CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
Ni wazi Makalla na yule Babu Wassira pengine hawajui kuwa CCM ni washiriki wa uchaguzi kama ilivyo Chadema, ACT, CUF nk au bado wao ni OLD FASHIONED kiasi cha kushindwa kutofautisha CCM chama na Serikali katika utendaji.
Chadema wao wanapanbana na Tume ya uchaguzi na Wizara ya sheria/mambo ya...
Muktadha wa Uzi wangu unajieleza. Nafafanua;
Kuna watu wasiopenda wajulikane milele na kwanamna yoyote Ile kwamba walikuwa kwenye social media flani na mawazo haya ndio waliyoyatoa kwenye social media wakiwa hai au wamekufa.
Swali langu je wewe ungependa uwe wazi na ujulikane kwenye social...
Viongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo.
Baada ya kikao, Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, aliwahakikishia wanachama kuwa uongozi wa klabu...
"Mheshimiwa Rais ukaguzi wangu pia ulibaini kuwa halmashauri 37 zilikusanya shilingi bilioni 3.45 ambazo hazikuwekwa kwenye akaunti rasmi za serikali. Hali hii inaashiria uwezekano wa ubadhirifu wa fedha za umma na kusababisha ucheleweshaji na utoaji wa huduma muhimu kwa wananchi. Napendekeza...
-Nikiwa kongwa wilayani nilienda stationary moja iko hapo karibu na kwa DC. Nilichokutana nacho toka kwa mhudumu ina justify ngozi nyeusi ifundishwe business skills na wageni. Na sasa tuna hawa wachina.
-mhudumu stationary unamuomba akupatie bahasha anakunja midomo. .
Unamuomba aweke document...
Mpira unaendeshwa kwa kanuni, kama anaesimamia kanuni hizo ameshindwa kusimamia anapaswa kujiuzulu kwanza kabla kitu kikubwa kama wizara kufanya kitu kilekile walichoshindwa bodi ya ligi kukifanya. Serikali isaidie kutupatia mazingira sahihi ya kucheza mpira lakini sio namna ya kuucheza mpira...
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ameonya tabia ya watumishi wa umma wanaopanga ushuru mkubwa wakiwa wamekaa maofisini bila kujua shida wanayopata wawekezaji na kisha kumtaka kila mtumishi awekeze ama afanye biashara ili anapopanga ushuru ajue shida za walipa kodi kwa uhalisia .
Mtaka...
Arusha, 22 Machi 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Japheth Asunga (Mb), ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa Kamati hiyo, ameongoza ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika Jiji la...
Serikali kupitia Wizara ya Maji imekamilisha ujenzi mradi mkubwa wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1, huku Wananchi 14074 wa Vijiji vitatu vya Baluli, Mwabuma na Mwashata, Kata ya Mwabuma, Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wakinufaika na mradi huo, ambao unatajwa utaondoa changamoto...
Umeme ni kikwazo kikubwa sana kwa Tanzania hasa linapokuja swala la viwanda hasa smelting ambazo kwa kiwango kikubwa sana zinatumia umeme mwingi mfano smelting ya aluminium inaweza ikatumia megawatts 4000
Smelting ili ziwe na faida zinatakiwa ziwashwe kwa mda hata wa miaka 2 ndo zizimwe kwa...
Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja.
Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana,
Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba...
Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema ukiwa ni mtu wa kupiga makofi tu Bungeni huisaidii serikali
Akizungumzia kuhusu demokrasia na chimbuko lake Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka amegusia sakata la Katiba mpya nchini Tanzania kwa kusema ''Vijana mtachoka sana kuja kusubiri katiba mpya''...
Mwenyekiti wa wafanyabiashara mkoa wa Njombe na nyanda za juu kusini A Siphaeli Msigala amesema wao kama wafanyabiashara wanaipongeza serikali kwa kuweka mazingira rafiki katika kufanya biashara zao.
Aidha Msigala, ameiomba serikali iendelee kushughulikia changamoto mbambali ambazo bado...
Serikali imetoa Sh bilioni 106.4 kufanikisha miradi ya maji, afya, barabara, umeme na elimu katika jimbo la Bukoba Vijijini mkoani Kagera kwa kipindi cha miaka minne, Mbunge wa jimbo hilo, Jassoni Rweikiza anasema.
Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Makamu Mwenyekiti wa...
Gari za mwaka 1 hadi 3 = 7 million
Gari za mwaka 4 hadi 6= 6 million
Gari za miaka 7 hadi 9 = 5 million
Gari za mwaka 10 hadi 12 = 4 million
Garia za miaka 13 hadi 15 = 3 million
Hairuhusiwi kununua gari iliotengenezwa zaidi ya miaka 15.
NOTE: Kutokana na kupungua kwa kodi, Idadi ya Watu...
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
Waziri mkuu wa Lebanon ambaye anaiunga mkono Hizbullah ameonya juu ya kuzuka kwa vita upya baada ya jeshi la Israel kushambulia maeneo kadhaa ya nchi hiyo na kusababisho vifo visivyopungua 7.
Katika tamko jengine tofauti na la waziri mkuu,raisi wa nchi hiyo Joseph Aoun ammbaye ni mkristo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.