serikali

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

    Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
  2. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Wezi watakuja kuishika serikali na nahisi :Sio mimi ni socrate

    Nimeisoma hii hadi damu imenichemka. February 15, 399 BC alifariki na sasa watoto wao wanataka washike madaraka⁷
  3. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wangu watano bora serikali ya Mama Samia

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja. 1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana. 2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi 3. Dotto...
  4. K

    JamiiForums Tanzania NINA USHAURI KWA SERIKALI ZETU ZINAZOCHANGIA MAJI YA ZIWA VICTORIA

    Serikali ya Tanzania, Uganda na Kenya wote ni wanufaika wa maji ya Ziwa Victoria. Mito yote ya Kanda ya Ziwa na mito yote ya Uganda na Kenya inamwaga maji yake Ziwa Victoria na hatimaye maji hutiririka kupitia Mto Nile hadi Mediterranean Sea. Maji yanayotoka Ziwa vcictoria hupita nchi ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna bidhaa nyingine ni aibu kuuzwa kando ya barabara na ni kupoteza mapato kwa serikali na kufanya mji kuwa hovyo.

    Serikali imejenga masoko rasmi ya kuuza mboga na vitafunwa vingine.Kupitia mzunguko huo nayo serikali inapata mapato kwa kukusanya ushuru.Lakini kwanini hawa wauza mbogamboga wamehama sokoni na kuja kando ya barabara huku serikali ikitazama masoko rasmi yakiwa yanakufa taratibu.?Serikali...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya sera mpya ya elimu na wahitimu wa vyuo vikuu kwenda VETA ni kichaka cha serikali kujifichia au kukwepa majukumu.

    Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake. Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chongolo aiomba serikali kujenga bandari kavu na soko la kimataifa la mazao

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya TAZARA na hiyo itasaidia kusukuma ajenda ya miradi mikubwa katika mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Panya wa Kichina wamevamia Dar es Salaam. Hawali sumu yao pia wanajua mtego. Serikali itusaidie

    Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam. Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata. Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo. Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgodi unaomilikiwa na Wakinamama wachangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali

    MGODI wa Dhahabu wa Manda, unaomilikiwa na Wakinamama chini ya uenyekiti wa Asha Msangi umechangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025. Mgodi huo ambao kwa kiasi kikubwa unaendeshwa na wakinamama upo Kahama Kijiji cha Mwime Kata ya Zongamela ambao...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msukuma afurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu 'Musukuma' akiwa sehemu ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ameelezwa kufurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa...
  12. immortanity

    JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetenga Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa Kumi na Sita

    Serikali imetenga takribani Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa takribani Kumi na Sita iliyokuwa haina kampasi ya ya vyuo vikuu Akizungumza katika Kongamano la Dhahabu la miaka Minne ya Dkt Samia suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha nchi nzima...
  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo
  18. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isipunguze Matumizi ya Fedha za Kigeni ?

    Kama taifa kuhangaika kutafuta Pesa za wengine kwa uhai na mustakabali wa taifa letu ni kuwa tegemezi. Sina shida kabisa na watu binafsi / wafanyabiashara kutafuta hizi pesa kulingana na mahitaji yao na nini wanataka, hao siwapangii ila kuna matumizi yanayohitaji pesa hizi yasio ya lazima na...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi Kuu: Tukishindwa kutatua hili tutaihusisha Serikali

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Steven Mguto katika mahojiano yake na Kituo cha Habari cha Mwananchi Digital amesema iwapo wao Kama mamlaka za kimpira watashindwa kutatua sakata la Simba na Yanga kuhusiana na kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo basi wataishirikisha Serikali. "Jambo hili...
Back
Top Bottom