serikali

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Mifuko ya Mikopo ya Serikali Haijafika kwa Walengwa

    MBUNE SYLVIA SIGULA: MIFUKO YA MIKOPO YA SERIKALI HAIJAFIKA KWA WALENGWA Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Sylvia Sigula amesema Serikali imefanya kazi kubwa katika kuanzisha mifuko mbalimbali ya kutoa mikopo, lakini asilimia kubwa ya mikopo hiyo haifiki kwa walengwa na asilimia kubwa ya watu hawana...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Aishukuru Serikali Utekelezaji wa Miradi Ushetu

    MBUNGE CHEREHANI AISHUKURU SERIKALI UTEKELEZAJI WA MIRADI USHETU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwakutoa kiasi cha Sh bilioni 196 iliziweze kusaidia miradi ya kimkakati iliyokuwa imeshindika kukamilika. Cherehani amesema hayo Aprili 10,2025...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machafuko yazuka Nakuru, Wasichana watawanywa kwa mabomu, Serikali yakazia maadili

    Vurugu zimezuka katika Tamasha la Kitaifa la maigizo huko Nakuru nchini Kenya, baada ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Butere kukataa kucheza tamthilia yao ya kutatanisha "Echoes of War’’, mchezo ambao unaangazia mapambano ya Vijana kuhusu uhuru wa kiraia, utawala na haki ya...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Serikali ihakikishe mechi zote za Simba za kimataifa zinachezwa uwanja wa Mkapa

    Wasalaam, Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25. Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachama CCM: Kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali

    “Sisi tutaendelea kueneza mazuri ya viongozi wetu na mazuri ya chama chetu ili tuweze kuungwa mkono kwasababu kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali serikali tunayo sisi....." Abdul Kambaya - Mwanachama wa CCM
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kupeleka umeme Vitongoji 9,000 mwaka wa fedha wa 2025/26

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara na nguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji. Kapinga ameeleza kuwa, pamoja na kazi ya kupeleka umeme vitongojini inayoendelea...
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Aida Kenan: ATCL iliendeshwa kwa hasara, pamoja na kuongeza ndege, hazina umuhimu kwa wananchi, tufikiri kuwapa sekta binafsi

    Ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2023/2024, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, imeonesha kuwa mashirika kadhaa ya umma bado yanaendelea kupata hasara kubwa licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali. Kwa mfano, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ilipokea ruzuku ya serikali ya shilingi...
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo wa madini waiangukia serikali walia na upatikanaji wa umeme migodini

    Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Kahama wameiomba serikali kuwasaidia kupata huduma ya umeme kwenye migodi yao ili kupunguza gharama kubwa za uendeshaji, kukuza uchumi wao na kuongeza makusanyo ya maduhuri kwa serikali. Ombi hilo limewasilishwa leo wakati wa ziara ya Mkuu wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Itaendelea Kuboresha Miundombinu ya Elimu Muhambwe

    SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU MUHAMBWE Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya elimu Sekondari hususan ni shule za Busagara na Kumgogo zilizopo halmashauri ya Tandahimba kwa kadiri ya upatikanaji wa...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Standi ya Kisasa Katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya

    SERIKALI KUJENGA STANDI YA KISASA KATIKA HALMASHAURI YA WIRAYA YA RORYA Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imepanga kujenga standi ya Kisasa katika Halmashauri ya wilaya ya Rorya ili kusaidia upatikana wa huduma za usafiri na kuongeza mapato katika...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Jeshi Lugalo ihamishwe serikali ipime viwanja vya makazi eneo hilo

    Hiyo kambi ipo kitambo sana enzi hizo mji unaishia Magomeni na Oysterbay, Sinza ilikuwa mashamba ya miwa na mpunga. Lugalo ilionekana ni nje ya mji. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya kijeshi ila ile kambi kuwa pale ni kero tu. Kwanza huku Kawe watu wanaishi kwa hofu tu, kila mtu anajifanya ni...
  12. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Sky News : Msemaji mkuu wa serikali ya Israel kujibu maswali muhimu aliyoulizwa

    Moja kwa moja. Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
  13. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ni zaidi ya Mtumishi, Rais Samia ongeza Mishahara kwa Watumishi Serikali za Mitaa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Huu uchawi wa kibongo wakurogana haufai serikali inabidi kuingilia kati.

    Huu uchawi ndo waliutumia kumroga chidi benzi Wakamroga nuhu mziwanda Yaani kila ukipata hela unawaza mitungi.
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kutoa Elimu kwa Waandishi wa Habari Mitandaoni

    SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI "Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae "Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali

    Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali Catherine amekuwa akimkosoa Mh Kabudi alipopendekeza Muziki wa Singeli kuwa moja ya alama ya sanaa ya Tanzania jambo ambalo litasaidia kukuza utamaduni...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwita: CHADEMA lengo lake ni kushika Dola, kunapokuwa na chochote ambacho kinazuia hilo lazima kisemwe

    "Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA" "Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha...
  18. evangelical

    JamiiForums Tanzania Kukimbiza Mwenge kila mwaka kuingiza Serikali gharama zisizo na tija

    Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla. Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iondoe SGR toka TRC

    SGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi. TRC ni dude kubwa sana na hawajawahi kuendesha kwa faida. Serikali iiondoe SGR kutoka shirika la reli hili iwe rahisi kufuatilia uendeshaji wake la sivyo pesa inayopatika SGR itaenda kutengeneza miundombinu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho huduma zinazotolewa hospitali ya wilaya ya Maswa.

    Utoaji wa huduma duni za afya katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu unaweza kuwa na sababu nyingi, na si lazima lawama zote ziwe kwa mganga mkuu wa wilaya,Dk Hadija Zegega moja kwa moja, japokuwa yeye ni mmoja wa wasimamizi wakuu wa huduma za afya kwenye wilaya. Hospitali hiyo ina...
Back
Top Bottom