa Professor tena! Professor kabudi na Tibaijuka wasingetakiwa...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme

    Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi kufikia asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Serikali hatuwezi kuchukua kispika cha Ahmed Ally cha kuuzia kunguni kutoa taarifa, tunafanya kazi kama Ally Kamwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali, Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu mgao wa 30% za Rais Samia kupitia NeST.
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbarali: Serikali imekamilisha mradi wa maji wa Ruduga Mawindi kwa shilingi bilioni 5.2

    Serikali kupitia Mfuko wa Taifa wa Maji ( NWF) imekamilisha kwa asilimia 100 mradi wa maji wa Ruduga Mawindi uliopo wilayani Mbarali mkoani Mbeya kwa gharama ya shilingi bilioni 5.2. Kwa sasa mradi huo unahudumia vijiji sita ambavyo awali wananchi wake walikuwa wanatumia maji ya mto Ruaha...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza magereza kupewa ruzuku ya nishati safi ya kupikia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameilekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutoa ruzuku kwa Jeshi la Magereza ili kutekeleza maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia na kuhakikisha Magereza yote yanaondokana na Nishati isiyo safi.
  12. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungua rasmi Mnada mwenge Dar es salaam

    Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni Saad Mtambule amefungua rasmi Mnada ambao ni jukwaa linalowapa nafasi Wajasiriamali kuweza kuwafikia Watanzania kwa urahisi. Huna NIDA? Cheti cha Kuzaliwa? Una Shida na Tanesco? DAWASA? BRELA? Unataka kuonana na Mkuu wa Wilaya? Shida ya Ardhi au...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mtandao, kupiga simu mpaka upande juu ya miti, wananchi waiomba serikali kuharakisha ujenzi wa minara ya simu

    Wananchi wa Kata ya Unyahati wilayani Ikungi mkoani Singida wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa minara ya simu ili kurahisisha mawasiliano katika vijiji vyao kutokana na huduma hiyo kusuasua hivyo kulazimika kupanda juu ya miti na mawe ili kupata mawasiliano.
  14. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Iiteni serikali isome Madhara ya kuwa na wasomi wengi wasio na ajira

    Leo mimi kama.mmoja wa wakosa ajira Nimeamua kuja na andiko viongozi sikilizeni hili Namba hazidanganyi Madhara ya Kuwa na Wasomi Wengi Mtaani ambao Hawana Ajira Kuwa na wasomi wengi bila ajira mtaani kunaletia changamoto nyingi za kiuchumi, kijamii, na kisiasa. Haya ni baadhi ya madhara...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbozi: Walimu wawataka viongozi wapya CWT kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimia mbili kwenye mishahara yao

    Baadhi ya walimu na Wajumbe wa Chama cha Walimu (CWT), wilayani Mbozi, mkoani Songwe, wameomba viongozi waliochaguliwa kuwaongoza kwa awamu nyingine kuhakikisha wanatetea maslahi yao ikiwa ni pamoja na kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimi mbili ambayo hukatwa kwenye mishahara yao ...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa ya CAG watumishi wa serikali hawalipwi madeni yao, na bado wanashabikia serikali!

    Utumwa unaweza kuwa ni hiari ya moyo. Ina maana miaka mingi hawa watumishi wa serikali wanaidai serikali, hailipi na wao wanaendelea kusifia, " anaupiga mwingi". Hii ni akili ya kawaida? Kwa watumishi wa aina hii TZ inategemea kuendelea? nilidhani ni walimu tu ambao huwa wansombwa na baadaye...
  17. I

    JamiiForums Tanzania serikali mnashida gani?

    kiukweli sijui kuna kitu gani chini ya kapeti. Serikali miradi mingi imesimama haifanyi kazi kama shida ni pesa tupitishe bakuli Tanzania nzima. Sgr imesimama kuanzia tabora hafi uvinza tabora to isaka kimya Uwanja wa mpira kimya hadi leo dodoma hakuna kitu wakati mlisema ujenzi unaanza...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa taarifa wa aina hii wa kuzusha taharuki na hofu kwa ndugu za wasafiri upigwe marufuku na serikali.

  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM Iviaibishe Vyama Vya Upinzani Kwa Kufanya Mabadiliko Ya Msingi Kwenye Sheria Za Uchaguzi, Kama Huwa Inashinda Kwa Haki.

    CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
  20. Chakaza

    JamiiForums Tanzania CCM Mbona Mnafeli? Majibu ya NO REFORMS NO ELECTION Yanapaswa Kutolewa na NEC au Serikali na Sio CCM Maana Nanyi Ni Washindani!

    Ni wazi Makalla na yule Babu Wassira pengine hawajui kuwa CCM ni washiriki wa uchaguzi kama ilivyo Chadema, ACT, CUF nk au bado wao ni OLD FASHIONED kiasi cha kushindwa kutofautisha CCM chama na Serikali katika utendaji. Chadema wao wanapanbana na Tume ya uchaguzi na Wizara ya sheria/mambo ya...
Back
Top Bottom